Mangula: Najuta kuishi jimbo la Halima Mdee

Mount Kibo

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
1,956
551
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula, amesema anajuta na anaona aibu kuishi katika Jimbo la Kawe linaloongozwa na Halima Mdee (Chadema), na kuwataka wanachama wa CCM kuhakikisha uchaguzi wa mwaka 2015 jimbo hilo linarudi kwao.
Mangula aliyasema hayo jana alipozungumza na viongozi mbalimbali wa kata na wilaya zote za jijini Dar es Salaam pamoja na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam wa CCM.
"Ni aibu mimi ni mkazi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, na Mdee ndiye Mbunge wangu sasa siku akisema anataka kuongea na wazee wa jimbo lake mimi ntafanyaje? siwezi kwenda nitasingizia naumwa ili nisiende," alisema.

Maswali yangu kwake ni haya:
-WanaCCM pekee wa jimbo la Kawe wanatosha kulirudisha jimbo CCM ktk sanduku la kura?
-Kwanini awe mwongo asisngizie kuumwa,kwani hana demokrasia ya kukataa kwenda kwenye kikao?

-Kinachomsababisha ajute ni kipi?
 
Aliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM na akajikakamua na kuonekana ana ubavu wa kuisimamisha upya CCM na ili aonekane amekamilika aliamua kumwona mwajiriwa wake aliyekuwa mwalimu Mkuu shule yake, leo yote yamebaki hadithi za abunuwasi.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula, amesema anajuta na anaona aibu kuishi katika Jimbo la Kawe linaloongozwa na Halima Mdee (Chadema), na kuwataka wanachama wa CCM kuhakikisha uchaguzi wa mwaka 2015 jimbo hilo linarudi kwao.
Mangula aliyasema hayo jana alipozungumza na viongozi mbalimbali wa kata na wilaya zote za jijini Dar es Salaam pamoja na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam wa CCM.
“Ni aibu mimi ni mkazi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, na Mdee ndiye Mbunge wangu sasa siku akisema anataka kuongea na wazee wa jimbo lake mimi ntafanyaje? siwezi kwenda nitasingizia naumwa ili nisiende,” alisema.

Maswali yangu kwake ni haya:
-WanaCCM pekee wa jimbo la Kawe wanatosha kulirudisha jimbo CCM ktk sanduku la kura?
-Kwanini awe mwongo asisngizie kuumwa,kwani hana demokrasia ya kukataa kwenda kwenye kikao?

-Kinachomsababisha ajute ni kipi?

Ni ufinyu wa fikra alionao, kama anakili ahame hilo jimbo arudi kwao
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula, amesema anajuta na anaona aibu kuishi katika Jimbo la Kawe linaloongozwa na Halima Mdee (Chadema), na kuwataka wanachama wa CCM kuhakikisha uchaguzi wa mwaka 2015 jimbo hilo linarudi kwao.
Mangula aliyasema hayo jana alipozungumza na viongozi mbalimbali wa kata na wilaya zote za jijini Dar es Salaam pamoja na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam wa CCM.
"Ni aibu mimi ni mkazi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, na Mdee ndiye Mbunge wangu sasa siku akisema anataka kuongea na wazee wa jimbo lake mimi ntafanyaje? siwezi kwenda nitasingizia naumwa ili nisiende," alisema.

Maswali yangu kwake ni haya:
-WanaCCM pekee wa jimbo la Kawe wanatosha kulirudisha jimbo CCM ktk sanduku la kura?
-Kwanini awe mwongo asisngizie kuumwa,kwani hana demokrasia ya kukataa kwenda kwenye kikao?

-Kinachomsababisha ajute ni kipi?

Si ahame aende eneo lenye mbunge gamba
 
Is Tanzania still needs such kind of C People? Mama yangu mzazi, where are we going to --------------!! It is a shame to have such kind of human being in our community!!
 
Hata kama wataweka CCM Na JIWE Chagua JIWE Maana Hawa Watu Hawathamini Kabisa Utu Wa Mtu!!
 
Hii sasa inadhihilisha sasa Mangula amezeeka sasa, maana hayo maneno sio rahisi kutolewa na mtu ambaye bado akili iko active enough. Any ujumbe umefika lakini ukweli unabaki palepale it too late na wala sio yeye tu, aliyeko kwenye jimbo linaloongozwa na Mb wa upinzani, wapo wengi wakubwa zaidi yake na hao pia wengine walishiriki kwa dhati kuwachagua wabunge hao maana hakika wajua utendaji wao na hawajawahi kujutia uamuzi wao huo.

Pole Ndg Mangula, nadhani sehemu za mjni inabidi muendelee kuzoea hiyo hali maana soon hata lile jengo jeupe kule magogoni DSM litakuwa chini ya himaya ya chama mbadala, ndio habari ya mjini hiyo, na pia kule jia panda ya kuelekea Ulaya nako the same story. HADI RAHA.

cc HAMY-D, bosi yako iko lalamika bwana wewe hapana saidia yeye
 
Last edited by a moderator:
Arudi kijijini alikotoka sijui anafanya nini hapa, kila siku anaagiza mafaili ya watuhumiwa wake yafunguliwe lakini hatuoni action yoyote. Anazeeka vibaya
 
hahaaa huyu Mangula bana ananifurahisha kweli

Huyu mzee anazeeka vibaya-anaringia cheo chake cha kupewa anajifananisha na Halima aliyechaguliwa na wananchi!? alivuliwa ukatibu mkuu akapauka sasa anajifanya kuleta ngebe!! kweli maskini akipata nanihii hulia mbwata!!
 
Ungefanya utafiti kidogo ungejua kuwa jimbo la kawe halitakuwa chini ya chadema tena kwa sasa mdee kachuja sana hana uwezo wa kuutisha hata mkutano wa hadhara akapata watu.
 
Arudi kijijini alikotoka sijui anafanya nini hapa, kila siku anaagiza mafaili ya watuhumiwa wake yafunguliwe lakini hatuoni action yoyote. Anazeeka vibaya
Wewe unataka akuletee tarifa wewe unanini mpaka akuletee tarifa mmezoea chama chenu ambacho hakina mkubwa wala mdogo.
 
Back
Top Bottom