maoni yenu wana jf

afrique

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
509
134
inapotokea
kutokuelewana na mtu anayekutaka then akakupa kadi yake ya bank akakupa
password na akajinywea sumu mbele yako,unaelewa nini hapo,hiki ni kisa cha kweli kimenitokea jana
 

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
250
inapotokea
kutokuelewana na mtu anayekutaka then akakupa kadi yake ya bank akakupa
password na akajinywea sumu mbele yako,unaelewa nini hapo,hiki ni kisa cha kweli kimenitokea jana
ebu jimwage elezea mkasa mzima ulivyokuwa! Nashindwa hata kuchangia! manake mi nitakujibu kwamba nimeelewa amekutaka ukamkaa akakupa kadi ya benki na password kisha akanywa sumu mbele yako
 

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,538
13,440
inapotokea
kutokuelewana na mtu anayekutaka then akakupa kadi yake ya bank akakupa
password na akajinywea sumu mbele yako,unaelewa nini hapo,hiki ni kisa cha kweli kimenitokea jana

Naelewa huyo mpenzi wangu ni sick in head, na anahitaji msaada kama unampenda.
 

afrique

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
509
134
ebu jimwage elezea mkasa
mzima ulivyokuwa! Nashindwa hata kuchangia! manake mi nitakujibu kwamba
nimeelewa amekutaka ukamkaa akakupa kadi ya benki na password kisha
akanywa sumu mbele yako

ye akasema hawezi kuishi bila mimi nikaona hayo masihara tu,nikaendelea na shughuli zangu,akaniita akanipa kadi ya bank na password akanambia sioni faida ya pesa nilizotunza bila kuwa na wewe kwa hiyo nenda kazitoe utumie mi bora nijifie
 

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,558
inapotokea
kutokuelewana na mtu anayekutaka then akakupa kadi yake ya bank akakupa
password na akajinywea sumu mbele yako,unaelewa nini hapo,hiki ni kisa cha kweli kimenitokea jana

Alikufa baada ya kunywa sumu? Kama ndiyo Labda alitaka kukuachia urithi wa hela zake za bank baada ya akili yake kumruka na kama hakufa umepigwa changa la macho, atakuwa hakunywa sumu halisi kama sumu ila kitu fulani kukutega ujione eti unakupenda na yuko tayari kufa kwa ajili yako na kukuachia kila kitu.

Hiyo ni technique ya kipuuzi. Ila kama unampenda we mkubali achana kumbania na kama humpendi, mapenzi hayalazimishwi na huwezi kuishi na mtu ambaye moyo wako haujaridhika naye. Mpige chini na sumu zake feki!!!
 

Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,922
4,218
Teh teh teh..sumu gani hiyo haku-rip?Alikuwa anakudanganya..Huyo hafai kwani kutishia kufa ndio mapenzi gani bana wakati mapenzi hayalazimishwi..
 

afrique

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
509
134
Alikufa baada ya kunywa
sumu? Kama ndiyo Labda alitaka kukuachia urithi wa hela zake za bank
baada ya akili yake kumruka na kama hakufa umepigwa changa la macho,
atakuwa hakunywa sumu halisi kama sumu ila kitu fulani kukutega ujione
eti unakupenda na yuko tayari kufa kwa ajili yako na kukuachia kila
kitu.

Hiyo ni technique ya kipuuzi. Ila kama unampenda we mkubali achana
kumbania na kama humpendi, mapenzi hayalazimishwi na huwezi kuishi na
mtu ambaye moyo wako haujaridhika naye. Mpige chini na sumu zake
feki!!!

walimuwaishia daktari akapewa maziwa so hakufa,mi haya mambo niliyaona kitambo that's why sitaki ukaribu naye
 

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,538
13,440
unamsaidia vipi kaunga,nishauri plz

I had one like that, niliweza kujinasua baada ya kuhama. Nilimpeleka akapata nyumba tukaifurnish na kumkiss goodbye. Akataka kuacha kazi arudi, nikafanya kitu kibaya sana kilichompiss off na nafikiri alipata mtoto wa kimbulu pia.

Anyway case yako sijui ikoje lkn, tafuta ndugu na rafiki zake mkalishe umwambie uko serious na hutaki mahusiano na psycho like him na kuwa akijiua poa tu akawahi plot kule. Kwa maelezo zaidi check Uzi Wa Kongosho points za Gaijin na wengine uitwao psychopathy.
 
Last edited by a moderator:

UFASHE MLIBHONA

Senior Member
Nov 28, 2012
177
51
Acheni kutesa wenzenu, umeshamuonjesha halafu unataka ku sign-out. Kakolea huyo endelea kumpa. Na hii mijitu bwana unamtapeli mtu mchana kweupe eti siwezi kuishi bila wewe-kwani mama yako huyo? kakuzaa? WZI MTUPU
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
47,007
64,048
Sijui nianze na pole, sijui nianzie wapi hata sielewi sasa, haya muwahishe hospital tu
 

neggirl

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
4,836
2,095
Duu wonders shall never end ooooooooo !

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

afrique

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
509
134
I had one like that,
niliweza kujinasua baada ya kuhama. Nilimpeleka akapata nyumba
tukaifurnish na kumkiss goodbye. Akataka kuacha kazi arudi, nikafanya
kitu kibaya sana kilichompiss off na nafikiri alipata mtoto wa kimbulu
pia.

Anyway case yako sijui ikoje lkn, tafuta ndugu na rafiki zake mkalishe
umwambie uko serious na hutaki mahusiano na psycho like him na kuwa
akijiua poa tu akawahi plot kule. Kwa maelezo zaidi check Uzi Wa
Kongosho points za
Gaijin na wengine uitwao psychopathy.

asante kaunga,nilikuwa na mawazo hayo Jan jioni nikawaambia ndugu zake wamtafutie mwanasaikoljia ndio anaweza kuboost his ego na ndio msaada wa muhimu kwa sasa
 
Last edited by a moderator:

afrique

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
509
134
Acheni kutesa
wenzenu, umeshamuonjesha halafu unataka ku sign-out. Kakolea huyo
endelea kumpa. Na hii mijitu bwana unamtapeli mtu mchana kweupe eti
siwezi kuishi bila wewe-kwani mama yako huyo? kakuzaa? WZI
MTUPU

shangaa na wewe jirani
 

MESTOD

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
4,799
1,988
Duh, kweli mapenzi kizungumkuti, ninayempenda hanipendi, na anayenipenda simpendi!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom