Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,931
- 44,936
HahahahaaaaaAaaa et muroto alipotangaza kichapoivi nyinyi mnaopiga kelele nyuma ya keyboard mbona wakati Muroto anatangaza kipigo cha mbwa koko hamkutoka nje?
wanaume mnalalama tu, mnaona wanaume wenzenu hao ,wametoka Kwenye camera, lakini wabongo kutwa majungu mara ooh jiwe mara lumumba.
jitoeni kimasomaso
Kwahiyo ulitaka watu waumie kisa ujinga wa dar mange