Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Kama ni waasi wa Kayumba, wakishirikiana na Museveni hapo pazito maana jeshini kote Rwanda Kayumba Nyamwasa ndio hero wao baada ya Fred Rwigema.
Halafu machungu aliyonayo jamaa kukoswakoswa mara 2 kuuliwa huku mwenzie kanyegire sijui akiangamizwa tutarajie mengi.
Halafu wafaransa walimchukua jamaa kiintelijensia South kwamba ana mashtaka ya kujibu France kumbe wanataka wamtengeneze akapindue.
 
Naomba sana kwa God hii habari iwe kweli na Nkuruzinza na hao wafaransa wawasapoti hao waasi kumpiga huyu kagame kipigo cha mbwa koko wamtoe madarakani ili iwe fundisho kwa best ake Jiwe na marais dhalimu wote wa Africa wanaowanyanyasa wananchi wao kisa wana madaraka I hate Dictatorship
Yeye ndo ticha wa yote haya hadi tunadharaulika waafrica,akitoka huyo itakuwa poa,heshima ya dikteta ni kung'olewa kwa nguvu,ukishindwa kustaafu kwa heshima.
 
Vita sasa havina maana,ni uharibifu wa resource na infrastructure tu.
Kazi ambao unaweza kufanywa na MTU mmoja ama wawili,kwa resource chache,unaifanya ifanywe na maelfu ya watu,kwa resource nyingi na bila guirentee ya kufaulu
How?
 
Utawala wa ukandamizaji matokeo yake ndio hayo lakini pia tujue historia ya Rwanda kwa ujinga wao wataivuruga nchi yao na walishapiga hatua.
 
Itakuwa tayari labda kazinguana na wazee wa dunia, kwenye madini ya Congo labda apeleki mgao anapeleka kwa wachina.Yasijewakuwa ya sudani kusini,walisaidiwa na wazee wa dunia kujitenga ili apate mafuta,walipojitenga wakamkaribisha mchina kula wakawapiga chini wazee wa dunia. Wazee wa dunia wakawaambia tutawaonyesha Kazi tuwasidie kisha mtumwage hamtujui kumbe,wazee wakamwinua machier apambane na kiri,wamebakia mizozo tu.
Waafrika mna akili fupo

Waafrika mna akili fupi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom