Manispaa ya Moshi ni takataka kabisa 🚮

Angalia kiwango cha kipato , ubora wa makazi kwa mkoa mzima wa Kilimanjaro halafu ulinganishe na mkoani kwako afrika nzima
Makazi na kiwango cha kipato cha mtu siyo vigezo vya jiji.

Hicho kipato cha mtu mmoja tukione kwenye mapato ya TRA na manispaa.
 
Malalamiko ya karne 200 zilizopita.

Huu ujinga simulianeni huko kwenye vijiwa vya mbege
 
Arusha ndio usiseme kabisa. Imehujumiwa kwanzia kwenye utalii, madini, kilimo na mifugo, mbuga za wanyama, forced mass migration, vurugu za kisiasa mf za 2011, na utapeli kama kikombe cha Loliondo.
Arusha kuna utalii gani?

Kuna madini gani?

Kilimo.chanini?

Mifugo ipi?

Forced migration kivipi?

Mbuga za wanyama kivipi?
 
Mbona pale kuna frame kali tu bwashee! Ina maana kumbe wanalipa below 1m? Dah sasa kumbe nihame moshi tu sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…