MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

Status
Not open for further replies.
Mbona mm nimeowa mwisilam? Na'amebadilisha dini kwa sasa ni mkiristo mzuri sana ni mapatano tu

Huyo uliyemuowa ni muislamu Jina na si muumin. Hivyo nyote mupo katika upotofu mkubwa. Kama sisi tunavyolingania na kujitahid kuslimisha watu kila leo mwenzetu umeengeza idadi katika kanisa lako also
 
Pale inapotokea Muislam anaishi na binti wa kikristo na labda wamepata watoto wawili, alafu wanagawana dini mmoja anabaki kuwa mkristo na mwingine anakua muislam ... na baba anaenda msikitini kama kawaida.

imekaaje hiyo????

Just google uone report ya vatcan kuhusu kuongezeka kwa kasi kwa waislam dunian jinsi gani nyinyi mnavyobadili
 
Ahlul kitabu sasa hv hawapo kwani ahlul kitabu hawasemi kuwa yesu ni Mungu nw kuna washirikina
 
Haha ebu nicheke kwanza. Elim ni mali.
Ukweli ni kwamba, mwanamke wa kiyaudi halikuwa harusiwi kuolewa na muarabu.
Myaudi alikua katairiwa, muarabu halikua hajatairia.
Myaudi alikua na kitabu cha dini injiri, muarabu hakua nacho.
Myaudi alikua anatendea wanawake zao vyema kwa upendo, muarabu alikua anatendea wanawake zao kama wanyama.
Sheria ya dini ya kiyaudi ktk injiri ilizuia mwanamke wa kiyaudi kuolewa na muarabu, sababu muarabu anatendea mwanamke na watoto kama wanyama, hasie jua haki za binadam.

Ila myaudi aliweza kuokota muarabu na kumfanya mke. Myaudi alikua tajiri na muarabu ni masikini.

Hivo myaudi akaanza kukashf wanaume wa kiaarabu, kwa unyanyasaji na ukafiri wa kuchinja watoto wa kike.

Mohamedi aliona hilo, sababu hata mkewe bi Hadija aliolewa mara nyingi sana na kutelekezwa.
Na yeye mwenyewe alikua mtoto yatima, akapigania haki za wanawake wa kiarabu na watoto yatima.

Wayaudi ambao ni wakristo walikuwemo kumsaidia mohamedi kupiga vita imani potofu za waarabu.
Mohamedi alikopy injiri kwa mdomo. Yaani alitumia injiri ya wakristo ili waarabu wabadilike.

Lakini baadae mohamedi aliwageukia wayaudi, na kuwatimua.

Na hadi leo hii mwanamke wa kiarabu thamani hana kwa mwanamme wa kiarabu.
Hivo akiolewa na mume kabila ingine au dini ingine anathaminika.

Tamaduni ya kiafrika inathamini mwanamke, hivo hamna mwanamke wa kiafrika atakubali afanywe kama myama, hasie na akili. Na mukitafsiri tu kurani na dini ya kiislam kwa watanzania, mutaswali peke yenu waarabu.

Hapa hatuongelei uwarabu. Tunaongelea ukristo na uislamu hivyo jaribu kueleza uzuri na ushahidi uweleweke. Sisi waislamu tunaamini vitabu vyote vilokuja kabla yetu. Taurat, injil, Zabur, Kur-an. Vitabu vyote vimekuja na ujumbe mmoja wa kumuabudu Allah. Mara nyingi watu kuguswa kwa vitendo mbalimbali ambavyo vinafanywa na sisi Waislamu na pia vilivyotajwa katika Biblia. Matendo na Ujumbe huyo yatakuwa katika maeneo kadhaa katika Biblia, Taurat na Injiyl. Sisi tu pamoja katika 'Ibaadah na matendo ambayo yalikuwa yakifanywa na Manabii waliotangulia na Mitume. Na bila shaka dalili hizi ndo zinazidi kututhibitishia kuwa Uislamu ni dini ya hakki kutoka kwa Allaah na ni dini ya Mitume na Manabii wote waliotangulia. Kama ituakikishiavyo Qur-aan yenyewe kuwa: "Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yaletuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-haaq na Yaaquub na wajukuu zake, na waliyopewa Muusa na 'Iysa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake." Qur-aan 2:136
 
