Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

Ingia mtandaoni viko wazi utajua maana ya sheria ya makosa ya mitandaoni
Wewe uliyesema atashtakiwa chini ya Sheria ya Mtandao ndio unisaidie sasa ni kifungu KIPI KINAESTABLISH kilichofanywa na dogo kuwa KOSA KISHERIA

Nimesoma sheria yote sijaona kifungu kinacho mtia hatiani Kijana, wewe uliyesoma ndio unisaidie.
 
Hujui cyber crime act isome vizuri siulipost wasap status Hilo kosa, bado kubandika sticker kwenye bajaji pia kumtukana zinarekodiwa jiandae kunyea debe au kulipa 5 millions ya fine hapo ndio utajua hujui pia kosa la kuzalilisha ooooh.
 
Kosa la KUZALILISHA au siyo?

Kweli Sheria hata ingeandikwa kwa Lugha za Makabila yetu siyo kila mtu angeweza ielewa ndio nakiona hapa kwako. Sheria siyo GAZETI RAFIKI.

Naona umeishiwa hoja umeanza ujinga wa personal attacks na kuandika vitu visivyo kuwepo kwenye hoja!
 
Daaah hatari Sana mpaka mabango,Huyu jamaa anahitaji ushauri wa kisaikolojia Wala sio kutumia nguvu.Ukiona mpaka ameandika hivyo kwenye bajaji ujue ameshindwa kuliweka moyoni Tena amevurugwa kwelikweli wataalamu wa saikolojia kazi kwenu sasa.Hivi kwa nini baadhi ya wazazi mnapenda kuingilia mahusiano ya watoto wenu? Chanzo Cha ndoa nyingi baadhi kuvunjika huwa ni wazazi,Yani wanandoa mkikosana tu kidogo mkipeleka kesi kwa wazazi hutoa maamuzi ya kuachana.je kuachana ndio solution? Unamuacha mke wako au mume wako eti kwa sababu wazazi wamesema achaneni ebu usikilize moyo wako unaamua Nini kusuka au kunyoa.Unampa mkeo au mme taraka kwa sababu ya maamuzi ya wazazi? Why.Ndoa ni kuvumiliana unapewa cheti mapema mtihani unafuata,yaani humo ndani ya taasisi ni milima na mabonde.
 
Umeansika kwa uchungu sana
 
Kijana hajui hayo ni makosa ya kimtandao ngoja afungwe ndio apate akili.

Na baba mkwe kavunjanje ndoa?

Kijana atakua mzembe maeneo mengi huyu

Kama mke anampenda Ndoa haiwezi vunjwa na babamkwe

Wanaoweza kumsaidia wamtafute wampe ushauri. Pole kwake
 
Na hawa watu wa bajaji na boda wana tabia ya kutiana moyo wana walimjaza akatengeneza bango. Asifungwe aseee hii picha ipelekwe kwenye uzi wa vituko mtandaoni !! Tumeongeza siku
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom