MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

Status
Not open for further replies.
In short WAISLAM wana MSIMAMO ktk dini yao kuliko WAKRISTO,ndio maana hata makanisa ya kisasa yameweza chota waumini wengi toka makanisa makuu ya katoliki na lutheran
 
Uislamu umekuja kuwatoa watu katika ujinga ndo maana waislamu wanajitolea kwa hali na mali kuelimisha watu katika njia iliyonyooka. Hapa tunazungumzia waumini sio muislamu Jina. "Allah hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana aliyefanana nae" Apo ni ukweli mtupu ndugu yangu

Allah ni Mungu wa waislam sisi na Jehova ni Mungu Mkuu sasa hawa ni sawa au tofauti?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
SOMA HAPA
Mimi napenda kuwahusia pale wapenzi wawili wa dini tofauti kuoana mara nyingu ni furaha kwao na si watoto pale inapotokea kuachana au mmoja kufa lazima udini utoke .Mimi ni muhanga wa hili tatizo mapenzi ya baba na mama(Rip) sisi watoto hatujielewi ukienda huku unaotwa mariam ukija huku unaitwa Mary .Tuwe waangalifu sana kwa hili swala la.ndoa na utofauti wa dini.
 
Mbona mm nimeowa mwisilam? Na'amebadilisha dini kwa sasa ni mkiristo mzuri sana ni mapatano tu
 
Dini tumeletewa "afande sele" ........huna haja kujua dini ya kweli ni ipina dini ya shetani ni ipi. Utatambua dini inayohubiri AMANI NA UPENDO POPOTE DUNIANI NDO DINI YA MUNGU YEHOVA
 
Naomba kufahamu , ni kwanini Waislam hawako tayari dada/mabinti zao kuolewa na Wkristo wakati wao wanaoa dada zetu(WAKRISTO) ,,

Taqfadhali maoni.

NO OFFENCE PLEASE.

Ni makubaliano kuoa au kuolewa, kama vp zuieni dada zenu wasiolewe na waislamu
 
In short WAISLAM wana MSIMAMO ktk dini yao kuliko WAKRISTO,ndio maana hata makanisa ya kisasa yameweza chota waumini wengi toka makanisa makuu ya katoliki na lutheran

unamjua dalai ramah? kuna kitabu cha #dalai lama kinaitwa#beyond religion anazungumzia dini sio muhimu but warm hearted.....
 
Hii mada imepamba moto. Mimi leo nitakua msomaji tu
 
Haha ebu nicheke kwanza. Elim ni mali.
Ukweli ni kwamba, mwanamke wa kiyaudi halikuwa harusiwi kuolewa na muarabu.
Myaudi alikua katairiwa, muarabu halikua hajatairia.
Myaudi alikua na kitabu cha dini injiri, muarabu hakua nacho.
Myaudi alikua anatendea wanawake zao vyema kwa upendo, muarabu alikua anatendea wanawake zao kama wanyama.
Sheria ya dini ya kiyaudi ktk injiri ilizuia mwanamke wa kiyaudi kuolewa na muarabu, sababu muarabu anatendea mwanamke na watoto kama wanyama, hasie jua haki za binadam.

Ila myaudi aliweza kuokota muarabu na kumfanya mke. Myaudi alikua tajiri na muarabu ni masikini.

Hivo myaudi akaanza kukashf wanaume wa kiaarabu, kwa unyanyasaji na ukafiri wa kuchinja watoto wa kike.

Mohamedi aliona hilo, sababu hata mkewe bi Hadija aliolewa mara nyingi sana na kutelekezwa.
Na yeye mwenyewe alikua mtoto yatima, akapigania haki za wanawake wa kiarabu na watoto yatima.

Wayaudi ambao ni wakristo walikuwemo kumsaidia mohamedi kupiga vita imani potofu za waarabu.
Mohamedi alikopy injiri kwa mdomo. Yaani alitumia injiri ya wakristo ili waarabu wabadilike.