Haha ebu nicheke kwanza. Elim ni mali.
Ukweli ni kwamba, mwanamke wa kiyaudi halikuwa harusiwi kuolewa na muarabu.
Myaudi alikua katairiwa, muarabu halikua hajatairia.
Myaudi alikua na kitabu cha dini injiri, muarabu hakua nacho.
Myaudi alikua anatendea wanawake zao vyema kwa upendo, muarabu alikua anatendea wanawake zao kama wanyama.
Sheria ya dini ya kiyaudi ktk injiri ilizuia mwanamke wa kiyaudi kuolewa na muarabu, sababu muarabu anatendea mwanamke na watoto kama wanyama, hasie jua haki za binadam.

Ila myaudi aliweza kuokota muarabu na kumfanya mke. Myaudi alikua tajiri na muarabu ni masikini.

Hivo myaudi akaanza kukashf wanaume wa kiaarabu, kwa unyanyasaji na ukafiri wa kuchinja watoto wa kike.

Mohamedi aliona hilo, sababu hata mkewe bi Hadija aliolewa mara nyingi sana na kutelekezwa.
Na yeye mwenyewe alikua mtoto yatima, akapigania haki za wanawake wa kiarabu na watoto yatima.

Wayaudi ambao ni wakristo walikuwemo kumsaidia mohamedi kupiga vita imani potofu za waarabu.
Mohamedi alikopy injiri kwa mdomo. Yaani alitumia injiri ya wakristo ili waarabu wabadilike.

Lakini baadae mohamedi aliwageukia wayaudi, na kuwatimua.

Na hadi leo hii mwanamke wa kiarabu thamani hana kwa mwanamme wa kiarabu.
Hivo akiolewa na mume kabila ingine au dini ingine anathaminika.

Tamaduni ya kiafrika inathamini mwanamke, hivo hamna mwanamke wa kiafrika atakubali afanywe kama myama, hasie na akili. Na mukitafsiri tu kurani na dini ya kiislam kwa watanzania, mutaswali peke yenu waarabu.

Sisi hatwendi na tamaduni. Tunafuata maamrisho ya Allah ( Hapa tunaenda na maandiko yake) sio kubadilisha maandiko na kwenda vile binaadamu mlivyoamua wenyewe. Sisi tumeletwa duniani ili kumcha M.mungu. Kubadilisha maandiko katika vitabu vyenu huko ni kudhalilisha kitabu chake na maneno yake matakatifu.
 
Hata ktk ukristo ipo, nenda kamulize padri au soma bibilia kwa makini.
Itakuambia kama kurani inavo waambia waislam.
Ili wakufungishe ndoa kanisani lazma na yeye awe mkristo.



Ila wazungu wakayafyatua yale ya kijinga ya kizamani zamani.
Na kufuata yale yanayo tendea haki binadam.
Wazungu walimfuata alio sema Yesu au nabii Isa.
Walifuata haki za binadam, sio kitabu cha dini.

Myaudi alisema, lazma uwe myaudi ili uwe mkristo.
Yes, akasema wote ni wa mungu mmoja.

Myaudi alisema lazma utairiwe ili uwe mkristo.
Yes alisema hautaji kutairiwa ili uwe mkristo.

Myaudi alisema, musiwe karibu na watu wenye madhambi.
Yesu, alikumbatia watu wenye mathambi na kusema ukiwasamehe, na kuwafundisha mema watajibadilisha wenyewe.

Yesu alifucus haki ya mtu, yaani binadam hana haki ya kumzuia mtu kitu chema.
Kama yeye mwenyewe kapenda sawa, maisha yake.

Ila waislam, bado wanamila za kizamani, na ndio maana hawaendelei.

