Manji sema usiposema...

Manji sema usiposema...

Kama muhusika sio Manji, wewe tuambie ni nani?
Mahakama itasema, ila pmj naye kuna maboharia,walinzi na mameneja. YM angeingia baadae na sio kuingizwa mwanzo koz hayupo kwenye uendeshaji wa shughuli zote hizo
 
Tukizungumzia tanzania ya viwanda, manji angekuwa kwenye list ya investors wanaotoa ajira kubwa kwa watanzania wote wenye elimu na wasio na elimu
 
Huyu akomeshwe alikuwa dhulumat sana paka huyu. Akikuwa na kampuni inautwa nexus pale quality centre yaani alifukuza wafanyakazi bila taarifa. Yaani watu wamefiKa ofcn wamekuta askari na wanaambiwa kazi basi kawalipa salary ya mwezi mmoja tena chini ya uangalizi wa polisi toka kituo cha chang'ombe.. Huyu mtu ni mshenzi.. Sasa aende keko watu wakamtoe bikira.. Kwanza nina hasira nahe sana huyu alimbandua demu wangu Sabrina
Hahahahahaaa.....
 
UKWELI KUHUSU MANJI

Itz known kwamba ana ugomvi wa muda mrefu na mkuu wa kaya, tangu mkuu wa kaya akiwa waziri wa ujenzi. Ugomvi wao haukua solved hadi jamaa alipotangaza kugombea Urais ndani ya CCM ambapo Manji alimwambia anapoteza muda hawezi kupita. Hata alipopitishwa Manji aligoma kumchangia na Tycoons wengi walimchangia Eddo.so from there alijenga chuki na Manji.na ameapa kumkomesha. Kuanzia saga ya wafanyakazi wasio na kibali hadi hii ya sare za jeshi ni kukomoana tu nothing beneficial. Tuachane na hizo nyingine tuongelee hii ya kukutwa na sare za jeshi. The way ilivyowekwa ni kama vile ameiba hizo sare au alikua anazitumia kinyume na utaratibu.yani yanatengenezwa mazingira ya kuonesha Manji ni gaidi anayemiliki sare za jeshi, mihuri ya idara nyeti za serikali na mambo mengine nyeti. Watu hawajiulizi nini kimetokea.hizo sare zimefikaje kwa manji? Kwanini kwake na si mwingine? Je alikua ana matumizi gani nazo?

Sasa ngoja niwasaidie kwa wale wasioelewa. Kampuni ya Quality Group ni moja ya makampuni yaliyopewa zabuni na jeshi la wananchi za kusambaza sare. Ni kama Polisi sare zote wanazovaa supplier ni Lugumi. So Lugumi anatoa sare India kwa majora anakuja kuwashonea polisi hapa bongo. Na majeshi mengine ndivyo ilivyo maana sheria ya manunuzi ya umma inakataza serikali kufanya manunuzi moja kwa moja kwa producer bila kuwa na mzabuni.

Kwahiyo si kosa uniform hizo kukutwa kwenye 'godown' la Manji masna yeye ndo suppplier. Hivi agent wa Tanga cement ukavamia godown lake na kukuta mifuko kadhaa ya cement utahoji kwanini hiyo mifuko ipo hapo? Nonsense. Manji kakutwa na uniform za jeshi maana yeye ni supplier. Period. Tuache siasa za kijinga. Na waandishi wetu wa habari hawajui hata kuuliza maswali wala kufanya uchunguzi. Wameambiwa manji kakutwa na uniform za jeshi harakaharaka wamekimbilia kuripoti bila kutafuta more details. Kwamfano wangewasiliana na viongozi wa jeshi wangewaambia Manji ni supplier wa uniform hizo. Sasa unamkamataje supplier kwa kukutwa na sehemu ya bidhaa anayosullpy? Kukuta uniform za jeshi kwa supplier wa uniform hizo si habari. Hivi unashangaa nini kukuta hirizi kwa mganga? Ingekua habari kama sare za jeshi zingekutwa kwa supplier wa konyagi au cocacola.

