Manji hali tete

Manji hali tete

Kwakweli akitoka kwenye hili bora arudi uarabuni maana sio kwa suluba hizi..
8d1aa2715eca53501374d2a69479a4a8.jpg
Ni mwarabu ama mhindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa haya uliyoandika unastahili viboko..unaamin udaku half wanaokulinda wkt umelala unajamba ndio unawatuhum kwa uonevu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu mkuu, kwan kabla ya JPM tenda za supply kwa majeshi zilikuwa zinapewa watu gani kabla ya ile presidential stop oder ?
Hawa mnaowaadabisha si walikuwa ndo watu wa hizo tenda? Hawakushirikiana na maofisa vitengo husika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hachomoki as ni mambo ya kisasi kesi itapigwa tarehe tu mpaka umalize uchaguzi 2020 ndo kesi itaenda na atatoka.
Sababu kesi yake iko wazi kukamatwa na vitambaa vya sare za jeshi...inatakiwa ianze tu waletwe mashahidi lkn DPP atachelewesha makusudi
kumkomoa kwani mkuu anafurahi mambo kama haya.
Tuombee tu uzima na wabaya wake wapate ubinadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
nashauri wana wa MBAGALA ZAKIEM tafuteni diwani mpya ili ashughulikie matatizo yenu. mkimtegemea huyu itakula kwenu. tena msirudishe wa FISIEM badilisheni wekeni mtetezi kutoka upande uleee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fala Sana wewe, wakati anaipiga serikali pesa, huduma kwa Wananchi zinakosekana, Mfano hospital, Baadhi wanakufa kwa kukosa dawa, alikua anachekelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi raia anajuaje kuna hela hazina imekaa? Shida tunaangalia tunapoangukia hatuangalii tulipojikwaa mfano mzuri kwa nini kwenye escrow viongozi wengi na wengine wastaafu wa serikalini ndio wanaopata mgao halafu mwisho ndio tuwalaumu wafanyabiashara
 
Hahahhah yule jamaa wa kulia mwisho wa picha haamini kama anaemuona ndie
Sio kwa macho yale
 
Back
Top Bottom