Ingia mtandaoni viko wazi utajua maana ya sheria ya makosa ya mitandaoniNimekuomba na kifungu ndugu yangu kinacho establish hilo kosa. Naomba Kifungu kinacho sema alichokifanya kijana ni Jinai chini ya Cyber Crime Act.
Wewe uliyesema atashtakiwa chini ya Sheria ya Mtandao ndio unisaidie sasa ni kifungu KIPI KINAESTABLISH kilichofanywa na dogo kuwa KOSA KISHERIAIngia mtandaoni viko wazi utajua maana ya sheria ya makosa ya mitandaoni
Hujui cyber crime act isome vizuri siulipost wasap status Hilo kosa, bado kubandika sticker kwenye bajaji pia kumtukana zinarekodiwa jiandae kunyea debe au kulipa 5 millions ya fineWewe uliyesema atashtakiwa chini ya Sheria ya Mtandao ndio unisaidie sasa ni kifungu KIPI KINAESTABLISH kilichofanywa na dogo kuwa KOSA KISHERIA
Nimesoma sheria yote sijaona kifungu kinacho mtia hatiani Kijana, wewe uliyesoma ndio unisaidie.
Kosa la KUZALILISHA au siyo?Hujui cyber crime act isome vizuri siulipost wasap status Hilo kosa, bado kubandika sticker kwenye bajaji pia kumtukana zinarekodiwa jiandae kunyea debe au kulipa 5 millions ya finehapo ndio utajua hujui pia kosa la kuzalilisha ooooh.
Huo ni ukatili wa kijinsiaUkute Baba Mkwe anamtafuna bintiye
Au ndio mama Ryan?Mbona makasiriko binamu?
HaiwezekaniUkute Baba Mkwe anamtafuna bintiye
Kwa Sheria ipi ndugu, itakuwa vyema ukicite na kifungu cha sheria husika.
😁😁😁😁😁
Safi baba Aryan bado kubandika kwenye nguzo za umeme na kuta barabarani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
A chauzwa zwa haja tukana mtuKijana hajui hayo ni makosa ya kimtandao ngoja afungwe ndio apate akili.
Na baba mkwe kavunjanje ndoa?
Umeansika kwa uchungu sanaDaaah hatari Sana mpaka mabango,Huyu jamaa anahitaji ushauri wa kisaikolojia Wala sio kutumia nguvu.Ukiona mpaka ameandika hivyo kwenye bajaji ujue ameshindwa kuliweka moyoni Tena amevurugwa kwelikweli wataalamu wa saikolojia kazi kwenu sasa.Hivi kwa nini baadhi ya wazazi mnapenda kuingilia mahusiano ya watoto wenu? Chanzo Cha ndoa nyingi baadhi kuvunjika huwa ni wazazi,Yani wanandoa mkikosana tu kidogo mkipeleka kesi kwa wazazi hutoa maamuzi ya kuachana.je kuachana ndio solution? Unamuacha mke wako au mume wako eti kwa sababu wazazi wamesema achaneni ebu usikilize moyo wako unaamua Nini kusuka au kunyoa.Unampa mkeo au mme taraka kwa sababu ya maamuzi ya wazazi? Why.Ndoa ni kuvumiliana unapewa cheti mapema mtihani unafuata,yaani humo ndani ya taasisi ni milima na mabonde.
Sio wewe. Nilimaanisha huyo binamu mwenye makasirikoKha!
Wale waliobandika imani,upendo na miujiza wakachukue tenda baba mkwe aone balaa lakeMwambie kesho akabandike hilo mabango kwenye mlango wa Baba Mkwe kabisa.
Kijana hajui hayo ni makosa ya kimtandao ngoja afungwe ndio apate akili.
Na baba mkwe kavunjanje ndoa?
ehhhh kuna kosa gani hapo?Kijana hajui hayo ni makosa ya kimtandao ngoja afungwe ndio apate akili.
Na baba mkwe kavunjanje ndoa?