Pili majora ya sare hizo yamekutwa godown sio nyumbani kwa manji. Kumbuka Manji sio msimamizi wa kila siku wa godown hiyo kwa hiyo hawezi kuwajibika moja kwa moja kwa issue yoyote ndani ya hiyo godown. Hii ni kwa sababu kuna watendaji wa kila siku wa godown. Kuna warehouse manager, kuna karani na walinzi. Kwahiyo hata mali ya wizi ikikutwa humo ndani primary suspect hawezi kuwa Manji, definatelly watakua watendaji wake. Manji anaweza kuwa secondary suspect kwa factor ya umiliki. Sasa jiulize kwanini hawajamkamata manager wa hiyo godown?kwanini hawajakamatwa walinzi?bado tu hamjaelewa mpango ilioko nyuma ya pazia? Kwanini waache walinzi kwenye godown then waongozane na makamera hadi hospitali kumfuata manji aliyelazwa kitandani?

*Kuhusu mihuri:*
Sheria inasema possesion ya mihuri isiyo yako ni criminal offence, lakini Manji ni mzabuni wa muda mrefu wa mihuri ya taasisi mbalimbali za serikali. Hata mihuri ya ofisi ya PM na idara zote zilizopo chini yake supplier ni manji kupitia Quality group. Sass kama alipewa tender asupply mihuri na bado alikuwa hajadeliver kosa liko wapi?

Kukutwa na bidhaa halali hata kama raisi ametamka vinginevyo bado haikutii hatiani. Manji anafanya biashara halali ya kussuply uniform jeshini na mihuri kwenye baadhi ya taasisi za umma. Ni biashara halali, analipa kodi, hajaanza leo. Kwanini leo ionekana ni kosa mzabuni kukutwa na moja ya bidha anazosambaza, kisa tu raisi kasema?

Je walionunua bidhaa za viroba kihalali na tamko la PM likavikuta kwenye maghala yao wana kosa gani na kodi walilipa?

Manji ni supplier wa muda mrefu wa uniform jeshini na bidhaa nyingine kwenye govt institutions kama hiyo mihuri. Jeshini hadi helicopter wananunuliwa na wazabuni. Sasa tatizo liko wapi?

Hivi hayo majora ya uniform si yametoka nje? Kwani Manji ana textile hapa? Si ameinport na amepitisha Airport au bandarini with proper documents na kalipa import duties na taxes zote? Kama ni kosa si wangeanza kukamatwa watunishi wa bandari na airport waliopitisha mizigo yake? Kisha wakamatwe TRA kwa kutoza kodi kwenye mzigo wa Manji ambao ni sare za jeshi? Hii serikali ya visasi sana inapotosha ili tu kuwakomoa wale isiowapenda.

Tuache kujivisha miwani ya mbao kukataa hata Locomotive Engines zetu, ili tu kutafuta sifa ya kisiasa while its clear kwamba ziliagizwa na TRL? Halafu kwa chuki hizi tutegemee viwanda vijengwe? Ni kukomoana tu na kurudishana nyuma hadi muda wake uishe.*Ukweli kuhusu Manji*

Hivi hayo majora ya uniform si yametoka nje? Kwani Manji ana textile hapa? Si ameinport na amepitisha Airport au bandarini with proper documents na kalipa import duties na taxes zote? Kama ni kosa si wangeanza kukamatwa watunishi wa bandari na airport waliopitisha mizigo yake? Kisha wakamatwe TRA kwa kutoza kodi kwenye mzigo wa Manji ambao ni sare za jeshi?
 
Manji ameshiriki hujuma nyingi sana huko nyuma. Kwa taarifa tu, ni kwamba hata Kagoda alikuwemo. Ni business accomplice wa Roatam Azizi. Kuna tuhuma za kuuza military ware kwa waasi nchini Somalia, Burundi, Uganda na hata Mali na Congo DR. Hiyo mihuri itakuwa inatumika kupitisha (formalization plan) military-ware mipakani kwenda nje ya nchi au hata kuingiza vifaa vya kijeshi hapa nchini (storage facility). Tuache usalama wafanye kazi yao hadi mnyororo mzima ukamilike. Enzi za Kikwete zimeisha. Si mnajua hata kiongozi wa waasi wa Uganda ADF alikamatiwa hapa (Sinza, na anamiliki mali nyingi hapa nchini ingawa kuna tetesi kuwa aliteswa na kufa gereza la maximum security Luzira).
Hili la kuuza military ware kwa waasi wa Somalia, Burundi, Uganda, Congo DR na Mali is news to me. To be honest, hata hilo la kuwa supplier wa Tz military uniforms sikuwa nalifahamu. Je unamaanisha alitumia nafasi hiyo kuagiza silaha za kuwauzia hao waasi? Maana kiukweli hizo nchi ni landlocked, so lazima wapitishie bandari za hapa east Africa more likely
 
