Manji sema usiposema...

Manji sema usiposema...

Kama alisema acha alipie, mdomo uliponza kichwa. Kauli ya Wahenga
 
Kosa la kwanza la huyu jamaa ilikuwa ni kufosi kujiingiza kwenye siasa! Hii pia ina weza kuwa kosa la Manji, wewe umekatwa kwenye safari ya matumaini alafu unatengeneza ka kundi ka wachumia tumbo eti wanaandamana kupinga jina lako kuondolewa,
images.jpg
 
Inasemekana aliwahi kumjibu Dereva wa sasa kwamba hawezi kuongea na mbwa anaongea na mwenye mbwa. Sasa hatujui ndio analipia kauli zake sasa ama.laa
Si Manji aliyemjibu bali ni mmoja wa wamiliki wa malori kipindi kile waziri wa barabara na alipoona jamaa anachukua nchi alihamishia biashara zake Congo na Rwanda.
 
Mimi nikienda kwenye mtupa nikikuta nguo yoyote inafanana na ya jeshi huwa naikimbia.. sasa kuna mijitu mingine haijawahi hata kucheza mgambo,,, mingine misanii unakuta inabeba halafu inajiita kamanda.... sasa huyu aliyevunja rekodi kwa kukutwa na sare zote hizo za jeshi... ana lengo gani na usalama wa nchi yetu.....???
Acha upumbavu wewe mbona Lugumi pale kwenye ofisi yake ana sare za jeshi na hakuna hatua alizochukuliwa? Unatapika pumba bila kujiuliza wewe vipi
 
Si Manji aliyemjibu bali ni mmoja wa wamiliki wa malori kipindi kile waziri wa barabara na alipoona jamaa anachukua nchi alihamishia biashara zake Congo na Rwanda.
Kampuni kauza tayari na ana mpango wa kusepa
 
Inasemekana amekutwa na muhuri wa jeshi isivyo halali. Na pia vitambaa vya sare za jeshi. Mashtaka aliyofunguliwa ni uhujumu uchumi pamoja na kuhatarisha usalama wa taifa.

Nadhani ana mengi ya kusema kama atabahatika kuendelea kuwepo.

Je alikuwa na utaratibu wa kufanya hivyo kila mara?

Vitambaa hivyo vilikuwa vikipelekwa wapi? Kazi haswa ya huo muhuri ni nini?

Maana sasa kuna shtaka la uhujumu uchumi na usalama wa taifa. Sasa kwenye usalama wa taifa sijui tatizo liko wapi, kwani hizo sare zilitakiwa kupelekwa kwa wanajeshi waasi ama kikundi chochote cha uasi? (Mh rais ameshawahi kulihuisha na mauwaji ya kibiti pamoja na mashehe walioko lockup)

Wafanye wafanyacho ila cha muhimu haki itendeke, msumeno wa sheria ukate kotekote.

Yani hata kama kuna walioshirikiana naye na wako kwenye vyombo vya madaraka wabanwe. Unless rais aliyepo ana mpango wa kukaa madarakani maisha yake yote.

Kwasababu huwezi kumkuta na makosa na kumuhukumu kama ameshirikiana na vigogo halafu ukawafumbia macho vigogo hao na hukumu ikawa ya haki.

Kwa upande mwingine pia, asiwe amebambikiwa. Lakini kama vinahusiana na ugaidi ama jitihada za uasi, basi hilo ni suala jingine kabisa.
Manji ameshiriki hujuma nyingi sana huko nyuma. Kwa taarifa tu, ni kwamba hata Kagoda alikuwemo. Ni business accomplice wa Roatam Azizi. Kuna tuhuma za kuuza military ware kwa waasi nchini Somalia, Burundi, Uganda na hata Mali na Congo DR. Hiyo mihuri itakuwa inatumika kupitisha (formalization plan) military-ware mipakani kwenda nje ya nchi au hata kuingiza vifaa vya kijeshi hapa nchini (storage facility). Tuache usalama wafanye kazi yao hadi mnyororo mzima ukamilike. Enzi za Kikwete zimeisha. Si mnajua hata kiongozi wa waasi wa Uganda ADF alikamatiwa hapa (Sinza, na anamiliki mali nyingi hapa nchini ingawa kuna tetesi kuwa aliteswa na kufa gereza la maximum security Luzira).
 
Duh!

Kama ni kweli basi atakuwa ni bonge la zumbukuku.

Hajui kuwa sasa kuna sheriff mpya hapa mjini?
*Ukweli kuhusu Manji*

Itz known kwamba ana ugomvi wa muda mrefu na mkuu wa kaya, tangu mkuu wa kaya akiwa waziri wa ujenzi. Ugomvi wao haukua solved hadi jamaa alipotangaza kugombea Urais ndani ya CCM ambapo Manji alimwambia anapoteza muda hawezi kupita. Hata alipopitishwa Manji aligoma kumchangia na Tycoons wengi walimchangia Eddo.so from there alijenga chuki na Manji.na ameapa kumkomesha. Kuanzia saga ya wafanyakazi wasio na kibali hadi hii ya sare za jeshi ni kukomoana tu nothing beneficial. Tuachane na hizo nyingine tuongelee hii ya kukutwa na sare za jeshi. The way ilivyowekwa ni kama vile ameiba hizo sare au alikua anazitumia kinyume na utaratibu.yani yanatengenezwa mazingira ya kuonesha Manji ni gaidi anayemiliki sare za jeshi, mihuri ya idara nyeti za serikali na mambo mengine nyeti. Watu hawajiulizi nini kimetokea.hizo sare zimefikaje kwa manji? Kwanini kwake na si mwingine? Je alikua ana matumizi gani nazo?

