Mangula na Kinana mmejidhalilisha

Mangula na Kinana mmejidhalilisha

mbinu ambazo washatumia dhidi ya chadema bila mafanikio ni kubwa mno zaidi ya hivyo wanavyopanga kufanya... ni kama wanarudi nyuma... wawe wabunifu zaidi... ila jambo moja wanasahau ni kwamba si kwamba chadema ni chama bora sana ila ni kwa sababu ccm imechokwa sana... chumvi ikishaisha ladha yake itatiwa nini hata ifae tena?? hakuna isipokuwa kutupwa jalalani...
 
Yaani mimi nashangaa mtu wewe ndio kiongozi alafu badala ya kutumia nafasi yako kujiimarisha,eti unataka kusambaratisha upinzani,hapo majibu kama ya NECTA 2012,waendelee tu kuwatumia watu waliopoteza mvuto kama mbatia,mrema,cheyo,na hao waliowatumia 2010(lipumba na CUF yake) kakini pale CHADEMA wasijisumbue,maana kila wanalopanga halipangiki .
 
Mungu atashusha garika na kuwamaliza kabla ya kutekeleza madhambi yao. wamekwishaua
sana, wametesa watu sana na wanaendelea na mipango mingi ya kijambazi na kigaidi. Watanzania wameteseka sana kwa sababu ya hayo mapakashume. Mungu amekwishasikia vilio vya watanzania, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
 
ccm ni msiba wa taifa tena viongozi wake wana mtindio wa ubongo
 
Wana jf

CCM chini ya Mzee wa pembe za ndovu imepanga mipango mikali sana jamaa wa ndani sana amenitonya kama ifuatavyo:
1. Wanasema kuwa lazima CHADEMA ife kabla ya zoezi la kuteu wagombea wa uraisi na ubunge kutoka vyama kwa uchaguzi 2015 halijafika wala kukaribia, kwa kuwa eti ikifikiwa wakati huo na CDM kikiwa na nguvu iliyonayo sasa hivi, eti
CCM itasambaratika yenyewe na ndio itakuwa mwisho wake.Hii wanasema ni kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hivi,Kwa mtazamo huo jamaa kaniambia wamekuja na plan A na B. Plan A ni kuwabambika kesi viongozi wote wa CHADEMA ili wawe wanahangaika na kesi na fedha zote ziishie kwenye kesi wakose muda wa kufanya mikutano ya kushawishi wananchi,kuongea na wamiliki wa vyombo vya habari kupunguza kabisa kuandika habari ya CDM na kuanzisha vipindi kwenye redio wakati wa asubuhi na jioni vyenye lengo ya kuzunguzia amani kwa lengo la mlango wa nyuma wa kuiponda CHADEMA. Kuwatumia baadhi ya viongozi wa upinzani kuiponda chadema hasa class mate wangu pale UDSM Mbatia. Jamaa akaniambia kama plan A itashindikana plan B watadili na Dr Slaa moja kwa moja watadili naye vipi hakunitonya. Tafakari chukua hatua.

Mbatia nae amekubali kutumika...jamani tamaa hizi!
 
Hawa jamaa wa CCM au Chama Twawala wanahangaika bure.
Hivi kwa akili yao finyu wanadhani CHADEMA ni Dr.Slaa,Mbowe,Lema,Lwakatare,Zitto,Tundu Lissu,John Mnyika,Halima Mdee na viongozi wengine wa CHADEMA.

Wanasahau kwamba hata wao CCM si Rais Kiwete,Kinana,Makamba,Nauye,Mwigulu,Mangula, Wassira au Lowassa. Chama ni Wanachama,Wapenzi na Wafuasi wa chama husika. ANC ilianza kama CHADEMA. Makaburu walikuwa wakiwaua Wazalendo wakifikiri ita kufa lakini waaaaaapi...!

Leo ANC ndiyo iko Ikulu ikitawala na kutamalaki ndani ya Afrika Kusini kwa umakini mkubwa. Acheni Mungu aitwe Mungu.

Mungu si Abdulla wala Athmani.
 
Badala ya kushughulikia kuimarisha chama chao wako busy wanaweka plan za 'kuua' vyama vya upinzani. Tafsiri ya demokrasia ya vyama vingi kwa ccm ni ipi kweli? No wonder mtu yoyote sasa hivi akionekana anaponda sana vyama vya upinzani na hasa CDM anapewa uongozi ndani ya ccm. Mjumbe mmoja wa NEC ya CCM amewahi kusika akisema hadharani kuwa mashambulizi yake kwa CDM ndiyo yaliyompa uNEC. Chama kina katibu wa itikadi na uenezi, lakini hakina sera wala itakadi. Je, anaeneza nini??
 
Wenyewe hawaaminiani tena Nape haivi na Mwigulu na lowasa haivi na membe na Sitta.
 
