MAONI: Kijana wa Kitanzania, Ungependa kulitumikia Taifa katika sekta ipi?

Usicheke,

Serious accusations deserve a serious redress.

This thread did not need fictitious numbers to be meaningful. By plugging numbers from thin air - you haven't addressed this so far, so the silence is taken as accepting this as the truth- you tarnished any meaning in it and demonstrated that you are capable of lying out of habit, that is, when the lies are totally unnecessary.

Hivi ungeweka thread ya kuuliza watu tu bila hizo data fictitious hii thread ingepoteza umuhimu wake?

Au mpaka uji pomp kama some researcher na wewe?

Mkuu data hizo hapo juu ni za kitafiti tena zimepitia viwango vya hali ya juu,

Shirika la utafiti wa uzalendo kwa vijana la Marekani likishirikiana na mashirika ya kufanana nalo yaliyoko China, Uingereza, Urusi nk yamefanya tafiti hizo, na sasa sisi kama watanzania tulio jf nimenelea vema tujtathimi wenyewe tusisubiri mbeleko za mashirika hayo ya kimataifa!

Ni ukweli uliowazi kuwa uzalendo nchini umepungua kwa jicho la haraka lakini hatuwezi kusema tu ni lazima tujitathimini wenyewe!

Karibu mkuu unga mkono zoezi hili, wadau wa serikalini watafikishiwa maoni yetu!
 
nishati na madini....kuanzia tanesco, tanzanite migodi kule shinyanga/mtwara kote huko nisimamie mimi
 
Mkuu data hizo hapo juu ni za kitafiti tena zimepitia viwango vya hali ya juu,

Shirika la utafiti wa uzalendo kwa vijana la Marekani likishirikiana na mashirika ya kufanana nalo yaliyoko China, Uingereza, Urusi nk yamefanya tafiti hizo, na sasa sisi kama watanzania tulio jf nimenelea vema tujtathimi wenyewe tusisubiri mbeleko za mashirika hayo ya kimataifa!

Ni ukweli uliowazi kuwa uzalendo nchini umepungua kwa jicho la haraka lakini hatuwezi kusema tu ni lazima tujitathimini wenyewe!

Karibu mkuu unga mkono zoezi hili, wadau wa serikalini watafikishiwa maoni yetu!

Bollocks,

Tupe link ya "Shirika la utafiti wa uzalendo kwa vijana la Marekani", let alone ya research hii.

Usifanye kila mtu JF mtoto.
 
Pole sana mkuu, umepewa maandishi, unataka na sauti, ukipewa sauti utataka picha, na ukipewa picha utataka video, ukipewa video utasema ni yakutengenezwa!

Tulia mkuu imani yako itakuongoza sawasawa na matakwa yako!
 
Toa source, maandishi hata watoto wa chekechea wanaandika, acha longolongo.

Ama sivyo kubali tu, umeandika hadithi, data zako za kutunga. Prove me wrong, give us your source.

Au sema tu hii ni thread ya maombi kwa "Mtakatifu" Nyerere watu wajue kwamba haina base katika facts.
 
Mkuu umiza kidogo kichwa usitake kutafuniwa kila kitu,

Nimesema ni "Shirika la utafiti wa uzalendo kwa vijana la Marekani" basi tumia hata google tu!

Zaidi ya yote jambo la maana hapa nikujikita zaidi kwa mjadala husi!

Tunahangaika kumjua mpishi wa ugali badala ya kuangalia kama ugali umeiva na ni mtamu?
 
Tatizo unataka niumize kidogo kichwa wakati mie mara zote tu naumiza kichwa sana, ndo maana sijarukia kujibu bila maelezo ya kina kutoka kwako kuhusu data zako umezipata wapi.

Nimesha google mbona, internet nzima hamna kitu kama hicho, google inanirudisha kwenye page hii.

Angalia hapa

Hii inaonyesha umejitungia tu hizi data.

Ya nini kujisumbua kuangalia kama ugali umeiva na ni mtamu wakati tunaweza kuonyesha kwamba mpishi wa ugali hayupo? Ni hadithi tu!

Unajidhalilisha.
 
Mkuu sie tunaendelea na mjadala wa maoni, ukiona hujardhishwa ipotezee tu, huwezi kuridhishwa na thread zote humu ndani!
 
In other words unakubali kwamba data ulizotoa ni za kutengeneza mwenyewe na huwezi kuzitetea.

Unakuwa junkie wa kudanganya, unadanganya hata sehemu ambayo haihitaji kudanganya.
 
Ndugu yangu Kiranga mada ni nzuri sana, hata kama kkama kaitunga bwana Yericko Nyerere.

Mimi ninapenda kulitumikia taifa kupitia Jeshi la Magereza,

Nataka kubadli hali ya magereza zetu maana inatisha, nimeishi kwenye makambi ya magereza nimejionea hali ilivyo yakutisha kwa wafungwa na askari pia!
 