Sasa ngoja niwasaidie kwa wale wasioelewa. Kampuni ya Quality Group ni moja ya makampuni yaliyopewa zabuni na jeshi la wananchi za kusambaza sare. Ni kama Polisi sare zote wanazovaa supplier ni Lugumi. So Lugumi anatoa sare India kwa majora anakuja kuwashonea polisi hapa bongo. Na majeshi mengine ndivyo ilivyo maana sheria ya manunuzi ya umma inakataza serikali kufanya manunuzi moja kwa moja kwa producer bila kuwa na mzabuni.

Kwahiyo si kosa uniform hizo kukutwa kwenye 'godown' la Manji masna yeye ndo suppplier. Hivi agent wa Tanga cement ukavamia godown lake na kukuta mifuko kadhaa ya cement utahoji kwanini hiyo mifuko ipo hapo? Nonsense. Manji kakutwa na uniform za jeshi maana yeye ni supplier. Period. Tuache siasa za kijinga. Na waandishi wetu wa habari hawajui hata kuuliza maswali wala kufanya uchunguzi. Wameambiwa manji kakutwa na uniform za jeshi harakaharaka wamekimbilia kuripoti bila kutafuta more details. Kwamfano wangewasiliana na viongozi wa jeshi wangewaambia Manji ni supplier wa uniform hizo. Sasa unamkamataje supplier kwa kukutwa na sehemu ya bidhaa anayosullpy? Kukuta uniform za jeshi kwa supplier wa uniform hizo si habari. Hivi unashangaa nini kukuta hirizi kwa mganga? Ingekua habari kama sare za jeshi zingekutwa kwa supplier wa konyagi au cocacola.

Pili majora ya sare hizo yamekutwa godown sio nyumbani kwa manji. Kumbuka Manji sio msimamizi wa kila siku wa godown hiyo kwa hiyo hawezi kuwajibika moja kwa moja kwa issue yoyote ndani ya hiyo godown. Hii ni kwa sababu kuna watendaji wa kila siku wa godown. Kuna warehouse manager, kuna karani na walinzi. Kwahiyo hata mali ya wizi ikikutwa humo ndani primary suspect hawezi kuwa Manji, definatelly watakua watendaji wake. Manji anaweza kuwa secondary suspect kwa factor ya umiliki. Sasa jiulize kwanini hawajamkamata manager wa hiyo godown?kwanini hawajakamatwa walinzi?bado tu hamjaelewa mpango ilioko nyuma ya pazia? Kwanini waache walinzi kwenye godown then waongozane na makamera hadi hospitali kumfuata manji aliyelazwa kitandani?

*Kuhusu mihuri:*
Sheria inasema possesion ya mihuri isiyo yako ni criminal offence, lakini Manji ni mzabuni wa muda mrefu wa mihuri ya taasisi mbalimbali za serikali. Hata mihuri ya ofisi ya PM na idara zote zilizopo chini yake supplier ni manji kupitia Quality group. Sass kama alipewa tender asupply mihuri na bado alikuwa hajadeliver kosa liko wapi?

Kukutwa na bidhaa halali hata kama raisi ametamka vinginevyo bado haikutii hatiani. Manji anafanya biashara halali ya kussuply uniform jeshini na mihuri kwenye baadhi ya taasisi za umma. Ni biashara halali, analipa kodi, hajaanza leo. Kwanini leo ionekana ni kosa mzabuni kukutwa na moja ya bidha anazosambaza, kisa tu raisi kasema?

Je walionunua bidhaa za viroba kihalali na tamko la PM likavikuta kwenye maghala yao wana kosa gani na kodi walilipa?

Manji ni supplier wa muda mrefu wa uniform jeshini na bidhaa nyingine kwenye govt institutions kama hiyo mihuri. Jeshini hadi helicopter wananunuliwa na wazabuni. Sasa tatizo liko wapi?

Hivi hayo majora ya uniform si yametoka nje? Kwani Manji ana textile hapa? Si ameinport na amepitisha Airport au bandarini with proper documents na kalipa import duties na taxes zote? Kama ni kosa si wangeanza kukamatwa watunishi wa bandari na airport waliopitisha mizigo yake? Kisha wakamatwe TRA kwa kutoza kodi kwenye mzigo wa Manji ambao ni sare za jeshi? Hii serikali ya visasi sana inapotosha ili tu kuwakomoa wale isiowapenda.

Tuache kujivisha miwani ya mbao kukataa hata Locomotive Engines zetu, ili tu kutafuta sifa ya kisiasa while its clear kwamba ziliagizwa na TRL? Halafu kwa chuki hizi tutegemee viwanda vijengwe? Ni kukomoana tu na kurudishana nyuma hadi muda wake uishe.
 
acha ujinga hujui manji anafadhili mambo ya kibiti na rufiji kwa mbaali.usidhani serikali haioni. Mbona watu wengi wanakamatwa kwa waizi kama wale wa escrow kwani wanatofauti gani na manji.

Acha kuropoka hovyo mama.
 
Kupatikana kwa viwanda kutasubir kumalizika kwa milolongo ya kesi.... Inatubidi tujifunze namna ya kupangua vifungu vya sheria ili likikuta ujue unaanzia na lipi.......

Haya ya kujifunza utaalamu wa viwanda tusibir na ndo maana akafukuza na wale watoto wa pale udom. watanzania wengi hatukumuelewa... Ila sasa ndo tunaelewa kuwa ni wakati wa kusikiliza kesi, vijembe, mipasho na kujua namna ya kumkomoa adui
 
Back
Top Bottom