Inasemekana amekutwa na muhuri wa jeshi isivyo halali. Na pia vitambaa vya sare za jeshi. Mashtaka aliyofunguliwa ni uhujumu uchumi pamoja na kuhatarisha usalama wa taifa.

Nadhani ana mengi ya kusema kama atabahatika kuendelea kuwepo.

Kwa upande mwingine pia, asiwe amebambikiwa. Lakini kama vinahusiana na ugaidi ama jitihada za uasi, basi hilo ni suala jingine kabisa.
unachoongea naweza kuamini. Manji ni mtu mbaya sana na shetani anayependa fujo na kulipiza visasi, tabia ya mvuta unga huwa hawazi mbali, anawaza kumkomoa tu mtu. nakumbuka kipindi kile Manji anapambana na Mengi, alishawahi kukodi baadhi ya maustaadhi wakafanya kikao kule songea, wakijadili namna gani watamchafua mengi kwa kutumia dini ya kiislam, mengi akamzidi akili alipata hadi clip na majadiliano yao kule hotelini songea. kwa wale wenye ile clip turushieni hapa.

ana tabia hiyo, anapenda kutumia Waislam kumshambulia mtu, ni mdini sana, na inawezekana ni kweli alikuwa anataka kuikomesha serikali kwa kuwasapoti magaidi wa kibiti ili kuchafua kabisa hii nchi kama malipo kwa alivyofanyiwa na makonda na mkulu. hapo ndipo tunajiuliza nani anawapa hela hao magaidi wa kibiti? kama ni manji na wenzake wenye akili kama zake wanatakiwa kufilisiwa kabisa kwasababu utajiri wao ni hatari kwa taifa. futilia mbali kabisa. tuseme ukweli kabisa manji ana tabia ya kutumia dini kushambulia wenzake, hapo hatatetewa hata na wana yanga.
 
Hili la kuuliza military ware kwa waasi wa Somalia, Burundi, Uganda, Congo DR na Mali is news to me. To be honest, hata hilo la kuwa supplier wa Tz military uniforms sikufahamu. He unamaanisha alitumia nafasi hiyo kuagiza silaha za kuwauzia hao waasi? Maana kiukweli hizo nchi ni landlocked, so lazima wapitishie bandari za hapa east Africa more likely
hizo nchi ni kweli landlocked, sasa wewe unafikiri wanapata wapi sare? au wanachukua za serikali za nchi wanazopambana nazo? kama una akili utakuta jibu ni kwamba watu kama manji (kama ni kweli) ndio wanawauzia au wanawasafirishia kwa garama kubwa sana na hapo tajiri ndio anapiga faida mara mia. hela anazo haridhiki anapenda kusapoti magaidi..
 
Mahakama itasema, ila pmj naye kuna maboharia,walinzi na mameneja. YM angeingia baadae na sio kuingizwa mwanzo koz hayupo kwenye uendeshaji wa shughuli zote hizo
Ninavyofahamu hajashtakiwa Manji peke yake.
Kashtakiwa na wafanyakazi wake watatu...si ndo hao mameneja unaowasema au?
 
