Manji sema usiposema...

Manji sema usiposema...

Mm sishangai manji kukutwa na sare za jeshi yule ni mfanya biashara. Na tukumbuke serikali kila kazi zake zoote wanatangaza tenda bila mh. Magufuli kupiga marufuku inaa maaan sare zote zilikuwa zinashonwa na wazabuni mbalimbali so hawakutoa barua za kusitisha Zabuni walizozitangaza japo raisi alisema zifanywe na majeshi husika..hizo zilibaki tu labda hiyo mihuri ndo cjui..lkn ni kitu cha ajabu ht rim za karatasi ofisi za serikali mpk mzabuni alete kweli??hlf tunalalamika rushwa itaishaje
Kabaki na mzigo wote huo kwa nini?
Alitaka atengeneze mazingira ya kupata tenda tena? Uhujumu huo
 
Mwanasiasa mwanachama wa CCM na Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Yusuph Manji inawezekana ndiye Diwani pekee wa CCM ambaye anakumbana na misukosuko mingi sana katika siku za karibuni. Lakini watu kadhaa wanadai kwamba Manji anajua nini kinaendelea dhidi yake.

Kama nadharia kwamba Manji anajua kinachoendelea dhidi yake ni ya kweli, basi ni yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kusema ukweli ni nini hasa kinachoendelea ili ajinasue kutoka wenye mtego uliomnasa.

Yanga, Coco Beach, Quality Group of Companies,siasa ama ni nini hasa!?
Inawezekana kukawa na ukweli uliojificha lakin wakuufubua ukwel uo niyeye mwenyewe basi aweke wazii
 
Mwanasiasa mwanachama wa CCM na Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Yusuph Manji inawezekana ndiye Diwani pekee wa CCM ambaye anakumbana na misukosuko mingi sana katika siku za karibuni. Lakini watu kadhaa wanadai kwamba Manji anajua nini kinaendelea dhidi yake.

Kama nadharia kwamba Manji anajua kinachoendelea dhidi yake ni ya kweli, basi ni yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kusema ukweli ni nini hasa kinachoendelea ili ajinasue kutoka wenye mtego uliomnasa.

Yanga, Coco Beach, Quality Group of Companies,siasa ama ni nini hasa!?
Vyote
 
Kama haihusiani na treason, basi itakuwa ni dili alilozoea kupiga na wakubwa flani pengine ndani ya jeshi. Huo muhuri pengine wakiutumia kuchonga mibarua.

Wanasema alikutwa na muhuri wa jeshi isivyo halali. Sasa hapo ni sawa na kusema muhuri huo ulikuwa ni halali wa jeshi ila kakutwa nao yeye isivyo halali. Scenario kama hiyo, lazima kuna conspirators.

Scenario ya tofauti ni kama aliuchongesha huo muhuri yeye. Ila hapo lugha ilitakiwa waseme ametumia muhuri wa bandia. All in all, uwezekano ni mkubwa kuwa ameshirikiana na watop flani na siyo issue iliyoanza leo,maana hivyo vitambaa si alikuwa anawauzia jeshi? Pengine muhuri ukitumika wakati wa kuchonga barua ya maombi?

Oh shauri yake.

Acha anyee debe.

Muhuri wa jeshi yeye wa kazi gani?
 
Kuna Nyeti. Kutoka Nyetini zinanyetisha, kama kawaida unajua tena huyu mhindi nyodo zake na dharau, maneno yake na jeuri (Rejea kejeli kwa Mr Bonite) mangi boss aliejiolea miss wa Zamani na mrembo alieimbiwa sana na MB Mbwa.

Maneno hayohayo yaliwaimtoka enzi kaka mkuu akiwa kiranja wa kawaida. Katika harakati mhindi yakamtoka "Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa" kha! Ilimuuma sana kiranja, ikakaa moyoni.

Mungu si Athumani wala Abdala kiranja kapandishwa Cheo kawa mmiliki wa mbwa bana. Asikumbuke matusi?

Leo ndio unajutaaaa, maana Mwenye mbwa nanyetishwa kajiapiza sigisigi mpaka donge liwe nyakanyaka. Tumuombee
MAISHA NI KUSAMEANA.

MUNGU IBARIKI TANGA-NYIKA
 
Mimi nikienda kwenye mtupa nikikuta nguo yoyote inafanana na ya jeshi huwa naikimbia.. sasa kuna mijitu mingine haijawahi hata kucheza mgambo,,, mingine misanii unakuta inabeba halafu inajiita kamanda.... sasa huyu aliyevunja rekodi kwa kukutwa na sare zote hizo za jeshi... ana lengo gani na usalama wa nchi yetu.....???
 
Hata mukamia alishawahisema haya yanayohusu mbwa basi naye akamatwe akanyee debe.

Masikini Babu Seya2!!
 
Huoni kuwa Kuna ulakini ktk hayo mashtaka.....!!!? Ujue kuwa hivyo vitambaa na mihuli haijakutwa nyumbani kwake ni kwenye maghala yanayomilikiwa na kampuni, kampuni ambayo yeye alijivua nyadhifa zoote na kubaki kuwa mshauri tuu

Ikiwa itaendeshwa kihaki yeye hatokuwepo isipokuwa itadondokea kwa watendaji. Ila kwa kuangalia walivyoanza nayo inaashiria hiyo haki haitokuwepo
Kama muhusika sio Manji, wewe tuambie ni nani?
 
Mali zimekutwa kwenye Maghala ya Quality Group, kesi kafunguliwa Yusuph ambae Officially alishatangaza kuachia Ngazi Quality Group na kubaki Mshauri tu!

Hii kesi ni Nyepesi sana Kama Mahakama zingekuwa zinaendeshwa kisheria sio Ki amri
T doesn't make sense kabisa
Manji sijui hata anahusikaje yaan dah
 
Back
Top Bottom