Kwa hiyo kitabu chenu kinabadilishwa kila leo kwa matakwa yenu na sio amri ya mola wenu? Poleni sana. Na ndomaana kila siku watu wanaingia katika dini ya uislamu makundi kwa makundi. Uislamu ndio dini ya haki na kitabu chake kakihifadhi kuwepo katika vifua vya waumini. Kwani maneno yake matakatifu wala hayajabadilishwa kwa maslahi ya binaadamu. Yanaheshimiwa na kutukuzwa TAKBIR
 
Vipi nadhani nimechambua uzuri zaid blogger sie waislamu tunapigania dini yetu kwa kupata ushindi na kutoa watu kizani

Uislamu ni dini ya haki.
Na nyie mnapigania dini . . . which directly means mnapigania haki!
Ili mpate ushindi kama ulivyoandika.

Anyways . . . can't stop asking myself ni ushindi upi huo?

Mie napenda tu kujifunza as sidharau dini ya mtu.
 
Mimi ni Muislamu na nashangazwa ninaposoma kuwa ninaishi katika Giza kwa kuwa nimeoa mwanamke na Dini hizo Tatu. Maisha yangu ni mazuri sana, mke wangu Ana Haki sawa. Guy udini upo kwenye nchi masikini tu. huwezi kusema inafuata Dini yako Wakati unakula RIBA, unampiga mke Wako au kumyima elimu mtoto Wako wa kike. Hao Ndio watu walio kwenye Giza Mpaka inapofika Ramadhan Ndio utamwona msikitini. Naomba Mtu ajitokeze na aseme anafata Sheria zote za Dini Yake. Kwa maoni yangu Dini na Maisha ya Kisasa , hasa ya nchi zilizoendelea, haziendi sambamba. Kama zikienda basi kila mwanamke angekuwa na watoto 20, msichana angekuwa na elimu, usingepokea riba benki, na wote tungelazimishwa Kuishi na Sheria za Dini Kama kanuni ya nchi. Mdini wa kweli ni Yule anayefuata Kila Sheria Sio Moja wala mbili. Wewe jaribu kumwambia mwanadada wa Leo arudi nyumbani saa unayotaka huko ulaya Kama hajakuacha, ujinga huu wa kusema mwanamume ndio mwenye Sauti zaidi nyumbani umepitwa na wakati,tuko Karne ya 21 sasa!
 
Nimesoma maoni mengi, na naomba kuchangia bila ya nia ya kumkashifu Mtu au Dini hapa.
1. Nimesoma maoni ya ndoa baina ya mwislamu, mkristo na myahudi. Lakini, Mimi ni mwislamu na sijaoa katika Dini hizo Tatu.
2. Katika nchi Tajiri Hamna mume kuwa na Sauti au Nguvu kuliko mwamamme. Kila nchi inavyotajirika iwe ya kiislamu au kikristo , Ndio kina mama wanazidi kupata Haki sawa. Kwa hivyo, ni Vigumu kutegemea mwanamume awe na Sauti kubwa kuliko mwamamke nyumbani katika nchi Tajiri hasa Zenye demokrasia kamili.
3. Dini ni Imani yako, na Hamna binadamu anaweza kufuata masharti ya Dini hata asilimia 30 ya Sheria za Dini Yake. Dini ya kiislamu inakataza RIBA, pombe na inafuata sharia law. Kuna Mtu kakatwa mkono Tanzania baada ya kuiba? Basi Kama Tanzania haifuati waumini wao hawafuati Sheria za Quran. Pia kutumia dawa kuzuia Mimba na kondom ni marufuku kwa Sababu tunaingilia kazi ya Mungu. Katika maisha yakileo ni vigumu kuzaa bila ya kupanga, na mara nyingi wanawake wanafunga uzazi au wanatumia dawa, kinyume na sheria za dini yao.Kujiita mwislamu au mkristo peke Yake Haitoshi Kama hatuwezi Kuishi na Sheria Ngumu za Dini. Kwa Karne ya 21, kila nchi inavyotajirika, utakuta Imani za Dini zote zinapungua.

Nawakilisha.

Thanx!! It' ll take years for ordinary mind to know this!
 
Uislamu ni dini ya haki.
Na nyie mnapigania dini . . . which directly means mnapigania haki!
Ili mpate ushindi kama ulivyoandika.

Anyways . . . can't stop asking myself ni ushindi upi huo?

Mie napenda tu kujifunza as sidharau dini ya mtu.

Fatilia iko siku M.mungu s.w atakutoa katika giza na kuwepo katika nuru yake. Uitambue haki na upate ushindi wa kufuata dini iliyosawa ili M.mungu akuridhie uwingie katika pepo yake. Amin kwa pia sote
 
Al Islam nuur,,....inaangaza kotekote,,...ivo ni ngumu kwa mzazi kumruhusu mwanae wether ni me au ke kuoa au kuolewa kwa mtu wa imani nyingine cz anakua katoka kwenye nuur na kuingia Gizani

Kabisaaaaaa Uislamu ni gza,tena totoro.Siwezi ruhusu mwanangu aingie huko.
 
True waislamu wanaume wameruhusiwa kuowa Ahlul-kitabu ikiwa imeshindikana kumpata muislamu aliye msafi . Lakini siku hizi kuna khofu kwamba wale wanaooa huenda wakakutana na uovu zaidi. Wanaweza kuwaita katika dini yao na wanaweza kuwalea watoto wao katika Ukristo. Kwa hiyo hatari ipo hakika na ni kubwa. Ili kuwa katika amani, Muumini ni bora asiwaoe.


Mkuu mimi nina swali!Hiyo ndoa itafungwa vipi kati ya hao watu wawili ilhali mmoja bado hajaamini katika uislam? Namaana hiyo siku ya ndoa inakuwaje? Ninachofahamu mimi hakuna ndoa kati ya muislam na asiyekuwa muislam though i stand to be corrected.
 
basi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa na mapenz atamfuata mwenzie regardless yupo dini gan kama uhitaji na umuhim na huyo mtu haupo then tutaendelea kudanganyana mpaka kila mtu apate mwenzi wa dini yake....#siamini katika uislam

'biblia inasema kamwe hautaweza kuubadilisha unywele mmoja ukawa aidha mweupe au mweusi...............ni maandiko hunenea na wala si mimi
 
Tuacheni uhuni humu ndani! Mi naham na kitimoto ambayo quran inaruhusu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu mimi nina swali!Hiyo ndoa itafungwa vipi kati ya hao watu wawili ilhali mmoja bado hajaamini katika uislam? Namaana hiyo siku ya ndoa inakuwaje? Ninachofahamu mimi hakuna ndoa kati ya muislam na asiyekuwa muislam though i stand to be corrected.

Hapo nimeleza muislamu aliruhusika kuowa ahlul-kitabu kama imeshindikana kumpata muislamu mwema. Ahlul kitabu ni mwanamke aliye msafi yaani myahudi lakini katika wale walioteremshiwa kitabu kwa mfano injil. Ambaye si mshirikina hapo nimemaanisha kwamba hamtukuzi kiumbe na kusema ni mwana wa mungu. Anaamini mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa. Vitabu vyote vimekuja kwa lengo moja.laila hailla llah. Hivyo kwa miaka ya sasa hao ahlul-kitabu hawapo. Hivyo Hamna ndoa ya mshirikina na muislamu. Kwani wakristo ni washirikina wanamtukuza nabii kuwa ni mwana wa mungu. Nadhani nimeleweka
 
huoni kama hapo utakua umepingana na sheria ya ndoa na haki ya watoto kwa mama na mama kwa watoto.. mwanamke pia ana haki ya watoto. Je! huo si ukandamizaji?

Hapo nadhani amekujibu kulingana na mafundisho ya kiislamu, kwa hiyo ukitaka na kujadili sheria ya ndoa au sijui familia ya Tanzania utachanganya mambo sana. au bidodo?
 
Last edited by a moderator:
Na kama huyo mwanamke mkristo hayupo radhi kubadili dini wataishi vipi hapo au ndoa itakuaje?

Hili swali lako limejibiwa hapa chini

Muislamu wa kiume anatakiwa akae na muyahudi au mkiristo (ahlul-kitab) wakiowana kwa muda maalum tu kwa ajili ya kumuongoza mkewe katika dini ya haki. Ikiwa imeshindikana atatakiwa kumuacha ila watoto watakua chini ya baba yao katika malezi ya kiislam. Kwa sababu mwanaume ndio kiongozi wa familia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom