TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
sijafuata pesa zake hata yey anajua.nilikuwa nampenda yeye.
basi msepe vp wewe sa ukilalamika ndo atabadilika?? kifupi dada ulitamaniwa tu hahahahahahahaaaa....
sijafuata pesa zake hata yey anajua.nilikuwa nampenda yeye.
hesabu maumivu kama umeishampa papuchi basi tena ameishakuonja hana hamu tena na wewe,kwani kabla hujampa papuchi alikuwa hivyo?
Jeuri dawa yake nikiburi' kwanini uhangaike kumwambia? Na kujihangaisha kumuambia nikama unajibembeleza kwake! We mkaushie akijishaua kukutafuta mwambie hina mda ili nayeye aumie!natamani nimwambie mapema kwamba tuachane kabla hajaniacha yeye ni sahihi?
sijafuata pesa zake hata yey anajua.nilikuwa nampenda yeye.
Mi nimeshangaa yaani ndani ya miezi miwili unataka "password" ya Facebook inaonekana na simu yake unapenda ukague kuna nini na nawasiliana na kinani.Alafu inaonekana unataka akuambie ataoa lini
wala huwa sikagui simu yake,tena yeye ndo huwa anasoma my msgs.na kuhusu ndoa wala siongelei ila yeye ndo anapenda kuongelea na analazimisha kuja kwa wazazi wangu nimtambulishe.but just one day nikataka kuingia facebook yake tena juzi hapa.
nice sunday wana jf.
Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakin gafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndan.no sms kama zaman wala hana mda hata wa kutoka na mim.na hata fb yake hataki nijue password yake.sina aman na mahusiano haya.kweli ana pesa,mtanashati lakin sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo.lakin sidhani kama ni sababu,nisaidieni cha kufanya wana jf nina mawazo sana...
Hiyo inaitwa hit and run...
Katafute mwingine umuonjeshe tena akikuchoka list iendelee...
nice sunday wana jf.
Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakin gafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndan.no sms kama zaman wala hana mda hata wa kutoka na mim.na hata fb yake hataki nijue password yake.sina aman na mahusiano haya.kweli ana pesa,mtanashati lakin sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo.lakin sidhani kama ni sababu,nisaidieni cha kufanya wana jf nina mawazo sana...
Hapana Horse ushauri huu sio mzuri kwa huyu binti