MAKIHE
Member
- Mar 10, 2009
- 16
- 13
Juzi juzi tu tumemtoa kijijini kwao hoi bin taabani ki-uchumi, leo hii kasahau yote?
We kweli fuso, kwan kukaa kijijini ndio kuwa hoi kiuchumi?
Juzi juzi tu tumemtoa kijijini kwao hoi bin taabani ki-uchumi, leo hii kasahau yote?
Kwani waliotumia Rushwa kupata madaraka ndani ya chama chake Wameshafukuzwa!?au miezi 6 bado?
Si ahame aende eneo lenye mbunge gamba
wewe umemaliza la ngapi? tarifa ni nini? unalirudia kwa makosa hilo neno!Wewe unataka akuletee tarifa wewe unanini mpaka akuletee tarifa mmezoea chama chenu ambacho hakina mkubwa wala mdogo.
We kweli fuso, kwan kukaa kijijini ndio kuwa hoi kiuchumi?
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula, amesema anajuta na anaona aibu kuishi katika Jimbo la Kawe linaloongozwa na Halima Mdee (Chadema), na kuwataka wanachama wa CCM kuhakikisha uchaguzi wa mwaka 2015 jimbo hilo linarudi kwao.
Mangula aliyasema hayo jana alipozungumza na viongozi mbalimbali wa kata na wilaya zote za jijini Dar es Salaam pamoja na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam wa CCM.
Ni aibu mimi ni mkazi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, na Mdee ndiye Mbunge wangu sasa siku akisema anataka kuongea na wazee wa jimbo lake mimi ntafanyaje? siwezi kwenda nitasingizia naumwa ili nisiende, alisema.
Maswali yangu kwake ni haya:
-WanaCCM pekee wa jimbo la Kawe wanatosha kulirudisha jimbo CCM ktk sanduku la kura?
-Kwanini awe mwongo asisngizie kuumwa,kwani hana demokrasia ya kukataa kwenda kwenye kikao?
-Kinachomsababisha ajute ni kipi?