Mtafanya wasiwe wanatupa "Pampuchi" mapema sasa maana watashituka..!!!
Shosti huyo nadhani ulimtesa sana sasa zamu yako ..lol
Usiende tena wala usimulize tulia kimnya kama anakutaka utauona umuhimu wako la hakutaki utajipanga,dharau gani izo
wewe umemfata yeye sasa anatoka njee kwani ulifata kukaa chumbani kwake au umemfata yeye? au niseme akufukuzae
hakwambii toka,na jengine shosti usiwe mwepesi wa kwenda kwa mwanamme usijishushe sana...samahani kama ntakua nimekukera...
no hakuwa hivyo.but mbona anaomba tena papuchi?ingawa matendo yake ni yaleyale.
utaakuwa too demanding ndo maana umeorodhesha pesa mbona ujaweka umri na mambo mengine ya kiiwemo kazi yake na yako kumpa mwanaume utamu si chanzo cha kukuacha hata siku moja yaani umpe mtu tamu ile ya haswa alafu akuache hapana nani hapendi kitu kitamu?
Ngumu sana kuwashauri wavulana na wasichana...ngumu sana
He is not tht into u.....moveeeeeee(on to the next one).ur too fly for his sh......t, pls abeg (in Nigerian voice)
teh...!we mwezi wa sita hutataka tamu?
Kama vipi njoo pande hizi kuna relief.Habari wana JF, Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa. Tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakini ghafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndani. No sms kama zamani wala hana muda hata wa kutoka na mimi na hata FB yake hataki nijue password yake. Sina amani na mahusiano haya. kweli ana pesa,mtanashati lakini sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo lakini sidhani kama ni sababu. Nisaidieni cha kufanya wana jf nina mawazo sana.
Umeshampa tamu?
Hiyo inaitwa hit and run...
Katafute mwingine umuonjeshe tena akikuchoka list iendelee...
Yani wewe miezi 2 umeshamvulia pichu. Ndio maana anakuona kama changu. Mwanzo alifikiri utamsumbua baadae akagundua kumbe wewe ni mama huruma. Halafu baada ya kumvulia atakuwa amekutana na handaki bonge la pango na injini imetumika kilometa kibao ndio maana hana hamu na wewe tena.yes imepita kama siku tano tu.
yes imepita kama siku tano tu.
Yani siku 60 tu!! Hahahhuwezi ita mahusiano hayo. Ilikua uwe wa mara 1 ukaleta kungangania. He is done with u dada, hakuna mapenzi hapo!
Sasa hata mda wa kupendana kwa dhati ilikua lini?
Yani wewe miezi 2 umeshamvuliya pichu. Ndio maana anakuona kama changu. Mwanzo alifikiri utamsumbua baadae akagundua kumbe wewe ni mama huruma. Halafu baada ya kumvulia atakuwa amekutana na handaki bonge la pango na injini imetumika kilometa kibao ndio maana hana hamu na wewe tena.