maoni yenu wana jf

Case yako ilimpata rafiki
yangu. Alikuwa na useless bf, linavuta bhange tu na kunywa mipombe,
litoto la mama linakaa kwao. Akaachana nalo halitaki. Siku likaenda kwa
shosti, shosti akalifukuza room kwake akafunga mlango. Kumbe likaenda
kununua flagyl na konyagi. Likavizia mlango wa mbele umefunguliwa,
likaingia ndani. Ni vyumba flani na corridor kwa ndani. Majirani
wanamuona mchizi kakaa mlangoni wanajua magomvi ya watu. Tu atoke usiku
kwenda toilet si anakuta jamaa linakoroma na povu linamtoka. Ikabidi
wamgongee shosti. Shosti ni clinical officer, first aid then mbio hosp
mchizi akafariki. Ikabidi shosti awekwe ndani. Babake kijana kutaarifiwa
cha kwanza alienda kumtoa shosti na kusema muacheni binti wa watu.
Mpuuzi huyu is better dead than alive.

You had better stay away from that guy. Kuwa na mtu kwenye mapenzi ili
tu umlinde asife ama kujidhuru ni kujitwika msalaba wa chuma. Na itakuwa
ndo fimbo yako. Atakucheat, ukitaka kumuacha ajiue. Atakunyanyasa kwa
kila hali na kujificha kujiua. Muache tu, hata malaria ingeweza kumuua,
suicide aint the only option.

well said king'asti,mi natamani kuhama kabisa ninapoishi
 
Back
Top Bottom