Kwamba maada ni nzuri kunaharibiwa na uongo usio wa lazima wa namba za takwimu za kutoka hewani.

Angeuliza tu bila ya kujitutumua na kutoa takwimu za uongo kwani mada ingekosa uzuri?

Ndiyo maana namuita muongo wa tabia huyu, maana kuna waongo wengine wanadanganya ili wapasi mtihani, wengine wapate pesa, huyu anadanganya kwa sababu anapenda kudanganya tu.

Usikute akikosa wa kumdanganya anaweza hata kujidanganya yeye mwenyewe kwamba kuna tafiti ya "Shirika la utafiti wa uzalendo kwa vijana la Marekani" anainukuu.

Huyu anaweza kujidanganya mwenyewe kwamba anarudufu kipato kwa kukitoa akaunti moja na kukipeleka nyingine, au hata kutoa hela mfuko wa kulia kuziweka mfuko wa kushoto.

Such a habitual lier is the worst kind, for as ignominious as any lying is, the habitual kind lacks any semblance of justification.
 
In other words unakubali kwamba data ulizotoa ni za kutengeneza mwenyewe na huwezi kuzitetea.

Unakuwa junkie wa kudanganya, unadanganya hata sehemu ambayo haihitaji kudanganya.

Mkuu hivi uwezo wako wakujiridhisha unaiishia kwenye net tu? Hauna njia nyingine yakupata ufumbuzi wa ukitakacho?

Kuna uwezekano net ikitoweka ulimwenguni wewe utabaki gizani tu mkuu wangu Kiranga

Haya narudia tena UMIZA kichwa muraaaaaa!
 
Kati yangu mimi niliyeuliza maswali na wewe uliyeshindwa kuyajibu nani kaumiza kichwa na nani mwoga wa kuumiza kichwa?

Anayeumiza kichwa hawezi kuogopa challenge ya kutoa sources za "data" zake. Na kutunga data kamwe hakuwezi kuwa kuumiza kichwa.

Wewe kubali tu umetengeneza takwimu out of thin air basi.

La, tuonyeshe source.
 
Kwamba maada ni nzuri kunaharibiwa na uongo usio wa lazima wa namba za takwimu za kutoka hewani.

Angeuliza tu bila ya kujitutumua na kutoa takwimu za uongo kwani mada ingekosa uzuri?

Ndiyo maana namuita muongo wa tabia huyu, maana kuna waongo wengine wanadanganya ili wapasi mtihani, wengine wapate pesa, huyu anadanganya kwa sababu anapenda kudanganya tu.

Usikute akikosa wa kumdanganya anaweza hata kujidanganya yeye mwenyewe kwamba kuna tafiti ya "Shirika la utafiti wa uzalendo kwa vijana la Marekani" anainukuu.

Huyu anaweza kujidanganya mwenyewe kwamba anarudufu kipato kwa kukitoa akaunti moja na kukipeleka nyingine, au hata kutoa hela mfuko wa kulia kuziweka mfuko wa kushoto.

Such a habitual lier is the worst kind, for as ignominious as any lying is, the habitual kind lacks any semblance of justification.

Kwahiyo mkuu Kiranga shida yako kubwa ni takwimu za kinamba tu lakini mengine yote unakubaliana?

Heheeehee daaah ama kweli kuijenga heshima hutumia kalenda nyingi za masika, lakini kuivunja ni ukope mmoja tu!

Kwakuwa mjadala bado unaendelea hapa, sitakupa kielelezo cha mashirika tajwa, mpaka hapo mjadala utakapofikia ukingoni, haijalishi utachukua mda gani!

Hii ni kwa faida ya utafiti wenyewe!
 
Kati yangu mimi niliyeuliza maswali na wewe uliyeshindwa kuyajibu nani kaumiza kichwa na nani mwoga wa kuumiza kichwa?

Anayeumiza kichwa hawezi kuogopa challenge ya kutoa sources za "data" zake. Na kutunga data kamwe hakuwezi kuwa kuumiza kichwa.

Wewe kubali tu umetengeneza takwimu out of thin air basi.

La, tuonyeshe source.

Kwafaida na ufanisi wa utafiti, source ya data na mashirika tajwa sitaviweka hapa.

Mpaka mwishoni mwa ukusanyaji wa maoni haya!
 
Kwahiyo mkuu Kiranga shida yako kubwa ni takwimu za kinamba tu lakini mengine yote unakubaliana?

Heheeehee daaah ama kweli kuijenga heshima hutumia kalenda nyingi za masika, lakini kuivunja ni ukope mmoja tu!

Kwakuwa mjadala bado unaendelea hapa, sitakupa kielelezo cha mashirika tajwa, mpaka hapo mjadala utakapofikia ukingoni, haijalishi utachukua mda gani!

Hii ni kwa faida ya utafiti wenyewe!

Njia ya muongo ni fupi.

Taja source acha longolongo.
 
Back
Top Bottom