Mangula na Kinana mmejidhalilisha

Mangula na Kinana mmejidhalilisha

Hii akili ya panzi kwelikweli, ina maana sasa hivi nguvu yao kubwa ni kuboa Chadema na wala sio kuimarisha Li-CCM lao.

Mkuu kama strategists wa CCM ni akina Tyson, Lukuvi, Nepi, na Nchemba unategemea nini? Wangekuwa wana akili nzuri wangefikiria kuimarisha chama chao na kutatua matatizo na kero za wananchi badala ya kuhangaika na CDM ambayo inapata umaarufu kila kukicha kwasababu ya hizo mbinu chafu. CCM badilikeni wananchi wa sasa wanajua kila kitu na wako more informed hamuwezi kuwadanganya kwa propaganda zenu!!
 
I wonder, katika mikakati yote hiyo sijaona sehemu wameainisha kuboresha huduma muhimu kwa wananchi ili kuwafunga mdomo Chadema,,, wanapanga kufanya Umafia tu.
 
Ccm wanavyoifanyia CHADEMA umafia wanazidi kuiimarisha na kuipa umaarufu...cdm iko makini kupita TISS na Serikali ya ccm
 
Wana jf

CCM chini ya Mzee wa pembe za ndovu imepanga mipango mikali sana jamaa wa ndani sana amenitonya kama ifuatavyo:
1. Wanasema kuwa lazima CHADEMA ife kabla ya zoezi la kuteu wagombea wa uraisi na ubunge kutoka vyama kwa uchaguzi 2015 halijafika wala kukaribia, kwa kuwa eti ikifikiwa wakati huo na CDM kikiwa na nguvu iliyonayo sasa hivi, eti
CCM itasambaratika yenyewe na ndio itakuwa mwisho wake.Hii wanasema ni kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hivi,Kwa mtazamo huo jamaa kaniambia wamekuja na plan A na B. Plan A ni kuwabambika kesi viongozi wote wa CHADEMA ili wawe wanahangaika na kesi na fedha zote ziishie kwenye kesi wakose muda wa kufanya mikutano ya kushawishi wananchi,kuongea na wamiliki wa vyombo vya habari kupunguza kabisa kuandika habari ya CDM na kuanzisha vipindi kwenye redio wakati wa asubuhi na jioni vyenye lengo ya kuzunguzia amani kwa lengo la mlango wa nyuma wa kuiponda CHADEMA. Kuwatumia baadhi ya viongozi wa upinzani kuiponda chadema hasa class mate wangu pale UDSM Mbatia. Jamaa akaniambia kama plan A itashindikana plan B watadili na Dr Slaa moja kwa moja watadili naye vipi hakunitonya. Tafakari chukua hatua.

Kama ni kweli niwasikitikie wananchi walioichagua ccm,ipo busy kuiua Chadema ila matatizo ya wananchi baadae sana.
 
aiseeeee babayangu hajakutonya ujenzi wa barabara yenye kiwango cha lami kutoka rombo mpaka tarakea na vip kuhusu bei mya za kahawa pamoja na mirahara mipya mulizi plan b la tatizo la maji ubungohawajakutonya
 
Wana jf

CCM chini ya Mzee wa pembe za ndovu imepanga mipango mikali sana jamaa wa ndani sana amenitonya kama ifuatavyo:
1. Wanasema kuwa lazima CHADEMA ife kabla ya zoezi la kuteu wagombea wa uraisi na ubunge kutoka vyama kwa uchaguzi 2015 halijafika wala kukaribia, kwa kuwa eti ikifikiwa wakati huo na CDM kikiwa na nguvu iliyonayo sasa hivi, eti
CCM itasambaratika yenyewe na ndio itakuwa mwisho wake.Hii wanasema ni kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hivi,Kwa mtazamo huo jamaa kaniambia wamekuja na plan A na B. Plan A ni kuwabambika kesi viongozi wote wa CHADEMA ili wawe wanahangaika na kesi na fedha zote ziishie kwenye kesi wakose muda wa kufanya mikutano ya kushawishi wananchi,kuongea na wamiliki wa vyombo vya habari kupunguza kabisa kuandika habari ya CDM na kuanzisha vipindi kwenye redio wakati wa asubuhi na jioni vyenye lengo ya kuzunguzia amani kwa lengo la mlango wa nyuma wa kuiponda CHADEMA. Kuwatumia baadhi ya viongozi wa upinzani kuiponda chadema hasa class mate wangu pale UDSM Mbatia. Jamaa akaniambia kama plan A itashindikana plan B watadili na Dr Slaa moja kwa moja watadili naye vipi hakunitonya. Tafakari chukua hatua.