Lakini baadae mohamedi aliwageukia wayaudi, na kuwatimua.

Na hadi leo hii mwanamke wa kiarabu thamani hana kwa mwanamme wa kiarabu.
Hivo akiolewa na mume kabila ingine au dini ingine anathaminika.

Tamaduni ya kiafrika inathamini mwanamke, hivo hamna mwanamke wa kiafrika atakubali afanywe kama myama, hasie na akili. Na mukitafsiri tu kurani na dini ya kiislam kwa watanzania, mutaswali peke yenu waarabu.
 
In short WAISLAM wana MSIMAMO ktk dini yao kuliko WAKRISTO,ndio maana hata makanisa ya kisasa yameweza chota waumini wengi toka makanisa makuu ya katoliki na lutheran

unaweza ukawa sahihi sana Mkuu..
ukweli haujifichi.
 
In short WAISLAM wana MSIMAMO ktk dini yao kuliko WAKRISTO,ndio maana hata makanisa ya kisasa yameweza chota waumini wengi toka makanisa makuu ya katoliki na lutheran

unajua ulichokiandika kweli ndugu yangu kwenye hizo red??? sio kila thread ni ya kuchangia hasa ukiwa huna idea nayo.
 
Kwa sababu mke ni rahisi kufata dini ya mumewe na Uislaam umekuja kukukomboa kutoka katika kuabudu masanamu na binaadam wenzio na kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa, hakuna anaye fanana naye hata mmoja.

Taz, Quran 17:85 Na wanakuuliza habari za roho. Sema: "Roho ni jambo lililohusika na Mola wangu (Mwenyezi Mungu). Nanyi hamkupewa katika ilimu(ujuzi) ila kidogo kabisa. (Navyo ni vitu visivyo husika katika roho)"

Mungu kuwa na mtoto ni ambo ya kiroho sio kimwili..kitabu chako kinasema hamjapewa habari za roho.....! Huna uewezo wa kulijua jambo hilo!
 
Naomba kufahamu , ni kwanini Waislam hawako tayari dada/mabinti zao kuolewa na Wkristo wakati wao wanaoa dada zetu(WAKRISTO) ,,

Taqfadhali maoni.

NO OFFENCE PLEASE.

Hata ktk ukristo ipo, nenda kamulize padri au soma bibilia kwa makini.
Itakuambia kama kurani inavo waambia waislam.
Ili wakufungishe ndoa kanisani lazma na yeye awe mkristo.

Ila wazungu wakayafyatua yale ya kijinga ya kizamani zamani.
Na kufuata yale yanayo tendea haki binadam.
Wazungu walimfuata alio sema Yesu au nabii Isa.
Walifuata haki za binadam, sio kitabu cha dini.

Myaudi alisema, lazma uwe myaudi ili uwe mkristo.
Yes, akasema wote ni wa mungu mmoja.

Myaudi alisema lazma utairiwe ili uwe mkristo.
Yes alisema hautaji kutairiwa ili uwe mkristo.

Myaudi alisema, musiwe karibu na watu wenye madhambi.
Yesu, alikumbatia watu wenye mathambi na kusema ukiwasamehe, na kuwafundisha mema watajibadilisha wenyewe.

Yesu alifucus haki ya mtu, yaani binadam hana haki ya kumzuia mtu kitu chema.
Kama yeye mwenyewe kapenda sawa, maisha yake.

Ila waislam, bado wanamila za kizamani, na ndio maana hawaendelei.
 
Uislamu umekuja kuwatoa watu katika ujinga ndo maana waislamu wanajitolea kwa hali na mali kuelimisha watu katika njia iliyonyooka. Hapa tunazungumzia waumini sio muislamu Jina. "Allah hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana aliyefanana nae" Apo ni ukweli mtupu ndugu yangu

Taz, Quran 17:85 Na wanakuuliza habari za roho. Sema: "Roho ni jambo lililohusika na Mola wangu (Mwenyezi Mungu). Nanyi hamkupewa katika ilimu(ujuzi) ila kidogo kabisa. (Navyo ni vitu visivyo husika katika roho)"

Mungu kuwa na mtoto ni mambo ya kiroho sio kimwili..kitabu chako kinasema hamjapewa habari za roho.....! Huna uwezo wa kulijua jambo hilo!

