Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Oh yeah. Mzima weye?
haaa mzima sana,,,njoo wozap kama vipi lol
Oh yeah. Mzima weye?
Mkuu hapo ulimaanisha 'we do differ au we are different"? Sorry lakini
haaa mzima sana,,,njoo wozap kama vipi lol
Una uhakika gani kuwa hakula mzigo?
Poa Valentina isije kuwa nawe uko hivo eehh
nahisi hapana,jina lako lina maana ya upendo
kalou sina kwakweli.............we unayo Lazy mateHeaven on Earth una whatsapp na wewe?
Hii wozap acheni tu ibaki ilivo....mambo yanayoendelea huko ni makubwa jamani.
ni sehemu pendwa kwa wengi wenu i guess, sijui ndo maana umeshtuka!!!
mapenzi ya whatsapp safi sana. hivi hakuna namna ya kuchakachua hiyo last seen?