Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Thanks my brother Erickb52. Mungu Mwenyezi ni Mkuu, kayabadili maisha yangu ndani ya nafsi na nje pia, pia katika jamii ninayo ishi na hata ndani ya JF. Nami pia nina washukuru member kwa uvumilivu wao kwangu hadi leo hii nina sema asante sana. Japo tunatumia avatar na majina sio halisi lakini asilimia kubwa tuyafanyayo na kuya tenda hapa yana weza ku reflect katika maisha yetu ya kawaida.

Manoah ubarikiwe zaidi kwa kubadirika...sasa uje na jina lako halisi na ujiseme weye ndo mwenyewe..
 
Nilikuwa kwenye ulinzi shirikishi...nimeamka na ndofu zimeisha kwa head...!
Haya sema Mamndenyi kakuhurumia?
Yan wewe unadtahili huruma tu

Kama huruma ni kulala pembeni yangu mpaka sasa.....naomba kusema ndio kanihurumia na twala matunda ya miiili yetu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom