Mapenz ya whatsapp..

Mapenz ya whatsapp..

hyo ndio ipi mkuu watu8 ? Mi mgeni hapo
 
Last edited by a moderator:
Kama huna pesa, wasichana wazuri utaishia kuwaita shemeji tu!!!!
 
nahitaji kulijua hilo jaman coz inanitesa sana hii kitu inaleta ugomvi usio wa lazima

yaah kama iphone kuna namna wanafanya mtu hata awe online haikuonyeshii yaan!

ngoja labda tutapa msaada hapa kwa wataalam.
 
hahaha huuu uzi nimecheka sana,, chezeya laki tano lol

baada ya kusema hayo, naomba wafuatao tuonane mchana huu bila kukosa: Ennie Baba V Asprin

Kuna maongezi mujarab kabla mambo hayajaharibika

Kuamka asubuhi na mwanamke raha sana:smile-big:
Ee bwana eeeeh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom