Siwi mbaguzi, lakini suala hili lazima serikali ya Magufuli iliangalie kwa umakini: Sehemu kubwa ya Utajiri wa Tanzania imeshikwa na Wahindi.
Tusimhukumu mzee Manji bila vielelezo vya uhakika,nilipoliskia lile tangazo lake clouds kuna kitu nilikismkia kuwa kuna watu wanamchafua kwa sababu za ushindani wake katika biashara! Tuweke maneno ya akiba!
ubaguzi wa rangi peleka kwenye ufuaji wa nguo. 😡😡😡
Tuache unafiki manji mwili upo Tanzania moyo upo India.
Manji fukwe zipo nyingi sio lazima coco beach.
Hii ni kwa wahindi wote ndio maana wamejazana kwenye nyumba za kupanga
Tuache unafiki manji mwili upo Tanzania moyo upo India.
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
Huwa Na Washangaa Kuona Baadhi Wabongo Wakijenga Ukabila Kwa kuwalaumu Wachagga, Nyakusya Na Haya Tribe. Lakini Tangu Uhuru Hawa Watized Wenye Asili Ya Kiasia Na Kiarabu Ndio Wana Run Tized. Racist Mna Kazi Kuweza Kuona Big Picture.
Goodrich,
Nasikia harufu ya Ubaguzi.Mimi siyo Mhindi lakini kitendo cha kuanza kumlaumu Manji na kulalamika ati sehemu kubwa ya utajiri meshikiliwa na Wahindi naona ni upuuzi mtupu! Kwa maana hiyo hata kina Mo Dewji na Wahindi wote wafanyibiashara wakubwa hawatakiwi Tz?
Watz acheni wivu wa kijinga wa kuwaonea ghere jamii ya Waasia ambao ni wachakarikaji na watafutaji wa maisha walio makini kabisa na dunia inajua hilo.
Nenda USA,Canada,Uingereza,n.k utawakuta hawa jamii ya Wahindi wakimiliki biashara za uhakika!
Kama kuna mtu ana ushahidi wa Manji kuhusika na Ufisadi wa aina yoyote kama EPA,TEGETA ESCROW,CONTAINERGATE(TRA&TPA),DEEPGREEN,n.k atuwekee hapa ili tuanze kumchana live!
@Elli ndiyo Tanzania ni nchi yake kwani ana uraia wa nchi nyingine? Kuna tatizo la watu kuwaza kwamba wahindi siyo watanzania. Ni bahati mbaya sana!!