Manispaa ya Moshi ni takataka kabisa 🚮

Hakuna JIJI la watu Laki na NUSU na Viamba.

Hakuna jiji lenye ukubwa kama shamba la Msukuma.

Huwezi kuwa jiji kwa mapato ya kuunga unga.

Mwiago.wa siku, likiwa Jini unapata nini, kum-massage ego yako, ukiwa umelewa Kiwingu???
Angalia kiwango cha kipato , ubora wa makazi kwa mkoa mzima wa Kilimanjaro halafu ulinganishe na mkoani kwako afrika nzima
 
Moshi nipakwenda tuu likizo utalii ukiwa low season hata mzunguko unakuwa mgumu sana % kubwa ya vijana shughuli zao ni utalii lakini pia pasingekuwa na kcmc,mwecau na mocu nadhani hali ingekuwa mbaya zaidi
We need to change that, panakufa hivi hivi. Arusha na Moshi around miaka ya 2000 hapakua na tofauti sana ila leo tofauti ni kubwa mno. Na tofauti ipoa kwenye ardhi
 
CC peno hasegawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…