Wacha kukremu maandiko dogo! Sasa jiulize imani isiyo na ufahamu na mambo ya kiroho ina mkomboaeje mtu!?
 
Taz, Quran 17:85 Na wanakuuliza habari za roho. Sema: "Roho ni jambo lililohusika na Mola wangu (Mwenyezi Mungu). Nanyi hamkupewa katika ilimu(ujuzi) ila kidogo kabisa. (Navyo ni vitu visivyo husika katika roho)"

Mungu kuwa na mtoto ni ambo ya kiroho sio kimwili..kitabu chako kinasema hamjapewa habari za roho.....! Huna uewezo wa kulijua jambo hilo!

Soma vizuri, "hamkupewa ila kidogo tu" hamaanishi hilo nililokuwekea nyekundu. Kuwa makini.

Hiyo kidogo tuliyopewa inaitwa "Ilm Kist wa Ruh". Unalijuwa hilo? Katafute utapoweza hutakuja na jibu, open challenge, nna uhakika hata hiyo kidogo wewe huna.
 
Haha ebu nicheke kwanza. Elim ni mali.
Ukweli ni kwamba, mwanamke wa kiyaudi halikuwa harusiwi kuolewa na muarabu.
Myaudi alikua katairiwa, muarabu halikua hajatairia.
Myaudi alikua na kitabu cha dini injiri, muarabu hakua nacho.
Myaudi alikua anatendea wanawake zao vyema kwa upendo, muarabu alikua anatendea wanawake zao kama wanyama.
Sheria ya dini ya kiyaudi ktk injiri ilizuia mwanamke wa kiyaudi kuolewa na muarabu, sababu muarabu anatendea mwanamke na watoto kama wanyama, hasie jua haki za binadam.

Ila myaudi aliweza kuokota muarabu na kumfanya mke. Myaudi alikua tajiri na muarabu ni masikini.

Hivo myaudi akaanza kukashf wanaume wa kiaarabu, kwa unyanyasaji na ukafiri wa kuchinja watoto wa kike.

Mohamedi aliona hilo, sababu hata mkewe bi Hadija aliolewa mara nyingi sana na kutelekezwa.
Na yeye mwenyewe alikua mtoto yatima, akapigania haki za wanawake wa kiarabu na watoto yatima.

Wayaudi ambao ni wakristo walikuwemo kumsaidia mohamedi kupiga vita imani potofu za waarabu.
Mohamedi alikopy injiri kwa mdomo. Yaani alitumia injiri ya wakristo ili waarabu wabadilike.

Lakini baadae mohamedi aliwageukia wayaudi, na kuwatimua.

Na hadi leo hii mwanamke wa kiarabu thamani hana kwa mwanamme wa kiarabu.
Hivo akiolewa na mume kabila ingine au dini ingine anathaminika.

Tamaduni ya kiafrika inathamini mwanamke, hivo hamna mwanamke wa kiafrika atakubali afanywe kama myama, hasie na akili. Na mukitafsiri tu kurani na dini ya kiislam kwa watanzania, mutaswali peke yenu waarabu.

Hebu nipe source ya haya maelezo yako
 
Allah ni Mungu wa waislam sisi na Jehova ni Mungu Mkuu sasa hawa ni sawa au tofauti?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mungu ndo huyo huyo mmoja ispokua nyie mmekufuru pale mliposema Jesus ni mwana wa Mungu na kumtukuza kiumbe wake kama Mungu. Mungu ni mmoja wala hakuna aliyefanana nae, Hakuzaa wala hakuzaliwa. Kiufupi nyie mna dini yenu na sie tuna dini yetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom