ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,444
- 119,039
wanaume wamefanyaje tena jamani!!!!Zamani sana kawa hana jipya sasa...wanaume bhana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
wanaume wamefanyaje tena jamani!!!!Zamani sana kawa hana jipya sasa...wanaume bhana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Not an advise try again.....
Mwallu baby mbona hunielewi jamani? Niliku pm lakini kimya why?
Kabla ya kumfungulia kufuli lako ulituuliza?
Umelikoroga sasa linywe.
Usisahau kupima UKIMWI.
Jitahidi hata kidogo.....
yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.
Tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakini ghafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndani.
No sms kama zamani wala hana muda hata wa kutoka na mimi na hata FB yake hataki nijue password yake.
kweli ana pesa,mtanashati lakini sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo lakini sidhani kama ni sababu.