ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,428
- 118,979
love peace, Mimi kwanza nakupongeza kwa ujasiri wako, miezi miwili kwa wadada wa kisasa ni sawa na mwaka.
Pili, huyo sio bahati/chaguo lako. Alitaka cookie yako aionje alafu akuache. Labda Kuna kitu aliona, hakuridhishwa nacho. ama alitaka tu aonje tamu.
Mimi naona huna kosa (labda huko faragha), kuzini Ni dhambi ya walio wengi, jaribu uhusiano ujao uchelewe kutoa cookie yako.