maoni yenu wana jf

This is my case too! Hadi inachosha kwa kweli!

Where can u get the perfect couple?

See this, jamaa kanywa sumu kaponea hospitalini, binti hataki hata kumuelewa!
Si ajabu kesho kusikia binti ambaye jamaa alikunywa sumu kwa ajili yake naye kanywa sumu baada ya jamaa mwingine kumuacha!
 
Perfect couple ni jirani zako (and only because you dont know what is going on inside their 4 walled room), sijui nafikiri Mungu anabalance kitu fulani hapo au anapima majitoleo ya watu. Au ni kazi ya shetani, sijui kwa kweli; l am very confused!
 
Wanaume na sisi saa zingine ndio maana tunaendeshwa sana kama watoto,mwanamke hana interest na wewe still unatoa card ya bank na password na kujiuwa unataka,what for??hizi thread za kulalamika tumetendwa humu ndani hazitapungua maana mwanamke akiwa mzuri basi mtu unataka ku make sure unampata,tukumbuke duniani wanawake wengi kuliko wanaume,so kama sehemu hakieleweki move on na find mwanamke mwingine mbona wengi sana wapo na wakali tu... Penzi halilazimishwi na ukilamizisha utateswa...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kweli dunia ina wanaume wa kila aina.

Na wanawake pia.

Ila huyo hakufai atakuja kukufia ndani hivi hivi.
 
Perfect couple ni jirani zako (and only because you dont know what is going on inside their 4 walled room), sijui nafikiri Mungu anabalance kitu fulani hapo au anapima majitoleo ya watu. Au ni kazi ya shetani, sijui kwa kweli; l am very confused!

Jirani yako ni nani?
 
Kweli MAPENZI ni matata!...KUFA kwa ajili ya mchuchu?...duh
Anyways..my dear afrique dont take him for granted..i guess kuna vitu hujavisema..kikubwa kama ameonyesha UTAYARI wa kufa kwaajili yako hebu nawe LEGEZA mtima wako uone hiyo 'sacrifice' yake as something valuable...Vinginevyo kutakuwa na jambo hujalisema.....
Nimtakie mgonjwa uponaji mwema!
 
Last edited by a moderator:
Jirani yako ni nani?

Unataka majibu ya Yesu au ya Kaunga?

Si unajua kuna msemo usemao, the grass are green else where. Mara nyingi tukiona couple wengine wakitembea barabarani tunaassume kwao mambo mazuri kwetu tu ndio kuna shida, ndio maana nikasema jirani ndio ana perfect relationship.
 
Ya kaunga.
 
Tatizo ni kumjua jirani wa kweli. Unavyoassume na wao wanaassume kama wewe, na dunia ndo inaenda.

If u get the perfect couple, hayo yote yanapungua sana.

That is my point.
Kwenye italics.
Wanasema:

Life is not about finding the right person, but creating the right relationship.
It is not how we care in the beginning, but how we care till the end!

Na pia
When we lose all hope and think this is the end,
God smiles from above and says "relax, it's just a bend and not the end"

So have faith!
 
Sure, kwenye red, you cant creat good relation from the wrong person.

Inahitajika kufinyangwa kwanza.
 
Sure, kwenye red, you cant creat good relation from the wrong person.

Inahitajika kufinyangwa kwanza.

Hakuna wrong person, only wrong relationship. So both of you ambao willingly mmeamua kuwa pamoja need to work in making the relationship right!
 
Haya ni madhara ya kuuachia moyo ukutawale, Mungu hakukosea kutupa Kichwa chenye Ubongo/Akili.
''Ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo''
 
Kama kuna shajara kubwa duniani basi ya mapenzi kiboko, mara wengine sumu, kitanzi, kujirusha, risasi n.k ili mradi mapenzi ndio kisa....Huyo jamaa anakupenda mno wala hamna haja ya wanasaikolojia, lakini swali ni je mara ya kwanza alipokuaproach ulimwambia sikupendi angalia gari ya mbele.....Ni rahisi kuamini unayoyasema ila hadi m2 kufikia kujiua ni wazi ulishamfungulia mlango na kumkaribisha kitini sasa ghafla wataka atoke tena bila utaratibu..."KWA UPANDE MWINGINE NASI TUNAUSIKA NA VIFO VYA MAPENZI"
 
Back
Top Bottom