Mimi nikienda kwenye mtupa nikikuta nguo yoyote inafanana na ya jeshi huwa naikimbia.. sasa kuna mijitu mingine haijawahi hata kucheza mgambo,,, mingine misanii unakuta inabeba halafu inajiita kamanda.... sasa huyu aliyevunja rekodi kwa kukutwa na sare zote hizo za jeshi... ana lengo gani na usalama wa nchi yetu.....???
Manji ni masalia ya MembeJamaa anasafisha masaria ya mkwere na lowasa, ila sizani kama atayamaliza atastukia uchaguzi tu ushafika hivyo na kubakiwa na mbinu moja tu ya kupora ushindi ili aendelee kutawala.
Membe na mkwere ni walewaleManji ni masalia ya Membe
Acha mkwere asomeshwe no. Tu.Membe na mkwere ni walewale
Kahatarisha usalama wa taifa na kuhujunu uchumi..Manji anatia huruma aisee.
Na alivyo sleki mayai vile....hahahaha.
Hivi kafanya kosa gani kwanza?
Walichukua nyaraka zake zote za kusafiria!! Hiki kisasi mkuu!!Hivi alikuwa bado yupo nchi hii?kusoma alama za nyakati ni kipaji kumbe?bas Sawa aendelee kuzisubiri kesi.
Manji anatia huruma aisee.
Na alivyo sleki mayai vile....hahahaha.
Hivi kafanya kosa gani kwanza?
Unajua unachokipinga au unaropoka tu... huo ndio ukweli...Mkuu, hayo yooote uloyasema hayana ukweli wowote ule.
Manji hajawahi kuwa supplier wa vitambaa kwa JWTZ wala wa Transformer za Tanesco.
Pia Manji hana mikataba ya aina hiyo na taasisi hizo.
Wewe una uhakika amekamatwa na sare za jeshi? Au umewasahau polisi wa kibongo kwa kubambikia kesi wanazopenda? Na ikichangiwa na bifu na bashite na mkuu wa kaya, ni bahati yake kama hajapewa kesi ya ukamanda wa Kibiti.Angekuwa kuwa ni mlalahoi ndiye aliyekamatwa na uniforms za jeshi bado mngeona kaonewa au kwa sababu ni tajiri ndio mnaona kaonewa?!
Tuache tabia ya kuona jela ni za maskini tu!!
Teh teh tehKijana wa Malinzi habari?