MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

Status
Not open for further replies.
nimewahi kumtongoza binti wa kiislam/mpemba kwa lugha ya ndoa akagoma kwa madai kuwa kiimani hakuna ndoa kati ya dini tofauti. Nilimuelewa kwa sababu hata ktk ukristo ndoa kt ya dhehebu kwa dhehebu inaleta shida hasa ukitaka ibada ya ndoa.

huyo alikua ni binti na ni lazima akujibu hivyo kwani Binti wa kiislamu haruhusiwi na dini olewa na mkristo ...ila mwanaume ni sahihi funga muoa binti wa kikristo....
Mwanamke wa ki Islam kabanwa hapo hata kama kapenda vp.. upo

Cc bidodo
 
Last edited by a moderator:
Uislamu umekuja kuwatoa watu katika ujinga ndo maana waislamu wanajitolea kwa hali na mali kuelimisha watu katika njia iliyonyooka. Hapa tunazungumzia waumini sio muislamu Jina. "Allah hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana aliyefanana nae" Apo ni ukweli mtupu ndugu yangu

Unaweza ukatupa hoja mkuu ili tuamini kama uislamu sio ukombozi hapa tupo kuelimishana
 
huyo alikua ni binti na ni lazima akujibu hivyo kwani Binti wa kiislamu haruhusiwi na dini olewa na mkristo ...ila mwanaume ni sahihi funga muoa binti wa kikristo....
Mwanamke wa ki Islam kabanwa hapo hata kama kapenda vp.. upo

Cc bidodo

Katika dini yetu wanaume ndio viongozi wa wanawake. Sijui kwa nyie wenzetu mnaongozwa na kina mama?
 
Red''''= nilisha kombolewa zamani na Mungu ninaye muamini mimi ndio huyo wewe wamuamini, hivyo uislamu si ukombozi.

Blue'''=umeandika kashfa na ni kejeli... so unaharib mfungo wako,,, or else ni Muislam jina....

Unaweza ukatupa hoja mkuu ili tuamini kama uislamu sio ukombozi hapa tupo kuelimishana
 
Mkuu naona kama hukunitendea haki, sikutaka kusema maoni yangu kwasababu imekaa kidini zaidi tena upande mmoja na nishaona mwisho wake. Kuna watu wamejieleza vizuri tu lakini naona tutarudia pale pale, aisee nimefunga sitaki kuharibu siku yangu leo.

Pole kwa saumu (au niseme heri kwa saumu???). Si ndio tunataka uongee hata kama ni ishu ya kidini, ndio mazungumzo yenyewe!
 
Sahihi hilo ni lengo sahihi!!!

Mc!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Naomba kufahamu , ni kwanini Waislam hawako tayari dada/mabinti zao kuolewa na Wkristo wakati wao wanaoa dada zetu(WAKRISTO) ,,

Taqfadhali maoni.

NO OFFENCE PLEASE.
well i need this topic dem wang muislam tuna mjadala mzito tufunge ndoa gan....
 
kwa imani ya dini ya kiislamu, ukristo ni giza(si dini ya kweli) hivyo wakristo kwa ujumla wapo kwenye upotevu ulio mkubwa, ni nadra sana kukuta mzazi wa kiislamu kumruhusu mwanae(binti) kuplewa na mkristo kwa maana ya kutotaka kumtia gizani. Aidha hata kwa watoto wa kiume ambao wanataka kuoa mabinti wakikristo ni vigumu sana wazazi kukubaliana nao unless binti akubali kubadili dini kuingia uislamu.
 
well i need this topic dem wang muislam tuna mjadala mzito tufunge ndoa gan....

Hapo huwezi kufunga nae ndoa kwani yeye ni muislamu na dini haimruhusu kufanya hivyo. Kuenda kinyume ni kumshirikisha Mungu. Ispokua kama wewe utaslimu na kuwa muumin basi utaruhusika kumuowa ila sio kwa kumfata mwanamke ndio ubadili dini haitasihi. Kwani amali zote hufungamana na nia na mtu hufanya alilolinuia. Kama utaikubali dini ya haki basi utaruhusika kumuowa la si ivo BIG NO
 