UKWELI KUHUSU MANJI

Itz known kwamba ana ugomvi wa muda mrefu na mkuu wa kaya, tangu mkuu wa kaya akiwa waziri wa ujenzi. Ugomvi wao haukua solved hadi jamaa alipotangaza kugombea Urais ndani ya CCM ambapo Manji alimwambia anapoteza muda hawezi kupita. Hata alipopitishwa Manji aligoma kumchangia na Tycoons wengi walimchangia Eddo.so from there alijenga chuki na Manji.na ameapa kumkomesha. Kuanzia saga ya wafanyakazi wasio na kibali hadi hii ya sare za jeshi ni kukomoana tu nothing beneficial. Tuachane na hizo nyingine tuongelee hii ya kukutwa na sare za jeshi. The way ilivyowekwa ni kama vile ameiba hizo sare au alikua anazitumia kinyume na utaratibu.yani yanatengenezwa mazingira ya kuonesha Manji ni gaidi anayemiliki sare za jeshi, mihuri ya idara nyeti za serikali na mambo mengine nyeti. Watu hawajiulizi nini kimetokea.hizo sare zimefikaje kwa manji? Kwanini kwake na si mwingine? Je alikua ana matumizi gani nazo?

Sasa ngoja niwasaidie kwa wale wasioelewa. Kampuni ya Quality Group ni moja ya makampuni yaliyopewa zabuni na jeshi la wananchi za kusambaza sare. Ni kama Polisi sare zote wanazovaa supplier ni Lugumi. So Lugumi anatoa sare India kwa majora anakuja kuwashonea polisi hapa bongo. Na majeshi mengine ndivyo ilivyo maana sheria ya manunuzi ya umma inakataza serikali kufanya manunuzi moja kwa moja kwa producer bila kuwa na mzabuni.

Kwahiyo si kosa uniform hizo kukutwa kwenye 'godown' la Manji masna yeye ndo suppplier. Hivi agent wa Tanga cement ukavamia godown lake na kukuta mifuko kadhaa ya cement utahoji kwanini hiyo mifuko ipo hapo? Nonsense. Manji kakutwa na uniform za jeshi maana yeye ni supplier. Period. Tuache siasa za kijinga. Na waandishi wetu wa habari hawajui hata kuuliza maswali wala kufanya uchunguzi. Wameambiwa manji kakutwa na uniform za jeshi harakaharaka wamekimbilia kuripoti bila kutafuta more details. Kwamfano wangewasiliana na viongozi wa jeshi wangewaambia Manji ni supplier wa uniform hizo. Sasa unamkamataje supplier kwa kukutwa na sehemu ya bidhaa anayosullpy? Kukuta uniform za jeshi kwa supplier wa uniform hizo si habari. Hivi unashangaa nini kukuta hirizi kwa mganga? Ingekua habari kama sare za jeshi zingekutwa kwa supplier wa konyagi au cocacola.

Pili majora ya sare hizo yamekutwa godown sio nyumbani kwa manji. Kumbuka Manji sio msimamizi wa kila siku wa godown hiyo kwa hiyo hawezi kuwajibika moja kwa moja kwa issue yoyote ndani ya hiyo godown. Hii ni kwa sababu kuna watendaji wa kila siku wa godown. Kuna warehouse manager, kuna karani na walinzi. Kwahiyo hata mali ya wizi ikikutwa humo ndani primary suspect hawezi kuwa Manji, definatelly watakua watendaji wake. Manji anaweza kuwa secondary suspect kwa factor ya umiliki. Sasa jiulize kwanini hawajamkamata manager wa hiyo godown?kwanini hawajakamatwa walinzi?bado tu hamjaelewa mpango ilioko nyuma ya pazia? Kwanini waache walinzi kwenye godown then waongozane na makamera hadi hospitali kumfuata manji aliyelazwa kitandani?

*Kuhusu mihuri:*
Sheria inasema possesion ya mihuri isiyo yako ni criminal offence, lakini Manji ni mzabuni wa muda mrefu wa mihuri ya taasisi mbalimbali za serikali. Hata mihuri ya ofisi ya PM na idara zote zilizopo chini yake supplier ni manji kupitia Quality group. Sass kama alipewa tender asupply mihuri na bado alikuwa hajadeliver kosa liko wapi?

Kukutwa na bidhaa halali hata kama raisi ametamka vinginevyo bado haikutii hatiani. Manji anafanya biashara halali ya kussuply uniform jeshini na mihuri kwenye baadhi ya taasisi za umma. Ni biashara halali, analipa kodi, hajaanza leo. Kwanini leo ionekana ni kosa mzabuni kukutwa na moja ya bidha anazosambaza, kisa tu raisi kasema?

Je walionunua bidhaa za viroba kihalali na tamko la PM likavikuta kwenye maghala yao wana kosa gani na kodi walilipa?

