Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

"Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi. Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani.

Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake. Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi.

Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi".

*C & P*
Kuna ukweli humu?

Hebu tufahamishane waungwana wa JF.

Bazazi Ubazazini Akibazazi

=======

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi.

Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani. Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake.

Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi. Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi.

Napinga vita kwa asilimia mia moja, wanadamu wenzetu wanateseka..ila haya ndio matunda ya kuwaminya watu kwa kiwango cha kutisha, watatafuta upenyo wa kusema au kupumua, na matokeo yake yanakuwa makubwa na kutisha. Ukiwaacha watu waseme kwa uhuru bila kuvunja sheria unapunguza matatizo kwa kiwango kikubwa.
 
Kwa taarifa za awali ni kwamba hawawezi na watarajie maafa zaidi kama vifo na vilema vya maisha. Yani ukisikia battle la kiume jaribu kumsogelea PK... Nadhani ulisikia alivyoyafumua mataifa kadhaa kule DRC kwenye second congo war ndio utamjua ni nani hasa.
Sasa hiyo shughuli sio ndogo... hii dunia itawaka moto.
unakumbuka kichapo cha tz kule congo!?..ikawaje sasa kabila mzee hakung'ooka
 
Makufuli asije kujiingiza kichwa kama alivyo fanya nyeyere kwa idimian mpaka leo ile vita tunadaidaiwa.
 
Vita sasa havina maana,ni uharibifu wa resource na infrastructure tu.
Kazi ambao unaweza kufanywa na MTU mmoja ama wawili,kwa resource chache,unaifanya ifanywe na maelfu ya watu,kwa resource nyingi na bila guirentee ya kufaulu
Asa watu wanagandia madaraka utazani yamezaliwa na mama zao acha wapambane ikishindikana wataungana hakuna namna
 
huyu jamaa nilikuwa namkubali sana,alikuja kunitibua alichoifanyia familia ya mtoto mzuri Diana rwigara.!!nilimmaindi kinoma yaani sijui na mimi nikajiunge na waasi tumdondoshe huyu fala..
 
Unajua kwa sasa Rwanda ina waasi wenye Kariba yake Kagame.. They are absolutely military talented, visionary, good in military intelligence, with resources and enough experience and influence. Mtu kama kayumba nyamwasa ana influence kubwa jeshini Hadi uraiani. Mtu kama Russesabagina he is tycoon ana mkwanja na anakubalika kwa wahutu na Watusi kama mtu mwenye impartiality. Uncle wake Diane Rwigara huyu alikuwa meja jeshini analijua hili modern army la Kagame weakness and its strength.

Apart from all that..Raia wamechoka na utawala wa kimabavu wa jamaa hivyo walikuwa wanasubiri kuona who is the "whistleblower" walikuwa wanataka kuona nani atabutua kopo ili wasanuke. Jamaa wamelibutua wakitokea Burundi then hapo hapo kuna uadui wa serikali na Serikali...Rwanda inahisi warundi wanawasnitch kwa kuwapa Uhuru na space waasi wafanye yao. Sio ajabu zikapigwa baina ya Burundi na Rwanda.

Rwanda ni timing bomb...litalipuka tu! Its just the matter of time. Tusubiri tuone.


A timing bomb indeed.
Halafu hawa wote ma ex-generals na hizo military backgrounds makes the whole thing better and worse at the same time.

Another Interesting thing you pointed out. If things go south, Mrundi will likely get involved in one way or the other. But hopefully someone from the outside is paying attention to this.

Interesting Insight!
 
Kwa taarifa za awali ni kwamba hawawezi na watarajie maafa zaidi kama vifo na vilema vya maisha. Yani ukisikia battle la kiume jaribu kumsogelea PK... Nadhani ukisikia alivyoyafumua mataifa kadhaa kule DRC kwenye second congo war ndio utamjua ni nani hasa.
Sasa hiyo shughuli sio ndogo... hii dunia itawaka moto.
Vita ya Congo ,Rwanda alipigwa ,na MuAngola ,fuatilia vzr
 
A timing bomb indeed.
Halafu hawa wote ma ex-generals na hizo military backgrounds makes the whole thing better and worse at the same time.

Another Interesting thing you pointed out. If things go south, Mrundi will likely get involved in one way or the other. But hopefully someone from the outside is paying attention to this.

Interesting Insight!
The way you explain phenomena and scenarios its way more too professional and sophisticated as international correspondent from CNN. Amanpour.

Simply perfect analysis! [emoji176]
 
najaribu kuficha furaha yangu kwa hii taarifa
 
Mkuu unaposema alipigwa sielewi maana najua drc congo imekua destabilized by yeye na uganda.
Mkuu hy vita Rwanda alishindwa akaondoa majeshi, kuwa destabilized ni baada ya ADF wa uganda na FDLR wa Rwanda ,pamoja na M23 waliofurumushwa , kufanya makazi huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom