MAONI: Kijana wa Kitanzania, Ungependa kulitumikia Taifa katika sekta ipi?

Dah! Napenda nije niwe mtafiti katika technology hasa machine ambayo itatumia fuel(energy) kidogo lakini ufanisi(efficiency) wake uwe mkubwa. Dah! Ila mtu ukifeli kitu kinachoitwa mtihani wa Taifa ndo basi tena.
 
Hongera sana, mungu atakusaidia utafaulu mtihani tu na malengo yako yatatimia!
 
Mi ni mwajiriwa wa kampuni kubwa ya simu ila napenda kuajiriwa Serikalini nipate kulitumikia Taifa lanu pia
 
Katika nchi tajwa, ila kwa Tanzania ndio nakusanya data kwako na kwa wengine!

Vipi ungependa au unahudumu sekta gani katika jamuhuri hii?

Una maana umekusanya mwenyewe, kama ndio unaweza kuweka methodologies?

Kama siyo source yako ni wapi?
 
Mkuu wewe sema unapenda au unahudumu katika sekta ipi Tanzana?

Uking'ang'ania chanzo hatutafanikiwa kufikia malengo ya kutambua mwelekeo wa vijana wa tanzania kwa uhudumu wa Taifa lao!
 
Hahaa tutakunyonga mkuu, katiba tunairekebisha iili tuanze kuwanyonga mafisa!

hiyo ndio siri ya mafanikio kwa mtanzania na sio kufanya kazi kwa bidii walio fanya kazi kwa bidii na uadilfu wamekufa masikini nakuziacha famila ao zikteseka.
 
Ndoto zangu zitatimia endapo,nitapata upenyo wa kulitumikia taifa kupitia TISS,nitahakikisha naibua mafisadi wote waliolifikisha hli taifa hapa lilipo na kuhakikisha wanashtakiwa mahakamani.
 
Mkuu wewe sema unapenda au unahudumu katika sekta ipi Tanzana?

Uking'ang'ania chanzo hatutafanikiwa kufikia malengo ya kutambua mwelekeo wa vijana wa tanzania kwa uhudumu wa Taifa lao!

Kama nitatoa jibu inabidi kwanza nijue jibu linatumikaje. Hata kwenye research kuna hivi vitu. Sio nikupe jibu hapa halafu uende kulitumia against my own interest.

So far you have not established kwamba hizo data zako huja zi plug out of thin air.

Which compromises your integrity kwa watu wanaofikiri na kufanya hii thread kuwa some highfalluting futile infatuation.

This thread did not need fictitious numbers to be meaningful. By plugging numbers from thin air you tarnished any meaning in it and demonstrated that you are capable of lying out of habit, that is, when the lies are totally unnecessary.
 
hiyo ndio siri ya mafanikio kwa mtanzania na sio kufanya kazi kwa bidii walio fanya kazi kwa bidii na uadilfu wamekufa masikini nakuziacha famila ao zikteseka.

Haahaaa duuuh umenifumbua macho nakuniongezea machungu kwa nchi yangu!
 
Ndoto zangu zitatimia endapo,nitapata upenyo wa kulitumikia taifa kupitia TISS,nitahakikisha naibua mafisadi wote waliolifikisha hli taifa hapa lilipo na kuhakikisha wanashtakiwa mahakamani.

Safi kabisa mkuu, zingatia nidhamu, utii, bidii na uzalendo tu!

Jiandae kuanzia jeshi la kujenga taifa!
 
Kama nitatoa jibu inabidi kwanza nijue jibu linatumikaje. Hata kwenye research kuna hivi vitu. Sio nikupe jibu hapa halafu uende kulitumia against my own interest.

So far you have not established kwamba hizo data zako huja zi plug out of thin air.

Which compromises your integrity kwa watu wanaofikiri na kufanya hii thread kuwa some highfalluting futile infatuation.

Hahaaahaa mkuu wewe mtata sana, haahaa daaah nabaki kucheka tu!
 
Usicheke,

Serious accusations deserve a serious redress.

This thread did not need fictitious numbers to be meaningful. By plugging numbers from thin air - you haven't addressed this so far, so the silence is taken as accepting this as the truth- you tarnished any meaning in it and demonstrated that you are capable of lying out of habit, that is, when the lies are totally unnecessary.

Hivi ungeweka thread ya kuuliza watu tu bila hizo data fictitious hii thread ingepoteza umuhimu wake?

Au mpaka uji pomp kama some researcher na wewe?
 
Back
Top Bottom