MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
Hivi hili neno "papuchi" asili yake wapi?
hahahaaa asili yake ni hapa hapa jf huu ni msimu wenyewe wanaita
Hivi hili neno "papuchi" asili yake wapi?
Good advice!!Sisi wanawake tunajirahisisha sana kwa wanaume halafu hatuishi kulalalamika hatupendwi sijui tunachezewa wakati ukweli wa mambo tunaujua....Kuna wanaume wanafiki sana wapo tayari mkao wa kula tu kukujaribu aonje cookie yako ka imekolea sukari au kama ina chocolate za kutosha si ndio Eli79!!!!A friend of mine once told me MEN ARE JUST LIKE FOXES!!!Matumaini yangu love peace alitumia kinga au akajipime ukimwi!!love peace, Mimi kwanza nakupongeza kwa ujasiri wako, miezi miwili kwa wadada wa kisasa ni sawa na mwaka.
Pili, huyo sio bahati/chaguo lako. Alitaka cookie yako aionje alafu akuache. Labda Kuna kitu aliona, hakuridhishwa nacho. ama alitaka tu aonje tamu.
Mimi naona huna kosa (labda huko faragha), kuzini Ni dhambi ya walio wengi, jaribu uhusiano ujao uchelewe kutoa cookie yako.
mimi49, long time no see... Hujambo lakini?Good advice!!Sisi wanawake tunajirahisisha sana kwa wanaume halafu hatuishi kulalalamika hatupendwi sijui tunachezewa wakati ukweli wa mambo tunaujua....Kuna wanaume wanafiki sana wapo tayari mkao wa kula tu kukujaribu aonje cookie yako ka imekolea sukari au kama ina chocolate za kutosha si ndio Eli79!!!!A friend of mine once told me MEN ARE JUST LIKE FOXES!!!Matumaini yangu love peace alitumia kinga au akajipime ukimwi!!
kama hivyo sio shida atleast kidog:smile-big😱 kuna uwiano maana mh ilikuwa kila siku tunalalamika sisi tu utafikiri nyie mlikuwa hamna mioyoah me naona ngoma draw sikuhz mkuu..
nice sunday wana jf,
Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.Tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakin gafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndani.
No sms kama zamani wala hana mda hata wa kutoka na mimi na hata fb yake hataki nijue password yake.
Sina amani na mahusiano haya.kweli ana pesa,mtanashati lakin sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo lakini sidhani kama ni sababu.
Nisaidieni cha kufanya wana jf nina mawazo sana.

Pole sana jipange upya asee ...keshamaliza haja yake...
Habari wana JF,
Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.
Tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakini ghafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndani.
No sms kama zamani wala hana muda hata wa kutoka na mimi na hata FB yake hataki nijue password yake.
Sina amani na mahusiano haya.
kweli ana pesa,mtanashati lakini sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo lakini sidhani kama ni sababu.
Nisaidieni cha kufanya wana jf nina mawazo sana.
Good advice!!Sisi wanawake tunajirahisisha sana kwa wanaume halafu hatuishi kulalalamika hatupendwi sijui tunachezewa wakati ukweli wa mambo tunaujua....Kuna wanaume wanafiki sana wapo tayari mkao wa kula tu kukujaribu aonje cookie yako ka imekolea sukari au kama ina chocolate za kutosha si ndio Eli79!!!!A friend of mine once told me MEN ARE JUST LIKE FOXES!!!Matumaini yangu love peace alitumia kinga au akajipime ukimwi!!
Habari wana JF,
Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.
Tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakini ghafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndani.
No sms kama zamani wala hana muda hata wa kutoka na mimi na hata FB yake hataki nijue password yake.
Sina amani na mahusiano haya.
kweli ana pesa,mtanashati lakini sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo lakini sidhani kama ni sababu.
Nisaidieni cha kufanya wana jf nina mawazo sana.
Umeshampa tamu?