Mangula: Najuta kuishi jimbo la Halima Mdee

Mangula: Najuta kuishi jimbo la Halima Mdee

Je siku CDM ikishika dola na CCM kuwa chama cha upinzani huyu mzee atakufa kwa kihoro!

Hivi ile miezi 6 aliyotoa kwa wana-CCM waliopata uongozi kwa rushwa bado haijaisha!

Mangula bwana yaani baada ya kumaliza honey moon umeona hiyo single ndiyo ya kuwatumbuiza Watanzania!
 
Mitaa ya tegeta,kunduchi na sehemu zingine nasikia mdee hata kupita anaona aibu kwa kuwa hakuna alichofanya.
 
Komredi Mangula, hizi ni zama mpya, za kizazi kipya, za Siasa za vyama vingi! Yale tuliyosoma Urusi enzi zile za vita baridi yameshapita na kupitwa na wakati. Tukubali. Kuna siku chama tawala kitakuwa chama kikuu cha upinzani na chama cha upinzani cha sasa kitakuwa chama tawala na maisha yetu yataendelea kama kawaida!
 
...namshauri ahamie kwa wauza unga,huko watu wapo wa ainayake...
 
Ungefanya utafiti kidogo ungejua kuwa jimbo la kawe halitakuwa chini ya chadema tena kwa sasa mdee kachuja sana hana uwezo wa kuutisha hata mkutano wa hadhara akapata watu.



Weweeee bhana kama mzee wenu katoa hayo maneno kweli basi mna shida huko ndani!!!

Kwa umri na heshima yake anatakiwa kuwaza makubwa yakitaifa!!!!!

Kama nayeye memba humu mshauri aweke hilo bandiko leo tumalizane na wazee wa matamko mepesi!!!!
 
Hilo jimbo linawauma sana kwasababu vigogo wengi wako Oysterbay na Mbezi Beach na hiyo kauli ni ushahidi wa mkakati na mipango ya Ccm kwenye uchaguzi ujao!
Wanachotakiwa ni kujiuliza Cdm walilichukua vp2010 na watashindwa Vipi tena kuyarudisha

Tunaelewa Ccm kumekua na mikakati na mipango na vikao juu ya majimbo la Kawe na Ubungo kuyarudisha! Lakini wafahamu kua jimbo la Makongoro Mahanga Hilo Ccm hawatolipata Na hayo majimbo ya Kawe na Ubungo hawatayapata!
 
Mwambie napangisha nyumba Segerea kwenye jimbo la Mahanga, uchaguzi ukiisha arudi Oysterbay
 
Ungefanya utafiti kidogo ungejua kuwa jimbo la kawe halitakuwa chini ya chadema tena kwa sasa mdee kachuja sana hana uwezo wa kuutisha hata mkutano wa hadhara akapata watu.

Kweli buku 7 zinafanya kazi yaani juzi tu Join Date : 30th April 2013
Posts : 4,452
Rep Power : 1214
Likes Received270
Likes Given43
Umeshafikisha posts 4,000? ungekuwa unafanya kazi mbadala ingekusaidia sana,lakini kiukweli unatumika vibaya muda wote kwenye internet cafe!!!!!!!,think twice
read this below
But the beginning of transformation is awareness. And the very moment we stop blaming others and conditions for what's not world-class in our lives is the moment we take back our power to dramatically alter our situation
 
Hii sasa inadhihilisha sasa Mangula amezeeka sasa, maana hayo maneno sio rahisi kutolewa na mtu ambaye bado akili iko active enough. Any ujumbe umefika lakini ukweli unabaki palepale it too late na wala sio yeye tu, aliyeko kwenye jimbo linaloongozwa na Mb wa upinzani, wapo wengi wakubwa zaidi yake na hao pia wengine walishiriki kwa dhati kuwachagua wabunge hao maana hakika wajua utendaji wao na hawajawahi kujutia uamuzi wao huo.

Pole Ndg Mangula, nadhani sehemu za mjni inabidi muendelee kuzoea hiyo hali maana soon hata lile jengo jeupe kule magogoni DSM litakuwa chini ya himaya ya chama mbadala, ndio habari ya mjini hiyo, na pia kule jia panda ya kuelekea Ulaya nako the same story. HADI RAHA.

cc HAMY-D, bosi yako iko lalamika bwana wewe hapana saidia yeye

Mangula ni kitu gani? Waziri mkuu na Makamu wa Rais wanaishi kawe jimboni, na hawajawahi kulalamika yeye nani?
 
Last edited by a moderator:
Ungefanya utafiti kidogo ungejua kuwa jimbo la kawe halitakuwa chini ya chadema tena kwa sasa mdee kachuja sana hana uwezo wa kuutisha hata mkutano wa hadhara akapata watu.
Mkuu Andrew Chenge wewe mwenyewe kwenye jimbo lako umekalia kuti kavu. 2015 kwa heri hata vijisenti vyako haviwezi kununua mgombea wala kukupa ushindi.
 
Wazee wengine unaweza hata kuwaonea huruma.
Kama ccm walishindwa kulichukua hili jimbo mwaka 2010 kabla M4C haijakamata nyika wataweza 2015!?
 
Mangula bana miezi sita bado haijaisha? kweli ilikuwa gear ya kupata michango ya harusi kama mzee Malecela, shame on you magambaz
 
si ahamie Kinondoni,Temeke au Ilala kama shida yake ni kukaa jimbo linaloongozwa na CCM
 
Wakati mwingine inabidi kuwepo pia na msamaha kutokana na matamshi
ya haraka haraka ya waliyopo madarakani.

Hata hivyo Mangula amepata matatizo mfululizo huenda akili haijakaa sawa.
 
Back
Top Bottom