Lakini CCM wajiulize kuwaweka mbele vijana hawa kunawakatisha tamaa sna vijana origino,hasa ikizingatiwa hawaitetei CCM
Wana jf
CCM chini ya Mzee wa pembe za ndovu imepanga mipango mikali sana jamaa wa ndani sana amenitonya kama ifuatavyo:
1. Wanasema kuwa lazima CHADEMA ife kabla ya zoezi la kuteu wagombea wa uraisi na ubunge kutoka vyama kwa uchaguzi 2015 halijafika wala kukaribia, kwa kuwa eti ikifikiwa wakati huo na CDM kikiwa na nguvu iliyonayo sasa hivi, eti
CCM itasambaratika yenyewe na ndio itakuwa mwisho wake.Hii wanasema ni kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hivi,Kwa mtazamo huo jamaa kaniambia wamekuja na plan A na B. Plan A ni kuwabambika kesi viongozi wote wa CHADEMA ili wawe wanahangaika na kesi na fedha zote ziishie kwenye kesi wakose muda wa kufanya mikutano ya kushawishi wananchi,kuongea na wamiliki wa vyombo vya habari kupunguza kabisa kuandika habari ya CDM na kuanzisha vipindi kwenye redio wakati wa asubuhi na jioni vyenye lengo ya kuzunguzia amani kwa lengo la mlango wa nyuma wa kuiponda CHADEMA. Kuwatumia baadhi ya viongozi wa upinzani kuiponda chadema hasa class mate wangu pale UDSM Mbatia. Jamaa akaniambia kama plan A itashindikana plan B watadili na Dr Slaa moja kwa moja watadili naye vipi hakunitonya. Tafakari chukua hatua.
ktk miaka 36 ya chama cha mapinduzi hakijapa bahati ya kuwa na nondo km hao, huo ndio ukweli whether you like o not CCM kinakimbiwa na wasomi wote makini na kiliobakiwa nao wote ni wababaishaji wasiojielewa ata kidogo period.
mwanafunzi anayerudiarudia darasa au mitihani huwa si mwerevu bali anakariri.
Kuhusu kwamba alishaurina na nani nadhani hao walipewa ili nao waonyeshe kwamba vijana wana nafasi katika chama kumbe vijana wenyewe ni wahovyo. Hawana uwezo wa kujenga hoja hasa huyu Mwigulu!!!
Sema mikakati ya kushinda kama serikali inahitaji uwe na mbinu kali zaidi maana watu wanapima hata utendaji wako wakati wapinzani wao ni kuongea tu.
How about Shonza and Mtela? Nao hawawezi kuokoa jahazi?
Mimi ni mwana CCM mfu, mleta mada ktk hili la hawa watu wawili kujiuzulu siafikiani na wewe hapa hawa wazee ni watu makini ktk chama na hawa ndiyo watatufikisha mahali tunataka, Kinana akiwa mahali akashirikiana na Mangula mambo yote yanakwenda sawa.
Vijana wetu hawana tatizo ni kukaza uzi tu hawa Chadema tunawaondoa hapo Arusha 2015 wana CCM wenzangu tusiwe na wasiwasi kama ni safu tumejipanga vizuri.