maoni yenu wana jf

maoni yenu wana jf

asa pesa ulichukua?au kwa kuwa hajafa?kuna amount ambayo amekupa kwa usumbufu?
 
You will be making a grave mistake if you end up with him! Real men dont behave that way
 
Kama kuna shajara kubwa
duniani basi ya mapenzi kiboko, mara wengine sumu, kitanzi, kujirusha,
risasi n.k ili mradi mapenzi ndio kisa....Huyo jamaa anakupenda mno wala
hamna haja ya wanasaikolojia, lakini swali ni je mara ya kwanza
alipokuaproach ulimwambia sikupendi angalia gari ya mbele.....Ni rahisi
kuamini unayoyasema ila hadi m2 kufikia kujiua ni wazi ulishamfungulia
mlango na kumkaribisha kitini sasa ghafla wataka atoke tena bila
utaratibu..."KWA UPANDE MWINGINE NASI TUNAUSIKA NA VIFO VYA
MAPENZI"

we had been friends tu,na mara zote sijawahi kumkubali,i think he ddnt expect no as an answer
 
ye akasema hawezi kuishi bila mimi nikaona hayo masihara tu,nikaendelea na shughuli zangu,akaniita akanipa kadi ya bank na password akanambia sioni faida ya pesa nilizotunza bila kuwa na wewe kwa hiyo nenda kazitoe utumie mi bora nijifie

kwani kadi ya bank inaandikwaga balance, n how sure u r umetest na hizo paswed kwani, so ulimuwahi na maziwa au,
 
we had been friends tu,na mara zote sijawahi kumkubali,i think he ddnt expect no as an answer

mazombie yanakuwaga na sifa za fisi ujue!sasa siku yakiona mkono umeganda bila kwenda mbele na kurudi nyuma huwa yanafikaga hapo!
CC kwa lara 1 na Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Nimeshangaa tu
why a beautiful strong woman like you
in that situation...

Situation ya kupenda usipopendwa na kupendwa usipopenda? Mimi nafikiri it happens a lot kwa watu wengi beauty na strength haizuii sana strength inakufanya usurvive (kitu ambacho nastrugle nacho).
 
mawasiliano niliyakata two weeks before jana

Then what happened jana until you did allow him to be close to you? The best thing for you and him will be to as far apart as possible!
 
kwani kadi ya bank
inaandikwaga balance, n how sure u r umetest na hizo paswed kwani, so
ulimuwahi na maziwa au,

kadi nimeirudisha kama ilivyo,niliwatafuta ndugu zake wakamshughulikia wenyewe
 
Then what happened jana
until you did allow him to be close to you? The best thing for you and
him will be to as far apart as possible!

alikuja ninapoishi kwa kushtukiza
 
alikuja ninapoishi kwa kushtukiza

Damn you have a problem, anajua unapoishi! Najua akipona tu, lazima aje tena thats how men of such caliber behave. You have to find a way of not letting him in your house
 
Damn you have a problem,
anajua unapoishi! Najua akipona tu, lazima aje tena thats how men of
such caliber behave. You have to find a way of not letting him in your
house

i'll try all the means possible, stay real.asante
 
Case yako ilimpata rafiki yangu. Alikuwa na useless bf, linavuta bhange tu na kunywa mipombe, litoto la mama linakaa kwao. Akaachana nalo halitaki. Siku likaenda kwa shosti, shosti akalifukuza room kwake akafunga mlango. Kumbe likaenda kununua flagyl na konyagi. Likavizia mlango wa mbele umefunguliwa, likaingia ndani. Ni vyumba flani na corridor kwa ndani. Majirani wanamuona mchizi kakaa mlangoni wanajua magomvi ya watu. Tu atoke usiku kwenda toilet si anakuta jamaa linakoroma na povu linamtoka. Ikabidi wamgongee shosti. Shosti ni clinical officer, first aid then mbio hosp mchizi akafariki. Ikabidi shosti awekwe ndani. Babake kijana kutaarifiwa cha kwanza alienda kumtoa shosti na kusema muacheni binti wa watu. Mpuuzi huyu is better dead than alive.

You had better stay away from that guy. Kuwa na mtu kwenye mapenzi ili tu umlinde asife ama kujidhuru ni kujitwika msalaba wa chuma. Na itakuwa ndo fimbo yako. Atakucheat, ukitaka kumuacha ajiue. Atakunyanyasa kwa kila hali na kujificha kujiua. Muache tu, hata malaria ingeweza kumuua, suicide aint the only option.
 
Back
Top Bottom