MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

Status
Not open for further replies.
...ninachofahamu kwa uelewa wangu mdogo, ndoa hizo mara nyingi hufungwa baada ya vita kubwa sana ktk familia na baada ya hapo watoto mara nyingi wanakosa msimamo wa dini ipi kuifuata kunakuwa na mchanganyiko wa imani, wakienda kwa shangazi avutia kwa uislamu, wakienda kwa mamdogo ukristo...nina rafiki ambaye baba ni muislamu na mama mkristo, mwezi mtukufu wanafunga lkn kipindi kingine chote cha mwaka wanakuwa wanakwenda kanisani na mama... mh, sielewi kwa kweli, labda wenye experience zaidi watujuze
 
MadameX, mbona huwa hutoi maoni mara nyingi huwa unaacha mambo yana-hang. Speak tusikie maoni yako!

Mkuu naona kama hukunitendea haki, sikutaka kusema maoni yangu kwasababu imekaa kidini zaidi tena upande mmoja na nishaona mwisho wake. Kuna watu wamejieleza vizuri tu lakini naona tutarudia pale pale, aisee nimefunga sitaki kuharibu siku yangu leo.
 
...ninachofahamu kwa uelewa wangu mdogo, ndoa hizo mara nyingi hufungwa baada ya vita kubwa sana ktk familia na baada ya hapo watoto mara nyingi wanakosa msimamo wa dini ipi kuifuata kunakuwa na mchanganyiko wa imani, wakienda kwa shangazi avutia kwa uislamu, wakienda kwa mamdogo ukristo...nina rafiki ambaye baba ni muislamu na mama mkristo, mwezi mtukufu wanafunga lkn kipindi kingine chote cha mwaka wanakuwa wanakwenda kanisani na mama... mh, sielewi kwa kweli, labda wenye experience zaidi watujuze

Hapo mzee wa kiume anatakiwa awe kiongozi shupavu katika familia ili kuongoza watoto wake katika dini ya kiislam.Mwanamke akikataa haki anatakiwa amuache. Baba kupitisha wajibu wake kwa wanawe kuwafundisha dini ya kislam muhimu lakini mtoto akiwa balenge mtu mzima na akakataa haki hapo sio kosa la mzazi ila mtoto mwenyewe. Hivyo anaandikiwa dhambi.
 
Mkuu naona kama hukunitendea haki, sikutaka kusema maoni yangu kwasababu imekaa kidini zaidi tena upande mmoja na nishaona mwisho wake. Kuna watu wamejieleza vizuri tu lakini naona tutarudia pale pale, aisee nimefunga sitaki kuharibu siku yangu leo.

Umefunga nini madameX mbona kifua ki wazi?...LoL..
Wengine tunaogopa kuchangia kwani nahisi huu uzi ama utafungwa au tutaambulia ban.
 
Ongeeni yote, lakini mie siko radhi kuingia dini yoyote kwa sababu ya kipochi-manyoya,not worth that much/
 
huoni kama hapo utakua umepingana na sheria ya ndoa na haki ya watoto kwa mama na mama kwa watoto.. mwanamke pia ana haki ya watoto. Je! huo si ukandamizaji?

Kwa dini ya kiislam huo si ukandamizaji bali mwanaume anatakiwa awe na hadhari na uovu wake na hadhari ya kumruhusu asimvute yeye au watoto wake katika ukafiri.
 
Mkuu naona kama hukunitendea haki, sikutaka kusema maoni yangu kwasababu imekaa kidini zaidi tena upande mmoja na nishaona mwisho wake. Kuna watu wamejieleza vizuri tu lakini naona tutarudia pale pale, aisee nimefunga sitaki kuharibu siku yangu leo.

tupeane elimu dada.. tuwekane sawa....
hamna cha upande mmoja hapo... si busara kunyimana knowledge...
kufunga si sababu ya kutoongea
 
sikatai mawazo yako ...ila wajua kwamba waislam ni wengi wanaooa dada zetu kuliko wakristo.... na kwa taarifa tu ,they feel proud kuoa wakristo na wanasisitiza hilo...

No Offence please

Kiimanai mwislamu akioa mtu wa dini nyingine (kafiri) anapata thawabu ni moja ya njia za kupata thawabu.... hata kwa upande wa wakristo ukiweza kumleta mpagani kundini unaonekana kuongeza kanisa na kupata neema
 
Umefunga nini madameX mbona kifua ki wazi?...LoL..
Wengine tunaogopa kuchangia kwani nahisi huu uzi ama utafungwa au tutaambulia ban.

ukijiandaaa kivita wakati wenzako wapo kwa amani ,, hakika utapewa ban...
ila ukija kwa amani wala uzi hauwezi fungwa...
tupeane elimu
 
Naomba kufahamu , ni kwanini Waislam hawako tayari dada/mabinti zao kuolewa na Wkristo wakati wao wanaoa dada zetu(WAKRISTO) ,,

Taqfadhali maoni.

NO OFFENCE PLEASE.

Kuna mtu nilimsikia kuwa wana mpango wa kuuwa ukristu kwa kupunguza idadi ya waumini... Hivyo basi wanaowa wakristu ili mdada azae watoto wa kiislamu. Kwa namna hiyo wakristu watakuwa wanpungua idadi slowly.
 
bidodo tusaidie jibu hili swali...

itabidi amuache. Kumbuka nimeelezea hapo juu kwamba muislamu ataruhusika kumuowa muyahudi au mkiristo endapo atamuongoza katika dini ya uislamu. Hivyo ikishindikana haki amuache. Kwani kutomuacha ni kumshirikisha Allah (s.w), Kwani yeye ashakua haramu kwake. Allah anajua zaid
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom