Eminem jr
JF-Expert Member
- May 21, 2018
- 2,006
- 4,617
MKAKA: Hello Babe.... (11:45pm)
MDADA: (last seen at 11:46pm)
MKAKA:Nijibu tafadhali ( 11:50pm)
MDADA: (last seen at 11:52pm)
MKAKA: Mbona unanifanyia hivi? Mbona hujibu?
(00:00am)
MDADA: (last seen at 00:01am)
MKAKA: Ok usiku mwema baby, nilitaka
kukwambia tu kuwa zile pesa nilizokwambia
nilikuwa nadai nimepata. Nimeweka pembeni laki
tano kwa ajili ya shopping yako ya Krismas,
naona hujibu kwa hiyo bye baby…… (00:01 am)
MDADA: (typing): Ohh! Hi dear... Actually
nilikuwa na mom nikawa nashindwa kukujibu ...
wow darling najua roho yako sasa imetulia
umelipwa deni lako.. I love you a lot... Unataka
twende shopping saa ngapi? (00:05am)
MKAKA: (last seen 00:06am)
MDADA: Baby nijibu basi, nijibu nijue muda gani
nijitayarishe, nijibu betry yangu inaisha chaji
baby, nijibu sasa hivi (00:08am)
MKAKA: (last seen 00:09am)
MDADA: Naweka simu kwenye chaji dakika mbili
baby (00:10am)
MKAKA: (last seen 00:12am)
MDADA: Babes, najua nilikwambia usiwe
unanipigia simu baada ya saa mbili usiku, lakini
piga tu mom ameshalala (00:25)
MDADA: (typing): Ok, najua umelala ntakupigia
asubuhi. Na kesho kama unaweza kuja njoo tu
mom anaenda kumtembelea rafiki yake mi
ntakuwa alone siku nzima G9t baby miss you
(00:30am)
MKAKA: (last seen 00:32)