Mkuu utafikiri huwa unakuwepo kwenye ugomvi wetu, huwa ni mtu wa counter accusation, hakubali kukiri kosa, anakwambia, "bora mimi, kuliko wewe uliefanya kitu flani". sasa kitu anachokutajia hata hakihusiani.Wanawake wa aina hiyo ni washari muda wote. Yaan hawataki kuja chini, ukikarib kumuelezea kosa na yeye anakujia juu, anataka akugeuzie kibao.
Majibu machafu mda wote, na kiburi juu.
Hata kama mwanaume ni mkarim kias gan, laxima ifike mahali utumie force, unaa aply mikanda, makofi mpaka kieleweke.
Japo umeanza kwa kujikataa kwamba huna psychology ya haya mambo ila wewe ni mtaalam nduguHi N...
Nimeliona saana hili uswahilini kwetu. Mwanamke anapigwa anaondoka ila baada ya siku anarudi.
Mimi sio expert wa saikolojia ila kwa common sense... victims wengi wanakimbia kwasababu ya uwoga, hasira, hofu, resentment n.k
By the time, hivyo vitu vikiisha wanarudi katika hali ya kawaida... haujawahi kuudhiwa na mtu ukamjibu vibaya ila baadae baada ya hasira kukuisha ukajilaumu? [emoji118] is where I am.
Sasa, wakishakuwa kawaida... wanaona aibu kwa kueleza matatizo yao kwa watu... at the same time abusers wanaomba msamaha tena vizuri tu....
Na saikolojically(sorry] hakuna msamaha unao-make sense kama wa kumwomba mtu aliyepo kwenye resentment na ulimfanyia mabaya kweli kweli.... mwisho wengi hurudi
Kuna factor zingine.
-kutishiwa unaambiwa usiporudi nakuua mimi.
-children
-labda atabadilika
-unaogopa kuoneka loser
N.k.
Unajua nini Nalendwa formality ya maisha na attitude ya wanaume wengi iko very straight and simple kueleweka.Sisemi ni bora lakini ni afadhali kuepuka matatizo kuliko kujutia, halafu naona kama mkijengana mapema na kupeana the ABCDs za kila mtu inakuwa rahisi.
Sio kwamba mtaelezana kila kitu lakini at least mtu anakuwa na basics za mwenzake ili kuepusha kupishana kusiko lazima.
Nilishapitia hayo,nikapiga chini, nilimwambia akatafute mwanaume wa kumwendesha lakin kamwe si mimi. Ni either atii na kuniskiliza au afungashe virago aondoke.Mkuu utafikiri huwa unakuwepo kwenye ugomvi wetu, huwa ni mtu wa counter accusation, hakubali kukiri kosa, anakwambia, "bora mimi, kuliko wewe uliefanya kitu flani". sasa kitu anachokutajia hata hakihusiani.
Safi sana mkuu, nimeamua kufanya hivyo, najipa moyo hii iwe ni ya moja kwa moja, maana huwa tunakaa muda fulani tena tunarudi. Ni shida sana.Nilishapitia hayo,nikapiga chini, nilimwambia akatafute mwanaume wa kumwendesha lakin kamwe si mimi. Ni either atii na kuniskiliza au afungashe virago aondoke.
Unajua nini Nalendwa formality ya maisha na attitude ya wanaume wengi iko very straight and simple kueleweka.
The most common things mwanaume anahitaji ili awe at peace ni good food,good sex, true love and respect pia ukimanage kumtendea vyema katika hayo anaweza ruhusu uwe mshauri wake wa karibu.
Katika yote respect ndio core need ya mwanaume yeyote duniani (usimjibu kunya,usimpandishie,omba yaishe kwa kusema samahani,usisaliti). Ndio eneo pekee ambalo linaweza fanya mahusiano yako yawe ya amani au yasiwe ya amani
Wanawake ndio wana matatizo sana katika nyanja hio maana wengi wana unafiki mwingi na ujuaji. Hapo ndipo tunaposhindwana na wengi. Mwanamke anayejitambua hawezi kujitutumua mbele ya mwanaume wake akijifaharisha na kuhisi ni jambo jepesi kuvumilika. Hio attitude haijawahi faa na haitakaa ifae kwa wanaume walio strong na misimamo mikali zaidi utaishia kutenguliwa taya tu.

Ukweli ni kua wanawake ndo waathiirika kwa kiasi kikubwa mfano hai apa eneo naishi hizi mambo zipo sanaaa adi mwaka juzi mmoja kafanyiwa ukatiri adi Mauti SABABU binafsi kuu naona ni most of victims wako financial dependant kwaio anapokutana na storms katika mahusiano yake anaweza kasirika na akaamua ondoka but shida akifika aliko enda anakuta hana pakushika wala kuanzia apo apo chap anarudi kuomba msamaha ili maisha yaendelee
Nashauri sana hisia za mapenz zipo sanaaa ila zisikufanye mtumwa ila piaa zaidi kwa wanawake jengeni uchumi wenu binafsi wapenz, mambo ya kwenda kichwa kichwa na begi lako tu karne ya leo mtihan sanaa
Sasa kukusikiliza si ndio good way ya ku negotiate. Kinachofelisha mchakato wote ni pale ambapo upande mmoja unakuwa too emotional and that is likely to be done by a woman. Mwanaume anaweza kuwa calm ila mwanamke anapayuka tu.Nimekuelewa vizuri sana, nionavyo mimi kwa kweli kum provoke mwanaume halafu kama unajua anaweza kukunyooshea mkono sio busara. Ni afadhali kusubiri mtu apoe kwanza, kama kuna heated argument. Na respect ndo kabisa!, muhimu sana tena kwa pande zote mwili.
Swali langu ni kuwa, mnawasilikiliza pia kama wana chochote cha kusema ama kuongezea kwenye mazungumzo?!, ama mna base upande wenu tu, cos na sisi hupenda kusikilizwa pia.
Sasa kukusikiliza si ndio good way ya ku negotiate. Kinachofelisha mchakato wote ni pale ambapo upande mmoja unakuwa too emotional and that is likely to be done by a woman. Mwanaume anaweza kuwa calm ila mwanamke anapayuka tu.
Kwa hali hio hakutakuwa na kusikilizana bali majibizano yasio na muelekeo na mwisho ni mtu kulimwa kisago. Unapataje hamu ya kumsikiliza mtu anaetoa kauli kali za kuumiza non-stop!
Kumbe unakuja na huku mara moja moja...Ni vizuri kuwa na upendo na imani kubwa kwa mwenza lakini shida inakuja kwa abuser mtu huweza kuishia mauti.
Hii Kitu Inaukweli Ndani YakeHi N...
Nimeliona saana hili uswahilini kwetu. Mwanamke anapigwa anaondoka ila baada ya siku anarudi.
Mimi sio expert wa saikolojia ila kwa common sense... victims wengi wanakimbia kwasababu ya uwoga, hasira, hofu, resentment n.k
By the time, hivyo vitu vikiisha wanarudi katika hali ya kawaida... haujawahi kuudhiwa na mtu ukamjibu vibaya ila baadae baada ya hasira kukuisha ukajilaumu? [emoji118] is where I am.
Sasa, wakishakuwa kawaida... wanaona aibu kwa kueleza matatizo yao kwa watu... at the same time abusers wanaomba msamaha tena vizuri tu....
Na saikolojically(sorry] hakuna msamaha unao-make sense kama wa kumwomba mtu aliyepo kwenye resentment na ulimfanyia mabaya kweli kweli.... mwisho wengi hurudi
Kuna factor zingine.
-kutishiwa unaambiwa usiporudi nakuua mimi.
-children
-labda atabadilika
-unaogopa kuoneka loser
N.k.
THE MORE HUMULIATED AND ABUSED YOU ARE THE MORE WEAKER AND DEPENDING YOU WILL BE!
KUPIGA NA KUNYANYASA NI AINA YA UTAWALA YA WANAUME WOTE WEAK!
MWANAUME ANAYETAKA AOGOPEWE KUTOKANA NA UANAUME WAKE!
NA MKE ANAJIKUTA ANAOGELEA KWENYE UTAWALA HUO AKIAMINI NI MASTAHILI YAKE!PENGINE HAWEZI KUSURVIVE BILA HUYO MTAWALA!
ANAONDOKA ANARUDI ANAONDOKA ANARUDI!
AND THE VICIOUS CYCLE CONTINUES!
Rihanna anahitaji walau warudiane na Chris's brown...sasa kat ya Rihanna na Chris's brown nani anahela?Utegemezi na umaskini ndo sababu kubwa kwa wanawake walio weng,ukiwa independent huo ujinga hakuna
Yes, unless victim aaumue kujitoa muanga kuwa sasa anaacha. Kama vile teja anapojitoa muhanga kuwa hatotumia madawa tena .
Safari huwa ngumu, wale wenye mioyo mepes hujikuta wakirudi kwa abuser wao.
Recovery period huwa ni ngumu na inachangamoto sana.
Kiacho wasumbua watu ni ile huwa wanadhan kuwa wakirud abuser atakuwa ame change, the truth is abusers never change, ila ndio wanakuwa wabaya zaidi na kuwatesa zaido kuliko mwanzoni.