hivi siku itokee tu wachaluke wanataka kurudishiwa utamu wao itakuaje!!!!
teh..!tamuuu tena lazima
teh..!
siku hizi bila tamu hamna upendo, kweli kizazi huko...
Keshapata utamu wako hakuhitaji
Njoo kwangu love nitakuffanya umsahau kabisa Huyo bazazi
Umwambie wa nini si umpotezee tu mkuu kwani kumwacha mtu mpaka umwambie, actions speeks louder than words. Na wewe muda mfupi tu ushajizoelea kwenda mpaka kwake kabla hata hujamjua??????Pole mwenzio kesha kinaishwa na wewe akikuona anahisi kama kaona zimwi sijui. Wadada jitunzeni eeeh.natamani nimwambie mapema kwamba tuachane kabla hajaniacha yeye ni sahihi?
Hata kutongoza hujui? na huyo uliyenae utampeleka wapi?@lNjoo kwangu love nitakuffanya umsahau kabisa Huyo bazazi
hapo hakuna upendo
dada zake wakigombana wewe unahusikaje hapo?
pole sana..jitathmini uchukue hatua mapema..kuepusha maumivu ya kila siku
natamani nimwambie mapema kwamba tuachane kabla hajaniacha yeye ni sahihi?
Habari wana JF,
Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.
Tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakini ghafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndani.
No sms kama zamani wala hana muda hata wa kutoka na mimi na hata FB yake hataki nijue password yake.
Sina amani na mahusiano haya.
kweli ana pesa,mtanashati lakini sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo lakini sidhani kama ni sababu.
Nisaidieni cha kufanya wana jf nina mawazo sana.
Hiyo inaitwa hit and run...
Katafute mwingine umuonjeshe tena akikuchoka list iendelee...