MAONI: Kijana wa Kitanzania, Ungependa kulitumikia Taifa katika sekta ipi?

Hehee ajabu nikuwa sikukumbuka wala kuijengee maanani tu, lakini nipo kwenye hiyo ajira na ninawajibika vilivyo kuhakikisha ccm naifuta kabisa kwenye akili za watu na ikiwezekana kwenye historia ya siasa Tanzania

UBARIKIWE SANA,,LIVE LONG LIVE LONG

CCM HAIKUBALIKI,NA NI HATARI,,WEKA MBALI NA TEMBO...!

:smile: :smile:
 
Napenda kulitumikia taifa ktk sekta ya nyumba kwa kuanzisha kampuni yangu na kujenga nyumba za bei rahisi ambazo kila mtanzania mwenye mshahara ya kawaida ataweza kununua kwa mortgage,na nimeshaanza mchakato kupitia NHBRA(national housing and building resources agency).still nipo kwenye research ya kuweza kujenga nyumba za gharama between 15mill hadi 20 mill,maana nhc wameshindwa kuwahudumia wananchi wa hali ya chini,sababu kubwa inayosababisha gharama kuwa juu zaidi kwa dar ni ardhi ambapo ndio changamoto kubwa iliyopo.
 
Natamani kuwa Mkulima, kwa maana ya kuwa mzalishaji wa mazao ya chakula hasa nafaka. Niwe na Trekta za kutosha, mashine za kuvunia na kuchambua/kukoboa/kusaga, na Malori ya kusafirisha mazao yangu mpaka ktk godauni zangu. Mbali na hayo, niwe Mwalimu katika mazingira nitakayo yafurahia hasa Elimu ya juu katika fani ya Saikolojia nibobee katika maswala yanayohusiana na Psychosis!

Safi na hongera sana, ni wazo pana na lenye fikra machipuko sana, hongera sana mkuu!

Hakika ombi na tamanio lako litatimia sawasawa na hitaji lako mkuu!
 
Mi nnachopenda kufanya ni kujiajiri ktk kilimo (Agribusiness), kwa namna hii naona kuwa ntaweza kutumia elimu yangu kwa maslah mapana ya jamii.

Amani kwako mkuu, naimani kabisa wahusika wanafuatilia kwa karibu maoni ya wazalendo wa na vijana wa taifa hili!
 
Napenda kulitumikia taifa ktk sekta ya nyumba kwa kuanzisha kampuni yangu na kujenga nyumba za bei rahisi ambazo kila mtanzania mwenye mshahara ya kawaida ataweza kununua kwa mortgage,na nimeshaanza mchakato kupitia NHBRA(national housing and building resources agency).still nipo kwenye research ya kuweza kujenga nyumba za gharama between 15mill hadi 20 mill,maana nhc wameshindwa kuwahudumia wananchi wa hali ya chini,sababu kubwa inayosababisha gharama kuwa juu zaidi kwa dar ni ardhi ambapo ndio changamoto kubwa iliyopo.

Waaaaaooo good! Mkuu wazo zuri sana, naimani kama mamlaka za nyumba zinatama maoni haya zitakutafuta muungane au zikufadhiri utimize ndoto yako!

Hongera sana mkuu kwa wazo murua!
 
Nafurahi kwa mara ya kwanza kupata maoni ya kupenda JWTZ,

Mkuu hongera sana jaribu bahati hiyo na ndoto yako itatimia tu!

Kumbuka:
Nidhamu
Uvumilivu
Uzalendo
Bidii

Ndio tiketi pekee ya kuhudumu mikononi mwa Generali Mwamnyange

Hivi hakuna anayetaka kujiunga na Jeshi la Polisi au Magereza??!
 
Usalama wa taifa ili niwaumbue zaid hawa

Kwa sasa unafanya nn ili hao usalama wa taifa wakuone??!
Oh na ukishakuwa highly trained usalama wa taifa..ungependa kufanya nn ili kuchangia ambacho hakifanyiki saivi??!
 
Kwa sasa unafanya nn ili hao usalama wa taifa wakuone??!
Oh na ukishakuwa highly trained usalama wa taifa..ungependa kufanya nn ili kuchangia ambacho hakifanyiki saivi??!

Swali zuri sana, bila shaka atatujibu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom