Manji: Nchi yangu hainithamini


Kweli aisee yule waziri maembe angeshinda ilikuwa ni shida maana alikua anasapotiwa na huyo muhindi balaa
 
These are the sort of people ukiwaambia mkate umepanda bei wanaweza kukwambia si ununue keki sasa maana kwakwe tofauti hakuna.

Ukishazoea kupata kila kitu hujui struggle za wenzako, mtu umeshaambiwa ufukwe una tija kwa raia wengi sana kama sehemu ya mapumziko yao hila unataka kuona faida za mabillioni yako tu na happiness yako at the cost of millions of raia wote wa mji wanaotembela hapo annually how selfish.
 
Hakukuwa na Rasilimali watu by that time ndio Maana huyo Waziri akateuliwa (Kama kweli)
Umeshawahi kwenda JWTZ,POLISI ama MAGEREZA ukakuta Mhindi ?
Jitafakari,kuna Idara za Serikali shurti uwe Mzawa Halisi (Black) ndio utie Maguu

Bramo,

Hoja yako ni dhaifu sana.Wakti Nyerere anaanza kuiongoza TZ tayari kulikuwa na Raslimali watu ya kutosha tena wengi wao wakiwa wamesomea nchi za ng'ambo.Issue hapa ilikuwa ni umahiri wa mtu bila kuangalia rangi yake.

Mimi nimewahi kusoma na Wahindi na nilipitia JKT na tulicheza kwata na Wahindi waliokuwa wamemaliza A level na baadaye walijiunga na vyuo Vikuu wakasomea taaluma mbalimbali kama Uhandisi,Udaktari,Uchumi n.k. Wahindi huwa ni wazuri sana kwa namby(Maths),Fizikia,Kemia na Bailojia!

Mpaka sasa kuna zaidi ya wahindi 10 ninaowajua wanafanya kazi za Udaktari na Uhandisi katika Hospitali na Taasisi mbalimbali hapa Tanzania na wengine walikwenda nje ya nchi kutafuta maslahi mazuri.
Swala la kuingia JWTZ,POLISI au MAGEREZA ni swala ambalo liko hata kwa Watz wenyewe.Hizo kazi wengi hawazipendi maana hazina heshima na mara nyingi wanaenda watu ambao HAWAKUFAULU VIZURI!Huu ni ukweli Mchungu.
 
Hakukuwa na Rasilimali watu by that time ndio Maana huyo Waziri akateuliwa (Kama kweli)
Umeshawahi kwenda JWTZ,POLISI ama MAGEREZA ukakuta Mhindi ?
Jitafakari,kuna Idara za Serikali shurti uwe Mzawa Halisi (Black) ndio utie Maguu

Kwanini mzee mtemvu alitofautiana na mwalimu nyerere walipotaka kuunda baraza la mawaziri.. nyerere alitaka wahindi wajumuishwe wakat mzee mtemvu aligoma na kuamua kuhAMA TANU.... unadhani sababu ilikuwa ni nini???

hawa watu hawafai
 
Manji na Mengi hawana tofauti kama angekuwa anathamini watanzania asingekimbilia sehemu za kuenjoy wananchi wa kawaida na kufikiria kuwatoza pesa, yanga mpaka leo haijafanya uchaguzi na ameshindwa kuifanya yanga ijitegemee ndio maana pamoja na kwamba hajaitisha uchaguzi hakuna wa kumpinga kwani wanajua watakosa mapesa yake
 

Kuhusu JWTZ,POLISI na MAGEREZA Mkuu hoja yako ni Dhaifu sana.
Simple,Hawa qualify kwenda huko.
Huko kuna Ma Dr,Engineers na Taaluma anuai ila hakuna wahindi
 
Elli ndiyo Tanzania ni nchi yake kwani ana uraia wa nchi nyingine? Kuna tatizo la watu kuwaza kwamba wahindi siyo watanzania. Ni bahati mbaya sana!!
Allen Kilewella

ndyo Manji sio MTANZANIA,..

Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa MTANZANIA na RAIA WA TANZANIA..
unaweza ukaja leo TANZANIA na ukaomba uraia wa TANZANIA na ukawa RAIA WA TANZANIA ila sio MTANZANIA..

MTANZANIA sio sawa na RAIA/MWANANCHI WA TANZANIA..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu
Nadhan wewe utakuwa Mhindi, sio bure

Muhindi akimbagua mtanzania hapo hakuna ubaguzi... Ila sisi tukiwabagua wao hapo ndipo ubaguzi unaonekana... Idiotic minds on you....

Historically wahindi wametubagua tangu na tangu kasome history ya nchi hii... Jeuri hii wanataka kuiendeleza wakati tupo huru...

Nenda kafanye kazi ofisi za wahind ndo utajua hawa wadudu ni watanzania au lah.... Acha kutetea pumba
 
Nchi yake ipi? Tanzania? Ngoja nikae kimya

Diwani wa Mbagara Kuu hayo anayoyataka akayafanye kwenye Kata yake tutamwona wa maana la sivyo naye ni jipu aliutaka Umeya
 

Hivi unaongea nini wewe
Umenielewa lakini ?
Mimi nilikuwa namjibu Lofa Mmoja anayemtetea Mhindi Manji kwa hali na Mali,ndio nikamwambia lazima na yeye atakuwa Mhindi.
Huelewi nini hapa ?
Au na wewe Mhindi ?
Yaani ungejua ninavyowachukia wahindi,Leo ningepewa Mamlaka ningewafukuzilia Mbali wote kabisa
 

Uongo umekujaa... Unasema nchi hii ilikuwa na wasomi wa kutosha baada ya kupata uhuru??? Hujielewi
 

Swadakta kaka nadhan nilireply sehem ambayo sio.... Ila siwakubali hao wadudu
 
Manji ni Mtz kama wengine tu anadai special treatment ipi, amekuwa akiingilia michakato mingi ya tender na kupora fukwe viwanja vya wazi. Alitaka umeya ili ajinufaishe, maeneo mangapi kanunua kwa bei ya kutupa kwa tender zenye utata na kuyauza kwa bei kubwa kiutata vilevile. Kuwa kiongozi yanga si kupata hadhi ya kufanya apendalo, kama cocobeach ina muuma mpk kwenda mahakamani basi siyo mzalendo mnaomtetea amefanya vyema au mnazani wanayanga mtakuwa mnaingia bure? Aache utoto akue na kuthamini watz wote mimi nilidhani ameamua kuendeleza bure kumbe analalamika. CCM kumkata jina kwenye umeya na kuambiwa coco beach ni ya wananchi ndy imrkuwa hathaminiwi?
 
Kuhusu JWTZ,POLISI na MAGEREZA Mkuu hoja yako ni Dhaifu sana.
Simple,Hawa qualify kwenda huko.
Huko kuna Ma Dr,Engineers na Taaluma anuai ila hakuna wahindi

Bravo,
They're not Interested.Kumbuka hapa tunazungumzia Watanzania wenye asili ya KIHINDI.Tanzania haijafikia kiwango cha Ubaguzi wa kiasi hicho kwamba kuna rangi fulani ya Watanzania hawawezi kuajiriwa kwenye taasisi fulani simply because they COLOURED Tanzanians.
Kama kuna kifungu cha sheria ndani ya Katiba kinachomzuia Mtz mwenye asili ya Kihindi kiweke hapa tukijadili! Kama Mtz mwenye asili ya Kihindi anaweza kuwa WAZIRI seuze POLISI,JESHI au Magereza?????Hakika ni kichekesho!
 

tatizo hili ni serious.. unapuuzia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…