Mangula: Najuta kuishi jimbo la Halima Mdee

sidhani. mbona kabla mbunge alikuwa rita mlaki?

Ni aibu mimi ni mkazi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, na Mdee ndiye Mbunge wangu sasa siku akisema anataka kuongea na wazee wa jimbo lake mimi ntafanyaje? siwezi kwenda nitasingizia naumwa ili nisiende," alisema.

mkuu hoja yangu ipo hapo, akiangalia utaona hajatumia neno upinzani ambalo lingeleta maana zaidi kuwa yupo kisiasa lakini yeye ni kama amemsema Mdee binafsi.
 
Kweli ma CCM yamezeeka hadi akili .Haamini hata katika demokorasia wala kuongozwa na mwanamke ? Shame on you all .Mbona JK na wengine wote wako jimbo la Mdee au wao wanakaa Temeke kwa Mtemvu ?Maana Mtemvu jimbo lake ni Temeke lakini anaishi Kawe .
 
Itabidii atafute nchi ya kwenda kabisa kwani CHADEMA watakapoongoza nchi aibu ndiyo itazidi.
 
hata mimi najuta kuishi jimbo la njombe analotoka anna makinda pamoja na yeye mwenyewe kama katibu wa chama
 
Huyo mzee tangu ameoa amekuwa na akili kama za watoto! Namshauri ahame ili asiendele kujuta!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula, amesema anajuta na anaona aibu kuishi katika Jimbo la Kawe linaloongozwa na Halima Mdee (Chadema), na kuwataka wanachama wa CCM kuhakikisha uchaguzi wa mwaka 2015 jimbo hilo linarudi kwao.
Mangula aliyasema hayo jana alipozungumza na viongozi mbalimbali wa kata na wilaya zote za jijini Dar es Salaam pamoja na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam wa CCM.
“Ni aibu mimi ni mkazi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, na Mdee ndiye Mbunge wangu sasa siku akisema anataka kuongea na wazee wa jimbo lake mimi ntafanyaje? siwezi kwenda nitasingizia naumwa ili nisiende,” alisema.

Maswali yangu kwake ni haya:
-WanaCCM pekee wa jimbo la Kawe wanatosha kulirudisha jimbo CCM ktk sanduku la kura?
-Kwanini awe mwongo asisngizie kuumwa,kwani hana demokrasia ya kukataa kwenda kwenye kikao?

-Kinachomsababisha ajute ni kipi?

mwaambie Mangula miezi 6 iliisha kitambo ...mbona mafisadi bado wanaitesa ccm?
 
Bado hujajuta vizuri,subiri 2015 ndy utakosa hata pa kutembelea maana majimbo ya CHADEMA yatakua mengi sana
 
mwambieni ahamie Buguruni kwa mnyamani, ni jimbo la ccm
 
Mangula ni kitu gani? Waziri mkuu na Makamu wa Rais wanaishi kawe jimboni, na hawajawahi kulalamika yeye nani?

Hawawezi kulalamika kwa mujibu wa sheria! Ila mikakati Na mipango ya kulirudisha Hilo jimbo na Ubungo Pia inajulikana! Na kwa Maana hiyo hawapendi kabisa ila hawawezi kusema waziwazi! Rejea mkutano wa Ccm ulofanyika Blue Pear mwaka2011 mwanzoni!
 
Mwambieni huyu mbabu awe mpole na Mungu ampe maisha marefu ili aje afe kwa presha kwanzia mwakani tunapoelekea 2014-2015
 
Mdee hakubaliki tena kawe. Ht ndani ya chadema kwenyewe hawamtaki
 
Huyo mzee tangu ameoa amekuwa na akili kama za watoto! Namshauri ahame ili asiendele kujuta!
Viongozi wengi wa chadema ni wahuni wahuni. Wanaishi bila ndoa. Wanaishia kuharibu watoto wa shule na kuvunja ndoa za watu
 
Is Tanzania still needs such kind of C People? Mama yangu mzazi, where are we going to --------------!! It is a shame to have such kind of human being in our community!!

...he is not a human being..!!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula, amesema anajuta na anaona aibu kuishi katika Jimbo la Kawe linaloongozwa na Halima Mdee (Chadema), na kuwataka wanachama wa CCM kuhakikisha uchaguzi wa mwaka 2015 jimbo hilo linarudi kwao.
Mangula aliyasema hayo jana alipozungumza na viongozi mbalimbali wa kata na wilaya zote za jijini Dar es Salaam pamoja na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam wa CCM.
“Ni aibu mimi ni mkazi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, na Mdee ndiye Mbunge wangu sasa siku akisema anataka kuongea na wazee wa jimbo lake mimi ntafanyaje? siwezi kwenda nitasingizia naumwa ili nisiende,” alisema.

Maswali yangu kwake ni haya:
-WanaCCM pekee wa jimbo la Kawe wanatosha kulirudisha jimbo CCM ktk sanduku la kura?
-Kwanini awe mwongo asisngizie kuumwa,kwani hana demokrasia ya kukataa kwenda kwenye kikao?

-Kinachomsababisha ajute ni kipi?

Atasingizia kuumwa maana ana wasiwasi lile jembe ulaya Mdee linaweza kumuuliza maswali magumu akafa kwa stroke! kwa nini asijute kilichomrudisha kwenye siasa wakati alishastaafu akaja kudangaya umma eti atakisafisha chama mpaka leo kaingia mitini!
 
afanye hima arudi kijijini kwao kwani hapa anasubiria nini wakati keshatemwa ukatibu wa kigamba
 
Back
Top Bottom