Kenya licha ya kesi ICC lakiniKinyetta leo anapeta ikulu, badala ya kuifisha ndiyo watazidi kukipatia umaarafu zaidi. Wajaribu waone.
WASISOMA NI CHAKULA CHA WASOMI
 
watahangaika sana lakini hawataweza
plan ABCD zishafel zote
kilichobakia ni plan ya mwisho wataifanya mwakani 2014
kutafuta wakenya watakaofanya mawasiliano yoyote na dr Sla
na baadae kuwakamata eti wametumwa kumwangusha JK hivo watamkamata dr Slaa na Mbowe
hii tunaisubiri kwa hamu kwani tunaijua kwa muda mrefu..
washindwe na walegee kama mlenda...............................
 
CCM waangaliae sana.....watu wanaopanga mikakati wanaweza kuwa WASALITI....Wanarudia mikakati iliyoshidwa maaka na miaka...CCM wanaweza kuwa na double AGENT kwenye chama...
 
Wana jf

CCM chini ya Mzee wa pembe za ndovu imepanga mipango mikali sana jamaa wa ndani sana amenitonya kama ifuatavyo:
1. Wanasema kuwa lazima CHADEMA ife kabla ya zoezi la kuteu wagombea wa uraisi na ubunge kutoka vyama kwa uchaguzi 2015 halijafika wala kukaribia, kwa kuwa eti ikifikiwa wakati huo na CDM kikiwa na nguvu iliyonayo sasa hivi, eti
CCM itasambaratika yenyewe na ndio itakuwa mwisho wake.Hii wanasema ni kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hivi,Kwa mtazamo huo jamaa kaniambia wamekuja na plan A na B. Plan A ni kuwabambika kesi viongozi wote wa CHADEMA ili wawe wanahangaika na kesi na fedha zote ziishie kwenye kesi wakose muda wa kufanya mikutano ya kushawishi wananchi,kuongea na wamiliki wa vyombo vya habari kupunguza kabisa kuandika habari ya CDM na kuanzisha vipindi kwenye redio wakati wa asubuhi na jioni vyenye lengo ya kuzunguzia amani kwa lengo la mlango wa nyuma wa kuiponda CHADEMA. Kuwatumia baadhi ya viongozi wa upinzani kuiponda chadema hasa class mate wangu pale UDSM Mbatia. Jamaa akaniambia kama plan A itashindikana plan B watadili na Dr Slaa moja kwa moja watadili naye vipi hakunitonya. Tafakari chukua hatua.

kinana soon atamfuata mtangulizi wake mkama
 
Walianza na CDM ni cha kanda ya kaskazini (chris Lukosi karudia hilo leo kwenye post yake), wakashindwa. Wakafuata CDM ni cha wakristo, wakashindwa. Wakaja na CDM ni chama cha wachaga, wakshindwa. Wakaja na CDM ni chama cha magaidi, wakashindwa na mahakama ikawaeleza hilo. Wamekuja na redi brigade, na Tendwa kakurupuaka na maneno yake..... Watashindwa tu
 
mipango yote ni mufilisi hamna jipya

Wana jf

CCM chini ya Mzee wa pembe za ndovu imepanga mipango mikali sana jamaa wa ndani sana amenitonya kama ifuatavyo:
1. Wanasema kuwa lazima CHADEMA ife kabla ya zoezi la kuteu wagombea wa uraisi na ubunge kutoka vyama kwa uchaguzi 2015 halijafika wala kukaribia, kwa kuwa eti ikifikiwa wakati huo na CDM kikiwa na nguvu iliyonayo sasa hivi, eti
CCM itasambaratika yenyewe na ndio itakuwa mwisho wake.Hii wanasema ni kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hivi,Kwa mtazamo huo jamaa kaniambia wamekuja na plan A na B. Plan A ni kuwabambika kesi viongozi wote wa CHADEMA ili wawe wanahangaika na kesi na fedha zote ziishie kwenye kesi wakose muda wa kufanya mikutano ya kushawishi wananchi,kuongea na wamiliki wa vyombo vya habari kupunguza kabisa kuandika habari ya CDM na kuanzisha vipindi kwenye redio wakati wa asubuhi na jioni vyenye lengo ya kuzunguzia amani kwa lengo la mlango wa nyuma wa kuiponda CHADEMA. Kuwatumia baadhi ya viongozi wa upinzani kuiponda chadema hasa class mate wangu pale UDSM Mbatia. Jamaa akaniambia kama plan A itashindikana plan B watadili na Dr Slaa moja kwa moja watadili naye vipi hakunitonya. Tafakari chukua hatua.
 