Manji ni supplier wa muda mrefu wa uniform jeshini na bidhaa nyingine kwenye govt institutions kama hiyo mihuri. Jeshini hadi helicopter wananunuliwa na wazabuni. Sasa tatizo liko wapi?

Hivi hayo majora ya uniform si yametoka nje? Kwani Manji ana textile hapa? Si ameinport na amepitisha Airport au bandarini with proper documents na kalipa import duties na taxes zote? Kama ni kosa si wangeanza kukamatwa watunishi wa bandari na airport waliopitisha mizigo yake? Kisha wakamatwe TRA kwa kutoza kodi kwenye mzigo wa Manji ambao ni sare za jeshi? Hii serikali ya visasi sana inapotosha ili tu kuwakomoa wale isiowapenda.

Tuache kujivisha miwani ya mbao kukataa hata Locomotive Engines zetu, ili tu kutafuta sifa ya kisiasa while its clear kwamba ziliagizwa na TRL? Halafu kwa chuki hizi tutegemee viwanda vijengwe? Ni kukomoana tu na kurudishana nyuma hadi muda wake uishe.*Ukweli kuhusu Manji*

Itz known kwamba ana ugomvi wa muda mrefu na mkuu wa kaya, tangu mkuu wa kaya akiwa waziri wa ujenzi. Ugomvi wao haukua solved hadi jamaa alipotangaza kugombea Urais ndani ya CCM ambapo Manji alimwambia anapoteza muda hawezi kupita. Hata alipopitishwa Manji aligoma kumchangia na Tycoons wengi walimchangia Eddo.so from there alijenga chuki na Manji.na ameapa kumkomesha. Kuanzia saga ya wafanyakazi wasio na kibali hadi hii ya sare za jeshi ni kukomoana tu nothing beneficial. Tuachane na hizo nyingine tuongelee hii ya kukutwa na sare za jeshi. The way ilivyowekwa ni kama vile ameiba hizo sare au alikua anazitumia kinyume na utaratibu.yani yanatengenezwa mazingira ya kuonesha Manji ni gaidi anayemiliki sare za jeshi, mihuri ya idara nyeti za serikali na mambo mengine nyeti. Watu hawajiulizi nini kimetokea.hizo sare zimefikaje kwa manji? Kwanini kwake na si mwingine? Je alikua ana matumizi gani nazo?

Sasa ngoja niwasaidie kwa wale wasioelewa. Kampuni ya Quality Group ni moja ya makampuni yaliyopewa zabuni na jeshi la wananchi za kusambaza sare. Ni kama Polisi sare zote wanazovaa supplier ni Lugumi. So Lugumi anatoa sare India kwa majora anakuja kuwashonea polisi hapa bongo. Na majeshi mengine ndivyo ilivyo maana sheria ya manunuzi ya umma inakataza serikali kufanya manunuzi moja kwa moja kwa producer bila kuwa na mzabuni.

Kwahiyo si kosa uniform hizo kukutwa kwenye 'godown' la Manji masna yeye ndo suppplier. Hivi agent wa Tanga cement ukavamia godown lake na kukuta mifuko kadhaa ya cement utahoji kwanini hiyo mifuko ipo hapo? Nonsense. Manji kakutwa na uniform za jeshi maana yeye ni supplier. Period. Tuache siasa za kijinga. Na waandishi wetu wa habari hawajui hata kuuliza maswali wala kufanya uchunguzi. Wameambiwa manji kakutwa na uniform za jeshi harakaharaka wamekimbilia kuripoti bila kutafuta more details. Kwamfano wangewasiliana na viongozi wa jeshi wangewaambia Manji ni supplier wa uniform hizo. Sasa unamkamataje supplier kwa kukutwa na sehemu ya bidhaa anayosullpy? Kukuta uniform za jeshi kwa supplier wa uniform hizo si habari. Hivi unashangaa nini kukuta hirizi kwa mganga? Ingekua habari kama sare za jeshi zingekutwa kwa supplier wa konyagi au cocacola.