Hii kitu haipo hata kidogo ndugu tena haiwezekani, wengi wanaofanya hivyo kama ambavyo amesema member mmoja hapo juu, huyo muislam atakuwa hajui thamani na vigezo vya dini ya kiislam, ndo maana inatakiwa ifike time wakristo waweze kutofautisha waislam(mfano: ISSA PONDA,AMIR FAREED, ALLY MSELEM) na watu wenye majina ya kiislam( mfano: mufti SHAABAN SIMBA,alhaj MUSSA SALUM(kadhi wa mkoa dar)). Nadhani hapo nimeelweweka!
 
basi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa na mapenz atamfuata mwenzie regardless yupo dini gan kama uhitaji na umuhim na huyo mtu haupo then tutaendelea kudanganyana mpaka kila mtu apate mwenzi wa dini yake....#siamini katika uislam
 
Hii kitu haipo hata kidogo ndugu tena haiwezekani, wengi wanaofanya hivyo kama ambavyo amesema member mmoja hapo juu, huyo muislam atakuwa hajui thamani na vigezo vya dini ya kiislam, ndo maana inatakiwa ifike time wakristo waweze kutofautisha waislam(mfano: ISSA PONDA,AMIR FAREED, ALLY MSELEM) na watu wenye majina ya kiislam( mfano: mufti SHAABAN SIMBA,alhaj MUSSA SALUM(kadhi wa mkoa dar)). Nadhani hapo nimeelweweka!
kwa mwanaume wa kiislam au kikristo ili kama unampenda mpenzio na wa dini tofauti kupunguza mikanganyiko ya nan amfuate nan we mzalishe tu kesi ya kidini inajisolve automatically...atakufuata tu..
 
Nimesoma maoni mengi, na naomba kuchangia bila ya nia ya kumkashifu Mtu au Dini hapa.
1. Nimesoma maoni ya ndoa baina ya mwislamu, mkristo na myahudi. Lakini, Mimi ni mwislamu na sijaoa katika Dini hizo Tatu.
2. Katika nchi Tajiri Hamna mume kuwa na Sauti au Nguvu kuliko mwamamme. Kila nchi inavyotajirika iwe ya kiislamu au kikristo , Ndio kina mama wanazidi kupata Haki sawa. Kwa hivyo, ni Vigumu kutegemea mwanamume awe na Sauti kubwa kuliko mwamamke nyumbani katika nchi Tajiri hasa Zenye demokrasia kamili.
3. Dini ni Imani yako, na Hamna binadamu anaweza kufuata masharti ya Dini hata asilimia 30 ya Sheria za Dini Yake. Dini ya kiislamu inakataza RIBA, pombe na inafuata sharia law. Kuna Mtu kakatwa mkono Tanzania baada ya kuiba? Basi Kama Tanzania haifuati waumini wao hawafuati Sheria za Quran. Pia kutumia dawa kuzuia Mimba na kondom ni marufuku kwa Sababu tunaingilia kazi ya Mungu. Katika maisha yakileo ni vigumu kuzaa bila ya kupanga, na mara nyingi wanawake wanafunga uzazi au wanatumia dawa, kinyume na sheria za dini yao.Kujiita mwislamu au mkristo peke Yake Haitoshi Kama hatuwezi Kuishi na Sheria Ngumu za Dini. Kwa Karne ya 21, kila nchi inavyotajirika, utakuta Imani za Dini zote zinapungua.

Nawakilisha.
 
Hapo sasa umenena!
Kwa elimu yangu ndogo, nahis Waislamu kuoa wakiristo ni kama mission flan ya kutoa watu kizani na kuwaleta kwenye nuru ya uislamu thus why wanakataa watoto wao kutolewa katika nuru na kuingizwa kizani.
No offence!

absoluttely true,,..no comment bro
 
kwa imani ya dini ya kiislamu, ukristo ni giza(si dini ya kweli) hivyo wakristo kwa ujumla wapo kwenye upotevu ulio mkubwa, ni nadra sana kukuta mzazi wa kiislamu kumruhusu mwanae(binti) kuplewa na mkristo kwa maana ya kutotaka kumtia gizani. Aidha hata kwa watoto wa kiume ambao wanataka kuoa mabinti wakikristo ni vigumu sana wazazi kukubaliana nao unless binti akubali kubadili dini kuingia uislamu.

swadakta,,...umenena mkuu
 
Al Islam nuur,,....inaangaza kotekote,,...ivo ni ngumu kwa mzazi kumruhusu mwanae wether ni me au ke kuoa au kuolewa kwa mtu wa imani nyingine cz anakua katoka kwenye nuur na kuingia Gizani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom