maoni ya katiba mpya

wakazi wa mbagala na
gongolamboto waomba ghala la silaha lijengwe ikulu na wafanyabiashara
waomba TRA itaifishwe...

Ronyfely, Mi maoni yangu ni kama ifuatavyo
1.Matrafiki wote waondolewe barabarani
2.Kodi zoooote zifutwe.
3.Vituo vya polisi vifungwe. Asanteni!
 
Last edited by a moderator:
Sasa tukiwabadilisha jinsia, na account zao za uswiss zitaongezeka tena zitakuwa nyingi kwa jinsia mbili tofauti!

hebu jiulize mazee mazima kama RA au AC au EL yanakuwa majianamke kisa ufisadi...yataficha wapi sura zao
 
Binafsi napendekeza kuwe na ukomo wa kuwa bachela,wasiotekeleza kuoa au kuolewa wakifikisha umri wa miaka 25 wawajibishwe
 
Back
Top Bottom