Pili majora ya sare hizo yamekutwa godown sio nyumbani kwa manji. Kumbuka Manji sio msimamizi wa kila siku wa godown hiyo kwa hiyo hawezi kuwajibika moja kwa moja kwa issue yoyote ndani ya hiyo godown. Hii ni kwa sababu kuna watendaji wa kila siku wa godown. Kuna warehouse manager, kuna karani na walinzi. Kwahiyo hata mali ya wizi ikikutwa humo ndani primary suspect hawezi kuwa Manji, definatelly watakua watendaji wake. Manji anaweza kuwa secondary suspect kwa factor ya umiliki. Sasa jiulize kwanini hawajamkamata manager wa hiyo godown?kwanini hawajakamatwa walinzi?bado tu hamjaelewa mpango ilioko nyuma ya pazia? Kwanini waache walinzi kwenye godown then waongozane na makamera hadi hospitali kumfuata manji aliyelazwa kitandani?

*Kuhusu mihuri:*
Sheria inasema possesion ya mihuri isiyo yako ni criminal offence, lakini Manji ni mzabuni wa muda mrefu wa mihuri ya taasisi mbalimbali za serikali. Hata mihuri ya ofisi ya PM na idara zote zilizopo chini yake supplier ni manji kupitia Quality group. Sass kama alipewa tender asupply mihuri na bado alikuwa hajadeliver kosa liko wapi?

Kukutwa na bidhaa halali hata kama raisi ametamka vinginevyo bado haikutii hatiani. Manji anafanya biashara halali ya kussuply uniform jeshini na mihuri kwenye baadhi ya taasisi za umma. Ni biashara halali, analipa kodi, hajaanza leo. Kwanini leo ionekana ni kosa mzabuni kukutwa na moja ya bidha anazosambaza, kisa tu raisi kasema?

Je walionunua bidhaa za viroba kihalali na tamko la PM likavikuta kwenye maghala yao wana kosa gani na kodi walilipa?

Manji ni supplier wa muda mrefu wa uniform jeshini na bidhaa nyingine kwenye govt institutions kama hiyo mihuri. Jeshini hadi helicopter wananunuliwa na wazabuni. Sasa tatizo liko wapi?

Hivi hayo majora ya uniform si yametoka nje? Kwani Manji ana textile hapa? Si ameinport na amepitisha Airport au bandarini with proper documents na kalipa import duties na taxes zote? Kama ni kosa si wangeanza kukamatwa watunishi wa bandari na airport waliopitisha mizigo yake? Kisha wakamatwe TRA kwa kutoza kodi kwenye mzigo wa Manji ambao ni sare za jeshi?

Hujui kitu nyamaza tu mkuu!! Umeandika unayowaza kwenye kichwa chako lakini si uhalisia. Subiri anyoshwe boss wako ulizoea kuchukua vipesa toka kwa Manji sasa mwisho!
 
Umekurupuka chooni nini, haya we mwenye uharisia tueleze
 
ndio maaana kashitakiwa Mahakamni, sasa ni kazi ya mahakama kupembua kama manji ana makosa au hana makosa, kwa sasa tuviache vyombo ifanye kazi zake.
 
Manji muombe sizonje msamaa yaishe hata kama msamaha wa kinafki, andaa wafanyakazi wako waandamane kumpongeza utendaji wake
 
wanadamu wanavyopenda sifa, si ukute akiandamana kumpongeza jamaa atamwachia huru. ushauri wangu kwa manji ni kwenda tu kwa bashite, amwambie bashite ameacha madawa ya kulevya na amshukuru kama alivyofanya tid, waandae kitu na bashite kusaidia at least kama vile kuunga mkono issue ya madawa ya bashite, bashite akifurahi moyo tu...mkuu hatakuwa na pingamizi. ukishita remote ujue sehemu ya kubonyeza, sio unajibonyezea tuuuuu.be smart ndugu.
 
Manji hapo awali slikuwa na tenda jeshini ni tenda ambayo imehujumiwa na magufuli kaamua kuivunja kisha kuja na sinema hizo kwa hali ilivyokuwa sasa yawezekana ni kumkomoa na kumbambikia kesi lakini nadhani kikwete atamsimamia kwa dhati kwani Uonevu wa kiwango cha kutisha umesambaa sasa
Kikwete saiv hana sauti
 
Back
Top Bottom