Hehee ajabu nikuwa sikukumbuka wala kuijengee maanani tu, lakini nipo kwenye hiyo ajira na ninawajibika vilivyo kuhakikisha ccm naifuta kabisa kwenye akili za watu na ikiwezekana kwenye historia ya siasa Tanzania
Duuuuuh aisee huu naona ni ujasiliamali mpya kwangu, eeehe hapa unahitaji msaada gani tena mkuu?
Natamani kuwa Mkulima, kwa maana ya kuwa mzalishaji wa mazao ya chakula hasa nafaka. Niwe na Trekta za kutosha, mashine za kuvunia na kuchambua/kukoboa/kusaga, na Malori ya kusafirisha mazao yangu mpaka ktk godauni zangu. Mbali na hayo, niwe Mwalimu katika mazingira nitakayo yafurahia hasa Elimu ya juu katika fani ya Saikolojia nibobee katika maswala yanayohusiana na Psychosis!
Mi nnachopenda kufanya ni kujiajiri ktk kilimo (Agribusiness), kwa namna hii naona kuwa ntaweza kutumia elimu yangu kwa maslah mapana ya jamii.
Nataka kulitumikia taifa langu kipenzi katika sekta nyeti ya afya.
UBARIKIWE SANA,,LIVE LONG LIVE LONG
CCM HAIKUBALIKI,NA NI HATARI,,WEKA MBALI NA TEMBO...!
:smile: :smile:
Napenda kuwa neurologist.
Napenda kulitumikia taifa ktk sekta ya nyumba kwa kuanzisha kampuni yangu na kujenga nyumba za bei rahisi ambazo kila mtanzania mwenye mshahara ya kawaida ataweza kununua kwa mortgage,na nimeshaanza mchakato kupitia NHBRA(national housing and building resources agency).still nipo kwenye research ya kuweza kujenga nyumba za gharama between 15mill hadi 20 mill,maana nhc wameshindwa kuwahudumia wananchi wa hali ya chini,sababu kubwa inayosababisha gharama kuwa juu zaidi kwa dar ni ardhi ambapo ndio changamoto kubwa iliyopo.
Asante sana mkuu! Nini kinakwamisha kutmiza lengo lako au tayari unahudumu katika sekta hiyo?
Nafurahi kwa mara ya kwanza kupata maoni ya kupenda JWTZ,
Mkuu hongera sana jaribu bahati hiyo na ndoto yako itatimia tu!
Kumbuka:
Nidhamu
Uvumilivu
Uzalendo
Bidii
Ndio tiketi pekee ya kuhudumu mikononi mwa Generali Mwamnyange
Usalama wa taifa ili niwaumbue zaid hawa
kwa sasa ninasoma diploma bt changamoto ni za kaiwaida katika masomo.
Usalama wa taifa ili niwaumbue zaid hawa
Hivi hakuna anayetaka kujiunga na Jeshi la Polisi au Magereza??!
Kwa sasa unafanya nn ili hao usalama wa taifa wakuone??!
Oh na ukishakuwa highly trained usalama wa taifa..ungependa kufanya nn ili kuchangia ambacho hakifanyiki saivi??!