MAONI: Kijana wa Kitanzania, Ungependa kulitumikia Taifa katika sekta ipi?

Safi sana, eleza nini kinakwama kutimiza lengo kwakuwa hapa wadau wengi waona, wanaweza kukusaidia kutimiza malengo yako!

kwetu watu wameathirika sana na ukimwi, kila siku wanakufa wanawacha watoto yatima hii hali inanisikitisha sana kuona wanavyoishi,. Ningependa kwanza kuwapa msaada majumbani mwao baadae nijenge kituo kwa jili ya kuwalea na kuwapa huduma zaidi
 
Ooooho habari ya kusikitisha sana mkuu, poleni sana! Hakika utafanisha wazo lako na kuleta tumaini kwa waliokata tamaa ya kuishi!
 
Mm napenda kufanya kazi ktk JWTZ hila kisayansi zaidi kwamba kuhusishwa na tafiti mbalimbali za kiusalama kwenye mambo ya usalama na pia kuwa mkufunzi wa vyuo vikuu lakini nikitokea jeshini. Nawakilisha
 
Nafurahi kwa mara ya kwanza kupata maoni ya kupenda JWTZ,

Mkuu hongera sana jaribu bahati hiyo na ndoto yako itatimia tu!

Kumbuka:
Nidhamu
Uvumilivu
Uzalendo
Bidii

Ndio tiketi pekee ya kuhudumu mikononi mwa Generali Mwamnyange
 
Mimi kazi ninayoipenda kuifanya ni kuitoa ccm madarakani by any means necessary and at any cost..!!

Na nishaianza tayari kazi hiyo,,haiwezekani sisi tuvuje jasho,tuingizie pato nchi hii kwa kodi zetu halafu then kina nnauye wahonge madem vitara tuh,,imetosha imetosha.,,

nadhan sijatoka nje ya mada yako mkuu,,

i am ccm killer..
 
kustaafu nikiwa bado kijana kabla ya kuvuka miaka 40 ambapo bado miezi mitano hivi nistafu na nategemea kutengeneza ajira kwa kufungua kampuni na biashara mchanganyiko.
 
Safi sana, na hii ajira mpya serikali inatakiwa kutilia mkazo!

huuu MINAPENDA NICHIMBE CHIMBE ARIDHINI NA NICHIMBE MAWINGU NA NIWE NAWAKABA MARAIKA WA MUNGU labda Mwenzi Mungu ataniona na kuleta hekima na busara kwa Taifazima Tanzania kwani kwa hapa kwetu kila ukifanyacho hata ukibuni wanao nufaika nahayo misha ni Jamii fulani 2ambao wao hawatoki jasho na hawachukui Mikopo wao Hupewa tu kilakilIchokua Chema utaambiwa chafulani ndio maana watu wanataka TRA.BANK nk
 
Mimi nitapenda kufanya kazi Usalama wa Taifa, ama Habari Leo. Yericko Nyerere, hizi kazi zipo kweli ama unatupiga maswali tu?
 
Last edited by a moderator:
mi kazi ninayoipenda ni kuloga watu ili waumwe, kula nyama za wafu, kunywa damu za watu, kuruka na ungo, na mambo mengine kama hayo yanayohusiana na uchawi, nitafurah kama nitawezeshwa kufanikisha malengo yangu.
 
Mimi kazi ninayoipenda kuifanya ni kuitoa ccm madarakani by any means necessary and at any cost..!!

Na nishaianza tayari kazi hiyo,,haiwezekani sisi tuvuje jasho,tuingizie pato nchi hii kwa kodi zetu halafu then kina nnauye wahonge madem vitara tuh,,imetosha imetosha.,,

nadhan sijatoka nje ya mada yako mkuu,,

i am ccm killer..

Daaah asante sana nimefurahi sana kuna ajira hii, kichwani mwangu wakati naandika uzi huu wala sikuwa na wazo hili!

Hongera sana mkuu
 
huuu MINAPENDA NICHIMBE CHIMBE ARIDHINI NA NICHIMBE MAWINGU NA NIWE NAWAKABA MARAIKA WA MUNGU labda Mwenzi Mungu ataniona na kuleta hekima na busara kwa Taifazima Tanzania kwani kwa hapa kwetu kila ukifanyacho hata ukibuni wanao nufaika nahayo misha ni Jamii fulani 2ambao wao hawatoki jasho na hawachukui Mikopo wao Hupewa tu kilakilIchokua Chema utaambiwa chafulani ndio maana watu wanataka TRA.BANK nk

Hehee umeanza na kutirirka na vesi kabisa? Haahaa bila shaka akina promota majalala wamekuona, watainua kipaji chako!
 
Mimi nitapenda kufanya kazi Usalama wa Taifa, ama Habari Leo. Yericko Nyerere, hizi kazi zipo kweli ama unatupiga maswali tu?

Mkuu hapa sitoi ajira ila naachukua maoni ya vijana wakitanzania kama wanapenda kuajiliwa sekta ipi ili kulitumikia taifa lao!
 
Last edited by a moderator:
mi kazi ninayoipenda ni kuloga watu ili waumwe, kula nyama za wafu, kunywa damu za watu, kuruka na ungo, na mambo mengine kama hayo yanayohusiana na uchawi, nitafurah kama nitawezeshwa kufanikisha malengo yangu.

Duuuuuh aisee huu naona ni ujasiliamali mpya kwangu, eeehe hapa unahitaji msaada gani tena mkuu?
 
Mie nataka kua muasi yaani hata nijifunge bomu tu siipendi CCM Kama chavichavi
 
thanks,thanks

kama unataka kujiunga milango iko wazi tuh

Hehee ajabu nikuwa sikukumbuka wala kuijengee maanani tu, lakini nipo kwenye hiyo ajira na ninawajibika vilivyo kuhakikisha ccm naifuta kabisa kwenye akili za watu na ikiwezekana kwenye historia ya siasa Tanzania
 
Natamani kuwa Mkulima, kwa maana ya kuwa mzalishaji wa mazao ya chakula hasa nafaka. Niwe na Trekta za kutosha, mashine za kuvunia na kuchambua/kukoboa/kusaga, na Malori ya kusafirisha mazao yangu mpaka ktk godauni zangu. Mbali na hayo, niwe Mwalimu katika mazingira nitakayo yafurahia hasa Elimu ya juu katika fani ya Saikolojia nibobee katika maswala yanayohusiana na Psychosis!
 
Mi nnachopenda kufanya ni kujiajiri ktk kilimo (Agribusiness), kwa namna hii naona kuwa ntaweza kutumia elimu yangu kwa maslah mapana ya jamii.
 
Back
Top Bottom