hii mbinu ikitumika itawasaidia sana chadema kama ilivyosaidia arusha ya kupiga mabomu. na chuki dhidi ya ccm itakuwa kubwa sana na hata kusababisha amani kutoweka kabisa na nchi isitawalike kabisa
 
wana jf

ccm chini ya mzee wa pembe za ndovu imepanga mipango mikali sana jamaa wa ndani sana amenitonya kama ifuatavyo:
1. Wanasema kuwa lazima chadema ife kabla ya zoezi la kuteu wagombea wa uraisi na ubunge kutoka vyama kwa uchaguzi 2015 halijafika wala kukaribia, kwa kuwa eti ikifikiwa wakati huo na cdm kikiwa na nguvu iliyonayo sasa hivi, eti
ccm itasambaratika yenyewe na ndio itakuwa mwisho wake.hii wanasema ni kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hivi,kwa mtazamo huo jamaa kaniambia wamekuja na plan a na b. Plan a ni kuwabambika kesi viongozi wote wa chadema ili wawe wanahangaika na kesi na fedha zote ziishie kwenye kesi wakose muda wa kufanya mikutano ya kushawishi wananchi,kuongea na wamiliki wa vyombo vya habari kupunguza kabisa kuandika habari ya cdm na kuanzisha vipindi kwenye redio wakati wa asubuhi na jioni vyenye lengo ya kuzunguzia amani kwa lengo la mlango wa nyuma wa kuiponda chadema. Kuwatumia baadhi ya viongozi wa upinzani kuiponda chadema hasa class mate wangu pale udsm mbatia. Jamaa akaniambia kama plan a itashindikana plan b watadili na dr slaa moja kwa moja watadili naye vipi hakunitonya. Tafakari chukua hatua.

waanze tu, plan ya arusha tunaona imefanya kazi kweli kweli, na cdm siyo ya mtu mmoja laeo wenje kaonyesha hilo bukoba. Hivi ndiyo uwezo wao wa kufikiri umefikia hapo.
 
Siasa maji-taka zaTanzania ndio chanzo kikuu cha umasikini wetu kama Taifa. yangu macho
 
Hii akili ya panzi kwelikweli, ina maana sasa hivi nguvu yao kubwa ni kuboa Chadema na wala sio kuimarisha Li-CCM lao.

Hii ni tafsiri kuwa CCM hakuna viongozi. Ile UVCCM iliyokuwa inategemewa enzi zile izae viongozi wenye maono mapya imekuwa ni genge la wahuni wanaofikiria kutukana watu, kuwagombanisha na kuwaumiza kama sio kwa kitu cha ncha kali, basi kwa kitu cha mlipuko.

Chadema hawana budi kuendeleza mbinu zao za kujenga chama maana CCM hawana mikakati madhubuti tena.
 
Tupo tayari kwa hayo yote.Chadema kimeshavuka level hiyo.Sitaendelea zaidi ya hapa
Nakumbuka 2002 nilikuwa DC, wakati huo kulikuwa na wale vichaa wakiua watu bila mpangilio(DC snipper). Police walikuwa wakifanyia kazi every single tip, mwishoe waliwakamata. Hakuna kitu kuvuka Level, Kubambikiwa kesi hakutakwisha, kupigwa kwa wanachama na viongozi wenu hakutakwisha, propaganda za CCM zitazidi kuimarika katika kila kona ya nchi. Nilikuuliza swali kuhusu kumshitaki Mwigulu kwa article zake mbili alizoweka hapa, je ndio mmepuuzia au wanasheria wanafanyia kazi?
 
Kuna watu hawatakiwi kuguswa kwa sasa kwa amani ya nchi.....kama hawaamini wamdhuru dokta then waone,labda wasafirie ndege tusiwaone ma barabarani puumbaaaaaaavu.
 
Tulianza na mungu* Tutamaliza na mungu* Tanzanians now we are clever kuliko akili zao za matope. Nyambafu zenu. *Piga tu*
 
Bandubandu kaka, uliza gogo la ccm liko vipi tangu 1995, 2005 na 2015 itakuwaje?
 
Hizo nguvu wangezitumia kutekeleza ahadi zao lingekuwa jambo jema
 
Back
Top Bottom