Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

Kijana atakua mzembe maeneo mengi huyu

Kama mke anampenda Ndoa haiwezi vunjwa na babamkwe

Wanaoweza kumsaidia wamtafute wampe ushauri. Pole kwake
Yes bwana atakuwa anazingua huyu Sasa na wababa hupenda mabinti zao lazima Huyu kaka amuone baba mkwe mubaya, Sasa na huyu hajirekebishi tabia yake ana mshambulia ba mkwe
 
Yes bwana atakuwa anazingua huyu Sasa na wababa hupenda mabinti zao lazima Huyu kaka amuone baba mkwe mubaya, Sasa na huyu hajirekebishi tabia yake ana mshambulia ba mkwe

Tena ukute kamchukua binti wa watu mrembo wa viwango baada ya mwaka baba anaona binti yake kazeeka kuliko mama yake👣👣👣👣
 
Heheehehe ebhana hii inachekesha na kuhuzunisha at the same time..

Baba mkwe nae anaharibu vipi ndoa ya mwanae.. halafu jamaa nae ni kichwa ngumu sana..

Lakini kama mke wake ndio kaenda police kushitaki basi hapo kuna ulazima wa kusikiliza pande zote mbili.
Nyie mko nchi gani ina maana hamjui kuna madingi huwa yanakula mayai yake mpaka kutotolesha?
 
Mila zipi mkuu
mkuu we tosheka tu kua mila na desturi ndio kikwazo cha baba mkwe kupindua meza.
Mengine yanabaki kua siri ya ndani, ila kiukweli hii ndoa kuvunjwa roho imeniuma sana sana saaaaaana.
 
Yes hajataja ila ni kijana hana adabu mkuu na yeye ndio ana kosa sijawahi ona mtu anagombana na baba mkwe, aeleze two sides of the same coin, wamegombana why aanze kumzalilisha kwa watu, na ku post status, while watu huwa tunagombana huwa hatupostiani mitandaoni
Baba .mkwe kavunjaje ndoa? Au anambandua binti yake na binti kauelewa mshedede wa baba kuliko wa mume?
 
Yaani wachuchu walivyo wengi hivi bado mtu anahangaika kupoteza hela na muda kuweka bango kubwa hivyo...

Mchuchu mmoja akizingua, unatafuta mchuchu mkali zaidi yake halafu unamuweka status bango kubwaaaa...
Naunga mkono hoja. Tena unahakikisha unawananjua mashosti zake na mabinamu zake.... Ndio kisasi kizuri hiki. Sio kulialia kama vyura
 
Huyu ninja ni balaa nishawah kubahatika kua kwa contact zake nikawa na view status zake ni Soo mwamba anapitia pagumu mno
 
Back
Top Bottom