Kwahiyo wale mafisadi wa kiume wawe wake wakike wawe waume?na mimi naomba mafisadi wote wageuzwe jinsia....
Kwahiyo wale mafisadi wa kiume wawe wake wakike wawe waume?
na mimi naomba mafisadi wote wageuzwe jinsia....
Nakuunga kiuno daddy angu!!!!!
na mimi naomba mafisadi wote wageuzwe jinsia....
Sio kwamba wanyongwe kabisa?
tatizo ni nani wa kumvisha paka kengele...hakuna hata mmoja msafi
wakazi wa mbagala na
gongolamboto waomba ghala la silaha lijengwe ikulu na wafanyabiashara
waomba TRA itaifishwe...
Sasa tukiwabadilisha jinsia, na account zao za uswiss zitaongezeka tena zitakuwa nyingi kwa jinsia mbili tofauti!
hebu jiulize mazee mazima kama RA au AC au EL yanakuwa majianamke kisa ufisadi...yataficha wapi sura zao
Kaka aibu huwa inaisha!
heheheh....basi na wanyongwe kama Wachina wafanyavyo...ila kabla ya kunyongwa wanageuzwa jinsia
Binafsi napendekeza kuwe na ukomo wa kuwa bachela,wasiotekeleza kuoa au kuolewa wakifikisha umri wa miaka 25 wawajibishwe
kama cjapata mt mpaka umri uo???
Binafsi napendekeza kuwe na ukomo wa kuwa bachela,wasiotekeleza kuoa au kuolewa wakifikisha umri wa miaka 25 wawajibishwe
Na kwanini usipate?