Nakujua una roho ngumu huwezi kunywa sumu ukaacha vyote vizuri vya dunia hii sababu ya mtu mmoja bana! Utakua uzembe sana utapata mtu mwingine mzuri mwenye figure amazing hadi utashangaaπ€
Mkuu pole kwa kulizwa karibu kwenye chama kubwa la waliokuwa, ni kweli mapenzi hata uwe mkuu wa majeshi ukiumizwa kilio na maumivu yake huwa ni hatari sana