miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
hapo safi sana
Mkuu hapo ulimaanisha 'we do differ au we are different"? Sorry lakini
mie mara ya kwanza nilipita nikajua labda am deep in shallow water.
anyway hii lugha ya malkia lakini ilikuja kwa meli na sasa ndege. mwisho wa siku ni kuwa tumepata concept. hii ndio huitwaga contextual meaning kama sikosei.
Acha Unoko dogo.....LOL
Zisaidie kuwatisha wahudumu wakae mbali na meza yetu
Sasa nani atakuwa anatuletea vinywaji?
huyo ndio falla...
lakin nasikia kuna namna wanafanya kwa settings unaweza kuondoa io kitu ya last seen!
kwa anaejua anielekeze mm nahitaji uo ujuz.
sio ufala, mapenzi yana nguvu kuliko maji ya mafuriko
mbna kawaida mkuu,,wolper alihongwa BMW na jamaa hakula mzgo