Wana jf

CCM chini ya Mzee wa pembe za ndovu imepanga mipango mikali sana jamaa wa ndani sana amenitonya kama ifuatavyo:
1. Wanasema kuwa lazima CHADEMA ife kabla ya zoezi la kuteu wagombea wa uraisi na ubunge kutoka vyama kwa uchaguzi 2015 halijafika wala kukaribia, kwa kuwa eti ikifikiwa wakati huo na CDM kikiwa na nguvu iliyonayo sasa hivi, eti
CCM itasambaratika yenyewe na ndio itakuwa mwisho wake.Hii wanasema ni kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hivi,Kwa mtazamo huo jamaa kaniambia wamekuja na plan A na B. Plan A ni kuwabambika kesi viongozi wote wa CHADEMA ili wawe wanahangaika na kesi na fedha zote ziishie kwenye kesi wakose muda wa kufanya mikutano ya kushawishi wananchi,kuongea na wamiliki wa vyombo vya habari kupunguza kabisa kuandika habari ya CDM na kuanzisha vipindi kwenye redio wakati wa asubuhi na jioni vyenye lengo ya kuzunguzia amani kwa lengo la mlango wa nyuma wa kuiponda CHADEMA. Kuwatumia baadhi ya viongozi wa upinzani kuiponda chadema hasa class mate wangu pale UDSM Mbatia. Jamaa akaniambia kama plan A itashindikana plan B watadili na Dr Slaa moja kwa moja watadili naye vipi hakunitonya. Tafakari chukua hatua.

Watasuniri sama, nadala ya kupamga jinsi ya kumaliza tofauti zao na kuimarisha chama chao wao wanawaza Cdm tu, watashangaa 2015 imefika wakiwa bado wanapanga jinsi ya kuisambaratisha Cdm. Wapange na Mwigulu kupita Tanzania nzima akitukana watu hiyo ndiyo kujenga chama cha mapinduzi
 
Bila kutatua matatizo ya msingi ya Watanzaia na kuwasweka ndani wezi wote wa rasilimali za nchi anzia kikwete na familia yake, bila kumrudisha kinana mwizi wa tusker kwao Somalia, bila ya kuwapiga stop akina mwigilu mwana mtokea pabaya, bila ya polisi kuacha ukandamizaji na uonevu kwa Watanzania...NIENDELEE???

Bila ya hayo juu na mengine mengi ya msingi, PLAN A,B,C,D hazitatosha itabidi mfike mpaka Z na bado tutawahemea visogoni!!!
Ni LAZIMA 2015 mtoke madarakani na 2/3 ya VIONGOZI WENU lazima wakanyee debe keko/segerea!!!
MTAKE MSITAKE!!!
 
Watekeleze yale miahadi yao vizuri,CDM itakufa vizuri sana,ila the Mwigulu style has proved failure
 
Ni kweli mkuu, pia wanapanga kumtumia tendwa kuwatisha chadema, pia ukishindwa mkakati wa kubambikizia kesi, watahamia kwenye uraia wa viongozi wa chadema! Pia hata mauaji na kujeruhi viongozi wa chadema! Viongoz wa chadema wawe makini.
 
Wana jf

CCM chini ya Mzee wa pembe za ndovu imepanga mipango mikali sana jamaa wa ndani sana amenitonya kama ifuatavyo:
1. Wanasema kuwa lazima CHADEMA ife kabla ya zoezi la kuteu wagombea wa uraisi na ubunge kutoka vyama kwa uchaguzi 2015 halijafika wala kukaribia, kwa kuwa eti ikifikiwa wakati huo na CDM kikiwa na nguvu iliyonayo sasa hivi, eti
CCM itasambaratika yenyewe na ndio itakuwa mwisho wake.Hii wanasema ni kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hivi,Kwa mtazamo huo jamaa kaniambia wamekuja na plan A na B. Plan A ni kuwabambika kesi viongozi wote wa CHADEMA ili wawe wanahangaika na kesi na fedha zote ziishie kwenye kesi wakose muda wa kufanya mikutano ya kushawishi wananchi,kuongea na wamiliki wa vyombo vya habari kupunguza kabisa kuandika habari ya CDM na kuanzisha vipindi kwenye redio wakati wa asubuhi na jioni vyenye lengo ya kuzunguzia amani kwa lengo la mlango wa nyuma wa kuiponda CHADEMA. Kuwatumia baadhi ya viongozi wa upinzani kuiponda chadema hasa class mate wangu pale UDSM Mbatia. Jamaa akaniambia kama plan A itashindikana plan B watadili na Dr Slaa moja kwa moja watadili naye vipi hakunitonya. Tafakari chukua hatua.
Chama changu CCM,tuwe na mikakati ya kukujenga chama na si kukimaliza CHADEMA,tukubali tu kuwa hawa jamaa hatuwawezi,strategies zao ni za kisomi sana kuliko sisi,tujitahidi kutafuta njia mbadala ya kukijenga chama,pia turudi kwa wananchi na wafanyakazi wa uma tukaanze upwa kuwa bembeleza na kutatua kero zao,beliave me tutafanikiwa 100% ila tukija na mpango huo walio panga baadhi ya viongozi hatutafika popote zaidi ya kujitafutia laana
 
Back
Top Bottom